Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Lisu hawez kushinda ni sawa kabisa
But at least magufuli kaoneshwa kwa vitendo kuwa % kubwa ya watu hawamkubali

Tofauti na nyie mlivyokuwa mkimdanganya
Rafiki tusubiri uchaguzi 28 tu maneno mengi hayasaidii n vzuri kuwa umetambua licha ya kuwa Magu apendwi lakin pia Lisu hawezi kushinda
 
Mkuu mtoa hoja, kwa hiyo unataka kusema unamtosa Mdee na kumchagua mcheza movi za unoooo..... say unoooooo !!!
Kuliko nimchague msagaji bora nimchague Gwaji boy haijalishi mnamuita majina gani ila yule n sahihi kulko huyu bi mdada
 
1.jpg

2.jpg

3.jpg

4.jpg

5.jpg

6.jpg

7.jpg

8.jpg

9.jpg

10.jpg

11.jpg

12.jpg

13.jpg

14.jpg
 

Attachments

  • 15.jpg
    15.jpg
    125.9 KB · Views: 2
Ila sio mbunge wa kawe
Mdee alikuwepo toka bunge la 9 akiwa viti maalum so hta akianguka atarudi bungeni tu by default sasa send off hiyo inatoka wapi?
Sasa Gwajima akianguka unadhani atateuliwa viti 10? Au ndio anaishi kwa aibu ya kuangushwa na binti mdogo.
 
Rafiki tusubiri uchaguzi 28 tu maneno mengi hayasaidii n vzuri kuwa umetambua licha ya kuwa Magu apendwi lakin pia Lisu hawezi kushinda

Uwez kumtoa mgombea ambae Mpaka siku unaenda kupiga kura yy bado ni rais,

Kwa inchi za Africa ni ngumu Sana

But hata yy anajua kama ngoma ikiwa wazi na huru basi tofauti ya kura haiwez kuzid elf 20
 
Tuma zote lakin huku sio tweet ambako mzoea kublock watu nyau nyie
Ulipoandika tu kuwa Halima ana elimu nikakupuuza. Yaani mtu mwenye L.L.M unasema hana elimu?

Kwanza huishi Kawe na hujui lolote kuhusu hilo jimbo, embu niambie kura za Gwajima zinatoka kata ipi? Kma ni kura za vijana na mabinti zote ni Kwa Mdee niambie huyo Mzinzi kura zake atatoa kwa nani?

Gwajima alikua overrated ila jukwaani amegeuka mwepesi sana
 
Mbona mnaandika vitu vya hovyo na kwa chuki BILA uweledi??! Mfuko wa Jimbo Mbunge ni Mwenyekiti tu wa Kikao. Mengine yote hufanywa na council. Mhusika hapo kama kuna ufujaji ni MKURUGENZI wa Halmashauri na Katibu wa Mfuko wa Jimbo ambaye ni Mchumi wa Halmashauri. Jengeni hoja nyingine Si hizi ambazo kwa waelewa wanajua UTARATIBU ulivyo.
 
Kama kuna sehemu ambayo itakuwa changamoto kwa sasa ni kuendelea kumsapoti huyu Halima wakati tunafahamu kuwa hana alichofanya jimboni. Mimi kama kada wa CHADEMA halima simtaki bora kura yangu nimpe GWAJIMA
Naona mmeitana huku waamini wa gwaji boy mnajitekenya na kucheka msipasuke mishipa ya shingo bure ni hivii wananchi wa kawe wanajitambua ni wasomi Halima Mdee anatosha huyo wenu mwambieni aende akawaletee ile treni aliyonunua 2015
 
Hamnazo wewe
Kwahiyo watu ambao wana akili ni wale wanaibiwa halafu wananyamaza kmya au ni wale ambapo waliahidiwa kutatuliwa matatizo kwa miaka kumi halafu hakijafanyika kitu au wale ambao wanao mtu huyo akipewa miaka ishirini hawezi kufanya kitu kwahiyo wanaamua kubadilisha mueleekeo au akili yangu unaipimaje
 
Tarehe 28.10.2020, wananchi wa Tanzania watakuwa katika moja ya majukumu makubwa ambayo pia ni haki na wajibu wao kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye atawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano mingine. Wakati kampeni zikiwa zinaendelea za urais, wabunge na madiwani; nikusogezee hali inavyoendelea katika jimbo la Kawe.

Jimbo limekuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10 likiongozwa na mbunge mwanamke Halima James Mdee. Kwa miaka 10 mambo yamekuwa mazuri kwake na huenda alijisahau kwamba maisha yanavyosonga mbele, uelewa unaongezeka, watu wanaendelea kupambanua akili zao na hivyo ni rahisi sana kugundua kuwa wamekuwa wakiibiwa kwa kipindi chote hicho.

Hii inaweka alama nyingine ambayo inaashiria kuwa huenda safari ya kisiasa kwa Halima Mdee ndani ya jimbo la Kawe imefikia mwisho na wananchi wako tayari kubadilisha hali zao kwa kumchagua mtu mwingine anayeonekana kuwa na ushawishi mkubwa na uwezekano wa kutatua matatizo yao.

Jambo linaloshangaza sana ni wanachama wa CHADEMA kuwa mstari wa mbele kuwashawishi wananchi wasimchague Halima kwa kile wanachokisema kuwa wao husahaulika baada tu ya uchaguzi. Hapa awali limeonekana wimbi kubwa la wanachama wa CHADEMA wakitimkia CCM na wote wana kauli moja,"HALIMA UMESAHAU NINI KAWE?, NI ZAMU YA GWAJIMA SASA.

Joseph Sospeter
Kawe-Ukwamani

Hii ndiyo ile ID nyingine ya dada Juma Juma?
 
Back
Top Bottom