zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hata akikosa ubunge atarudi Viti Maalum kupitia BAWACHA so naona uzi umepotosha.Nipo sana mkuu sema majukumu tu .naona mdee mnampa sendoff hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akikosa ubunge atarudi Viti Maalum kupitia BAWACHA so naona uzi umepotosha.Nipo sana mkuu sema majukumu tu .naona mdee mnampa sendoff hapa
Hamnazo weweMimi nina akili na ninamchagua Gwajima
Rafiki tusubiri uchaguzi 28 tu maneno mengi hayasaidii n vzuri kuwa umetambua licha ya kuwa Magu apendwi lakin pia Lisu hawezi kushindaLisu hawez kushinda ni sawa kabisa
But at least magufuli kaoneshwa kwa vitendo kuwa % kubwa ya watu hawamkubali
Tofauti na nyie mlivyokuwa mkimdanganya
Hata akikosa ubunge atarudi Viti Maalum kupitia BAWACHA so naona uzi umepotosha.
Kuliko nimchague msagaji bora nimchague Gwaji boy haijalishi mnamuita majina gani ila yule n sahihi kulko huyu bi mdadaMkuu mtoa hoja, kwa hiyo unataka kusema unamtosa Mdee na kumchagua mcheza movi za unoooo..... say unoooooo !!!
Mdee alikuwepo toka bunge la 9 akiwa viti maalum so hta akianguka atarudi bungeni tu by default sasa send off hiyo inatoka wapi?Ila sio mbunge wa kawe
Tuma zote lakin huku sio tweet ambako mzoea kublock watu nyau nyieMkuu kwanini unaandika uzi alafu unajibu kwa multiple IDs
View attachment 1586976View attachment 1586977View attachment 1586978
We ni binti ama kijana!! kuwa makini sana na Gwajiboy - utaumia.Kuliko nimchague msagaji bora nimchague Gwaji boy haijalishi mnamuita majina gani ila yule n sahihi kulko huyu bi mdada
Hahaha aaaa wapi alishaumiza wangapi hebu niambieWe ni binti ama kijana!! kuwa makini sana na Gwajiboy - utaumia.
Rafiki tusubiri uchaguzi 28 tu maneno mengi hayasaidii n vzuri kuwa umetambua licha ya kuwa Magu apendwi lakin pia Lisu hawezi kushinda
Ulipoandika tu kuwa Halima ana elimu nikakupuuza. Yaani mtu mwenye L.L.M unasema hana elimu?Tuma zote lakin huku sio tweet ambako mzoea kublock watu nyau nyie
View attachment 1586983
View attachment 1586986
View attachment 1586989
View attachment 1586991
View attachment 1586992
View attachment 1586993
View attachment 1586994
View attachment 1586995
View attachment 1586997
View attachment 1586998
View attachment 1586999
View attachment 1587000
View attachment 1587001
View attachment 1587002
Ogopa sana mnafiki halima sio mwizi tu bali n tapeli wa haki za binadamu anakula haki za wanakawe alafu unasema n bora kwel we ndo msukule wa halima usiyejielewaView attachment 1586983
View attachment 1586986
View attachment 1586989
View attachment 1586991
View attachment 1586992
View attachment 1586993
View attachment 1586994
View attachment 1586995
View attachment 1586997
View attachment 1586998
View attachment 1586999
View attachment 1587000
View attachment 1587001
View attachment 1587002
Naona mmeitana huku waamini wa gwaji boy mnajitekenya na kucheka msipasuke mishipa ya shingo bure ni hivii wananchi wa kawe wanajitambua ni wasomi Halima Mdee anatosha huyo wenu mwambieni aende akawaletee ile treni aliyonunua 2015Kama kuna sehemu ambayo itakuwa changamoto kwa sasa ni kuendelea kumsapoti huyu Halima wakati tunafahamu kuwa hana alichofanya jimboni. Mimi kama kada wa CHADEMA halima simtaki bora kura yangu nimpe GWAJIMA
Kwahiyo watu ambao wana akili ni wale wanaibiwa halafu wananyamaza kmya au ni wale ambapo waliahidiwa kutatuliwa matatizo kwa miaka kumi halafu hakijafanyika kitu au wale ambao wanao mtu huyo akipewa miaka ishirini hawezi kufanya kitu kwahiyo wanaamua kubadilisha mueleekeo au akili yangu unaipimajeHamnazo wewe
Tarehe 28.10.2020, wananchi wa Tanzania watakuwa katika moja ya majukumu makubwa ambayo pia ni haki na wajibu wao kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye atawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano mingine. Wakati kampeni zikiwa zinaendelea za urais, wabunge na madiwani; nikusogezee hali inavyoendelea katika jimbo la Kawe.
Jimbo limekuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10 likiongozwa na mbunge mwanamke Halima James Mdee. Kwa miaka 10 mambo yamekuwa mazuri kwake na huenda alijisahau kwamba maisha yanavyosonga mbele, uelewa unaongezeka, watu wanaendelea kupambanua akili zao na hivyo ni rahisi sana kugundua kuwa wamekuwa wakiibiwa kwa kipindi chote hicho.
Hii inaweka alama nyingine ambayo inaashiria kuwa huenda safari ya kisiasa kwa Halima Mdee ndani ya jimbo la Kawe imefikia mwisho na wananchi wako tayari kubadilisha hali zao kwa kumchagua mtu mwingine anayeonekana kuwa na ushawishi mkubwa na uwezekano wa kutatua matatizo yao.
Jambo linaloshangaza sana ni wanachama wa CHADEMA kuwa mstari wa mbele kuwashawishi wananchi wasimchague Halima kwa kile wanachokisema kuwa wao husahaulika baada tu ya uchaguzi. Hapa awali limeonekana wimbi kubwa la wanachama wa CHADEMA wakitimkia CCM na wote wana kauli moja,"HALIMA UMESAHAU NINI KAWE?, NI ZAMU YA GWAJIMA SASA.
Joseph Sospeter
Kawe-Ukwamani