Simba Songwe
Member
- Sep 28, 2020
- 59
- 8
Halima siyo mtekelezaji ila ni muhuni tu
Wanakawe tutamnyoosha 28 October
Wanakawe tutamnyoosha 28 October
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke anawakimbiza kinoma yaani kuanzia waumini hadi askofuNdungu zangu wana jamvi habari za muda huu.
Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.
Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.
Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.
Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio
Mwaka 2017/18- (Uk.25 )
Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.
Mwaka 2018//19- (Uk.27)
Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.
Mwaka 2019/20 - (Uk.31)
Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.
Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.
Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.
Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.
Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.
Ally Ramadhan Salehe
Ununio Mwisho-Kunduchi
Hafai kabisa huyu tena kawe hata kwa siku moja hatumtaki halima mdeeNdungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Tukilinganisha fedha za miradi na jinsi fedha zilivyotumika na kile kilichotenda utagundua ni wizi mtupu.Huyu Dada ni kiongozi wa maneno na sio wanadharia ila tulichelewa tu kumgundua na ametumia ubabe sana ktk kutoa sera
Jiandae kumwagiwa povu.Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.
Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.
Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.
Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.
Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio
Mwaka 2017/18- (Uk.25 )
Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.
Mwaka 2018//19- (Uk.27)
Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.
Mwaka 2019/20 - (Uk.31)
Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.
Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.
Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.
Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.
Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.
Ally Ramadhan Salehe
Ununio Mwisho-Kunduchi
Inabidi sauti zege aeleze hizo hela kapeleka wapiNdungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Halima upo vizuri kwenye swala la utapeli ila sisi ni wajanja zaidi yako tumekugunduwa.Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

unaaidi alf utekelezi unaishia kushiba wewe na tumbo lako amakweli wewe ni mwizi mzoefuNdungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Dah halima unawaibia hadi wananchi wako kawe hatukutaki wakati huu
Waamini wa gwaji boy kazini tatizo kawe ni waelewa ongeni mengine huku mtatoa povu mpaka damu sasa ni hivii Halima hana mpinzani wengine wasindikizajiMimi nimkazi original na mzawa wa kawe maeneo ya huku ni mabovu sana na mengine hatarishi kwa maisha ya watu hasa kipindi cha mvua
Ungeona aibu basi ukaficha huu uongo uliotuandikia kwenye hicho kitabu chako.Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.
Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.
Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.
Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.
Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio
Mwaka 2017/18- (Uk.25 )
Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.
Mwaka 2018//19- (Uk.27)
Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.
Mwaka 2019/20 - (Uk.31)
Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.
Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.
Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.
Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.
Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.
Ally Ramadhan Salehe
Ununio Mwisho-Kunduchi
Nimesoma hcho kitabu n mauzauza tu kumbe ndo zake hzo dah
Halafu mwambieni huyo aliyewafurushia humu asichekulie powa kawe ni mziki mwingine kabisaWana Kawe hatuitaji hata kumuona kwenye jimbo letu.
unafanya wa fanya biasha wa samaki wanafanya biashara zao kwa ugumu sanaNdungu zangu wana jamvi habari za muda huu.