Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.

Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.

Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.

Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio

Mwaka 2017/18- (Uk.25 )

Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.

Mwaka 2018//19- (Uk.27)

Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.

Mwaka 2019/20 - (Uk.31)

Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.

Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.

Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.

Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.

Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.

Ally Ramadhan Salehe

Ununio Mwisho-Kunduchi
Tukilinganisha fedha na miradi iliyotendeka ni vitu viwili tofauti.
 
Maana bora hata angekuwa na mali nyingi tungesema amezitumia hela kwa kujikuza yeye kiuchumi sasa hata yeye mwenyewe hana mbele wala nyuma, je hizo hela kazipeleka wapi?!
 
Anakukimbiza wewe sio askofu koma wewe
120416933_10158404469678930_1947698710634505144_n.jpg

kuwa mpolee saivi, mnapika, kuchambua mchele, kuosha wadada miguu 🙂 🙂 🙂
 
Maeneo mengi saana huku kawe hayajatekelezwa huku ukwamani shida tupu
Huyu halima hafai
 
Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.

Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.

Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.

Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio

Mwaka 2017/18- (Uk.25 )

Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.

Mwaka 2018//19- (Uk.27)

Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.

Mwaka 2019/20 - (Uk.31)

Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.

Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.

Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.

Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.

Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.

Ally Ramadhan Salehe

Ununio Mwisho-Kunduchi
Halima acha kutufanya wana Kawe hatuna akili pesa zote hizo ukatuambie umetengeneza kidaraja hicho kweli?
 
Hichi kitabu kinatupa picha kwa nn halima mdee jukwaani kilikataliwa kusomwa na kuzinduliwa na aliyekiongozi wa chadema ni kwasababu walijua kimejaaa wizi mtupu.
 
yaani sisi watu wakunduchi ulituadi daraja mpaka leo wewe demu ufai kabisa
 
Kwa kuwadanganya wanakawe ukaanza ujenzi wa daraja na daraja lenyewe haujakamilisha tatizo lako unatukana tu bungeni maendeleo huwezi leta kwa style hyo
 
Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.

Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.

Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.

Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio

Mwaka 2017/18- (Uk.25 )

Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.

Mwaka 2018//19- (Uk.27)

Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.

Mwaka 2019/20 - (Uk.31)

Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.

Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.

Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.

Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.

Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.

Ally Ramadhan Salehe

Ununio Mwisho-Kunduchi
Hana matumizi mazuri ya fedha kama makongo juu hajatengeneza barabara mpaka sasa daah sauti zege hufai tena hufai kabisa
 
Mbona kama id ni za mtu mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.

Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.

Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho kimepelekea nishtuke mimi kama mkazi wa jimbo la Kawe na mnufaika wa fedha za mfuko wa jimbo.

Kwenye kipengele kinachosomeka Taarifa ya Miradi ya Maendeleo ya Fedha za mfuko wa Jimbo.

Jina la Mradi: Kujenga Kivuko cha waenda kwa miguu Soko la Samaki Ununio

Mwaka 2017/18- (Uk.25 )

Tsh. Mil 5,000,000/= zilitengwa kwa ajili ya mradi huo wa kivuko cha waenda kwa miguu kilichopo karibu na soko la samaki la ununio.

Mwaka 2018//19- (Uk.27)

Mradi huo huo unaonekana katika ukurasa namba 27 huku ukitengewa Kiasi cha Tsh Mil 13,500,000/= lakini utekelezaji wake kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki bado ulikuwa katika hatua za awali za manunuzi.

Mwaka 2019/20 - (Uk.31)

Mradi huo huo tena unaonekana kutengewa kiasi cha Tshs Mil 20,000,000/= kwenye page no 31. Huku mbunge wetu akijinadi kwenye kitabu hiki kuwa mradi huo umekamilika.

Lakini kiuhalisia kabisa ni kwamba mradi huo hadi ninavyoandika thread hii , haujakamilika na hautumiki hata na mkazi mmoja wa ununio na kata nzima ya kunduchi kwa ujumla.

Kwa hiyo mradi mmoja wa kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki ununio umegharimu Jumla ya kiasi cha Tshs Mil 38,500,000/= ndani ya kipindi cha miaka 2 (2018-2020) , ambazo ni fedha zinazosimamiwa na kutolewa na Ofisi ya Mbunge ambaye ni Mh.Halima Mdee.

Kwa tafsiri nyepesi kabisa inaonyesha hakukua na usimamizi mzuri wa fedha za jimbo la Kawe chini ya dada yetu Halima.

Ndugu zangu wana Jamvi nimeattach hapa picha za mradi uliotajwa kwenye taarifa kama ulivyo kwa sasa.

Ally Ramadhan Salehe

Ununio Mwisho-Kunduchi
ulituuliza mwenyewe kelo zetu na sisi tukakwambia kumbe ulikuwa unabwabwaja tu
 
Kura yangu ni ya Gwajima nimechoka kuibiwa ukiangalia huku wazo jinsi barabara zilivyo unawaza nini tumefanyia huyu mama mpaka akamua kutofanya mabadiliko hata kidogo
 
Back
Top Bottom