Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Sengeh ni mnyama mwenye mti nyama mnene na mrefu ukiwa unaenda kunya kuwa makini ukijisahau tu unazamishiwa na mnyama.
Ni mimi mnyama"Sengeh"
Inaonekana ulivyokua unaandika umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka

Sengeh
 
Inaonekana ulivyokua unaandika umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka

Sengeh
Ni mimi mnyama"Sengeh"mwenye mb()() kimo cha urefu wa stuli,nipo chooni nakusubiri ukija kuchuchumaa kunya nakuzamishia.
 

zimeenda kumsaidia yule dada aliyebakwa na mchungaji wake
 
Wewe ni mwongo au hujui unachoargue!
CDCF -Constitutional development catalyst fund (kama nipo sawa) ni fedha zinazotengwa kwenye bajeti ya jimbo husika kama kichocho cha maendeleo katik jimbo hilo.

Fedha zinapokelewa na Mkurugenzi wa halmashauri, zinakuwa allocated na kikao cha kamati ya mfuko wa jimbo, Mbunge akiwa mwenyekiti, afisa mipango wa wilaya DPLO akiwa katibu.

Hakuna namna yyt ambayo mbunge anakabidhiwa fedha hizo kuwa azigawe, baada ya kuziallocate katika kikao, kazi ya kuzipeleka fedha hizo kwenye miradi ni ya Mkurugenzi ambaye ni mteule wa Rais.

Fedha hupelekwa katika ngazi husika kwa utaratibu wa kulipwa kamati ambayo inahusika na usimamizi wa miradi husika.

Taarifa ya utekelezaji wa miradi hurejeshwa kwa mkurugenzi wa Halmashauri,nae anarejesha kwa baraza la madiwani, RAS, TAMISEMI etc kama sehemu anaymzowajibika.

Kwa baadhi ya majimbo fedha hizo hazigiki hata mil 400kwa miaka yote mitano.

Mathalani jimbo hupokea kiasi cha TZS 57M kwa mwaka (true figure kwa jimbo X), So kwa miaka 5 unaweza kuta kiasi cha fedha ambacho kinakuwa budgeted ni TZS 300 hapo ukizingatia kuwa budget inakuwa inaongezwa asilimia kidogo kila mwaka let say (5%). Sasa mtoa mada ukisema makadirio ni kuwa jimbo hupokea Bil. 3 ni uongo mkubwa, Hujui au unapotosha kwa makusudi.

CDCF ZINASIMAMIWA NA MKURUGENZI WA COUNCIL HUSIKA, NITAJIE MKURUGENZI YUPI ANAWEZA KULA NJAMA NA MDEE KULA HIZO PESA?
 
mpuuzi wewe unafikiri mtatoa mdee ,mwambie Huyo mwasherati wako kawe hana chake
 
Hizi propaganda za majungu na fitna haziwezi kumsaidia porn star Gwaji boy!
 
Yaani kwa hapo tu inaonesha wazi wala hufahamu mfumo mzima unavyofanya kazi kupitia Fedha za Mfuko wa Jimbo!

Kwanza, kwamba eti wanapata 3 billion kwa kipindi cha miaka 5, tena kwa Kawe; SIO KWELI kwa sababu kuna vigezo vimewekwa!

Lakini kubwa zaidi, nyie watu mnavyoongea utadhani pesa ya Mfuko wa Jimbo ikitolewa, anapewa Mbunge kisha anaenda kuweka kwenye akaunti yake binafsi!!

FYI, pesa huingizwa kwenye akaunti maalumu iliyo chini ya HALMASHAURI!

Pia kunakuwa na kamati ambayo Mwenyekiti wake ni Mbunge wakati Katibu ni District Planning Officer.

Pia kamati itakuwa na Two Wards Executive Officers.

Ibara ya 9 ya Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo inasema CAG atakuwa anakagua mahesabu ya mfuko huo!

Ibara ya 16 inasema Council Planning Officer shall oversee projects under his jurisdiction and shall keep and maintain records of the disbursement of funds and progress of the projects.

Na pia Ibara ya 17 inaelezea majukumu mengine ya kifedha ya Council Planning Officer yanayohusiana na manunuzi yaliyofanyika na pesa husika!

Ibara ya 21 (2) inasema The Council Director or Officer In Charge (designated) atakuwa ndie Accounting Officer wa mfuko!

Aidha, kama nilivyosema hapo awali, fedha zitaingizwa kwenye akaunti maalumu itakayofunguliwa kwenye benki iliyokuwa approved na Council Director!

Ibara ya 22, 3( a and b) inaelekeza Signatories signing arrangement, Group A kuna Council Director na Council Planning Officer. na Group B kuna Council Treasurer and Council Accountant.

Kwa kukusaidia tu, Signatories ndio wanaosaini cheti za malipo au za kutoa pesa kwenye akaunti!

Kabla sijaenda mbele zaidi, hiyo signing arrangement ni yahovyo kuwahi kutokea, na sijui serikali walishauriwa na nani kuweka signing arrangement ya aina hiyo kwa sababu HUWEZI kuweka watu wa ofisi MOJA or similar interest kwenye makundi yote mawili!!

Kazi pekee aliyopewa Mbunge mbali ya kuwa ndie Mwenyekiti, yeye ndie ana wajibu wa kuweka rekodi ya orodha ya miradi inayotakiwa kupewa pesa! Aidha ni Kamati ndiyo itakayokuwa inapanga miradi ipi ipewe pesa!

Now. hivi hadi hapo unahitaji kupewa darasa na Andrew Chenge kufahamu kama pesa ya jimbo inatumika vibaya ni nani watakuwa wahusika kati ya Mbunge na Watumishi wa Halmashauri (compare between RED and BLUE) linalohusika moja kwa moja na pesa hizo?
 
Inawezekana unasema kweli,lakini hoja yako ingekuwa bora sana,iwapo ungefanya yafuatayo:
1.Leta takwimu halisi ya kiasi gani ambacho halima alikupokea kupitia mfuko wa jimbo kwa hiyo miaka 5
2.Leta orodha ya miradi ambayo halima kamati ilipitisha,na ipi ilipatiwa fedha na ipi haikupatiwa fedha,ili tujue kiasi cha fedha ambazo Halima ametia kibindoni
 

HUU UPUZI ULISHAJIBIW AKULE TWITTER TENA KWA VIELEELZO NI BASI TU, HUMU @MODERATORS WANAJAMBO LAO.
 
We mbona unahangaika na mdee tu, au we ndo gwajima..Maana kila siku ni habari za gwajima na mdee . tushachoka
 
Ziko kwa.mama yako
 
Halima hafai
Unaandika wewe unajikoment mwenyewe ... anyways bwana Juma Juma kumbe na wewe ni wale walionuia kuigeuza Miskiti na Madrasa za kawe kuwa Sunday School

Jina lako linanionyesha kumbe na wewe ni mnafiki kama Alhadi Mussa Sh. Wa mkoa wa DSM
 
Ziko kwa.mama yako
Mama yangu alisha fariki miaka 22 iliyo pita.
Ninacho kumbuka alinihusia "niwaheshimu sana wanawake"
Kwa maana hiyo sitakutusi tusi lolote maana namheshimu sana marehemu mama yangu,uwe na amani.

Nakushauri waheshimu wanawake ili uishi maisha ya amani na furaha.
Mungu akubariki sana [emoji120]
 
Usichojua ni kuwa hizo fedha huwa chini ya DED na MADIWANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…