Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

..Halima Mdee aliwahi kuweka wazi matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo la kawe.

 
HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI?

Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo katika jimbo mfano kusaidia kuboresha majengo na miundombinu mbali mbali za mashule, barabara, hospital na kunawakati zinaweza kutumika katika kusaidia makundi mbali mbali katika Jamii.

Ina kadiriwa kiasi Cha bilioni 3 hutolewa kwa kila Jimbo kwa kipindi Cha miaka yote 5 ya utawala wa Mbunge wa Jimbo wa kuchaguliwa likiwemo Jimbo la kawe lakini chakushangaza fedha hizo zimetumika kinyume na utaratibu wake.

Katika Nyakati tofauti Halima Mdee ameziomba fedha hizo za mfuko wa Jimbo kwa matumizi flani yakiyopitishwa na kamati inayotambulika kisheria lakini Mara baada ya kukabidhiwa fedha hizo hazipeleki kwa walengwa ambao ni wananchi badala yake zinatumika kujenga chama kitaifa na kuwakoshesha wananchi wa Kawe Maendeleo ambayo hadi hivi leo Kuna sehemu bado Zina changamoto kubwa.

Hali hiyo ya matumizi mabaya ya fedha hizo imempa wakati mguu katika kampeni zake za kuwania Ubunge kwa Mara ya tatu mfululizo lakini wananchi wamemkataa mpaka atakapo waeleza zaidi ya bilioni 2 zimepotelea wapi maana katika ripoti yake ya utekelezaji inaonyesha bilioni 1 tu umetumika lakini bilioni 2 hazijulikani hazipo.
Milion 50 kila kijiji ziko wapi?
 
Katika wakati huu wa heka heka za kampeni katika majimbo mbali mbali NCHINI Tanzania bara na Zanzibar kumekuwa kunaibuka kauli na Sera mbali mbali zinazoonyesha nini unataka kuwafanyia wananchi wa Jimbo lako au kata yako kwa kutegemea ngazi ya uongozi unayogombea.

Hali hiyo imekuwa tofauti kwa HALIMA MDEE alipokuwa akijitokeza katika kampeni kwenye kata mbalimbali ambapo imepelekea nyakati tofauti jeshi la polisi kumsaidi ili asipate kipigo au ZOMEAZOMEA ya wananchi wenye hasira Kali JUU take JUU ya kushindwa kutekeleza Yale aliyowahaidi wakati wa uchaguzi wa 2015 kushindwa kuyatekeleza kwa asilimia 100.

Wananchi hao wa Jimbo la Kawe kwa nyakati tofauti wamedai anakujaje na Sera mpya wakati zile za nyuma hajazitekeleza si anatuona sisi watoto wadogo sana kila wakati wa kampeni anakuja kutudanganya kwa maneno ya kijinga. Mwaka huu HATUTAMCHAGUA maana si muwakilishi kwetu wa Maendeleo

Pia wananchi wa Kawe wanashindwa kumuelewa Halima Mdee kwa siasa anazozifanya za uvunjifu wa AMANI maana anatumia lugha za kukashifu watu na viongozi wenzie hii inaonyesha kupoteza kwa mgombea ndio maana Ananadi matusi badala ya Sera.
 
Kama miradi ipo na haikutekelezwa,pesa haija pelekwa kwa mgongo wameniletea was upande mwingine .Maendeleo hayana Yana chama.
 
Kusema kweli Jimbo la Kawe tumeteseka saana kwa kumuamini halima ,sasa lazima tumtume Gwajima akatuletee maendeleo
 
Naunga mkono hoja katika hilo, yule mwanamke ni mwizi ,na hatuwez kumchagua awamu hii
 
Back
Top Bottom