Alafu gwajima ana chuki za kiimani. Ni mtu hatari sana awezi kuongoza watu ambao sio wafuasi wa imani yake. Kuna videos nyingi sana anawakashifu waIslam na waKristu ambao sio wafuasi wake hasa waKatoliki. Mtu asiye heshimu imani za watu wengine kama Gwajima hafai kuwa kiongozi. Alafu pia ni mzinzi tena asiye na aibu anajirekodi na kujiweka wazi mbele ya jamii. Kama kwa wenzetu kuonekana tu hata unaangalia picha za ngono inatosha mtu kujiudhuru uongozi, iweje huku kwetu mtu anayejirekodi na kujitangaza akifanya ngono achaguliwe kuwa mbunge - mwakilishi wa watu. Hapana hii sio sawa - itakuwa ni kuwadhalilisha watu wa kawe kuwakilishwa na mtu asiyemwadilifu na mwenye kukashifu imani za watu wengine.