Katika wakati huu wa heka heka za kampeni katika majimbo mbali mbali NCHINI Tanzania bara na Zanzibar kumekuwa kunaibuka kauli na Sera mbali mbali zinazoonyesha nini unataka kuwafanyia wananchi wa Jimbo lako au kata yako kwa kutegemea ngazi ya uongozi unayogombea.
Hali hiyo imekuwa tofauti kwa HALIMA MDEE alipokuwa akijitokeza katika kampeni kwenye kata mbalimbali ambapo imepelekea nyakati tofauti jeshi la polisi kumsaidi ili asipate kipigo au ZOMEAZOMEA ya wananchi wenye hasira Kali JUU take JUU ya kushindwa kutekeleza Yale aliyowahaidi wakati wa uchaguzi wa 2015 kushindwa kuyatekeleza kwa asilimia 100.
Wananchi hao wa Jimbo la Kawe kwa nyakati tofauti wamedai anakujaje na Sera mpya wakati zile za nyuma hajazitekeleza si anatuona sisi watoto wadogo sana kila wakati wa kampeni anakuja kutudanganya kwa maneno ya kijinga. Mwaka huu HATUTAMCHAGUA maana si muwakilishi kwetu wa Maendeleo
Pia wananchi wa Kawe wanashindwa kumuelewa Halima Mdee kwa siasa anazozifanya za uvunjifu wa AMANI maana anatumia lugha za kukashifu watu na viongozi wenzie hii inaonyesha kupoteza kwa mgombea ndio maana Ananadi matusi badala ya Sera.
Kwa bahati nzuri au mbaya kwako ni kwamba, Kawe nzima uko peke yako unayeponda na kuhangaika na Mdee lakini ujuwe wanakawe wote tuko nyuma yake! Endelea wewe kuhangaika na Gwajima , Lodilofa wa mali na akili! Mtu aliye wahi kusema anamiliki helikopta, mara anataka kununua treni ya umeme, eti leo na yeye anakimbilia bungeni kwenda kusugua viti vya bunge kufukuzia posho ya 200,000/=??? Shame on you! Huu kama sio utapeli ni nini??