Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Kumbe Mdee ameshachukua maujuzi kutoka kwa DJ wake Mbowe
 
Sasa inabidi halima hizo pesa atulipe tukalipie hata Kodi ,kutuzingua Sana huyo mbibi
 
Si kwa kutapatapa huku JF! Nendeni Kawe mkaone Mchungaji anavyosubiriwa kwa hamu kutoswa
 
Tatizo kubwa halima hajaolewa so hajazoea kuwa na familia na kupanga bajeti
Mwambieni aolewe Kwanza ndo aje kugombea ubunge
 
Duu.mimi nafikiri kama anasema ziko Kwenye account za kata zinatakiwa kurudishwa Hazina maana how do you hold hela ambayo siyo ya kwako?anazisimamiaje kipindi hichi wakati yeye siyo mbunge?ao hii taarifa ni ya zamani sana
 
Halima aende akaolewe bana ,huku Kwenye siasa anasumbua TU
Miaka 10 anatoka hatujaona chochotee
 
Mimi ni mwanakawe namtaka, na ninamkubali halima!
Simpendi tapeli Gwajima wala mwenyekiti wenu aliye mpitisha Gwajima kugombea kwa sababu ni kabila lake tu!
Kila mtu anahaki ya kumchagua mtu anayemuhitaji so kwangu mim Gwajima anafaaa maana hajawahi mtapeli mtu kama huyo domo zenge wenu ametapel wanakawe mara nyingi Mwisho wake umefika
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]utoporo mtupu umeandika
 
Sijajua serikali ya awamu hii imekuwa pole sana yani huyu tapeli mpaka sasa bado yupo uraiyani?
 
Huyu bibi akibahatika kuolewa siata muibia sana mume wake kama anauwezo wa kuibia serikali.
 
Anatuibia saana kawe bora utusaidie kuwajulisha watu wajue ukweli woote ya kwamba hatumtakiii mdee rudi kwenu kawe hujasahau kituu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…