Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Kasomu kitabu chake kwanza kwa hela alizopewa mfuko wa Jimbo.
Akili ikikuzinduka rejea mchango wako.
Halima MUST GO!
Hivi unajua namna pesa ya mfuko wa jimbo hiko chini ya nani? Inatolewa Vip? Na hiko kwenye account gani? Kwa akili yako unadhan mbunge ni tatizo? Mbona hali ya majimbo karibu yote ya dar ni dhohofu. Ukonga walikuwepo waitara; nangalia miundombinu yake utadhani sijui kijiji gani? Temeke je ? Ile kauli ya mzee iliyotolewa tunduma nadhani Ndio chimbuko la hayo matatizo
 
Kapeka kwenye jimbo.
Hivi sababu vyenu havito wasaidia.
Kawe wanajitambua hatuwezi kumchagua mzinifu tapeli na anajifanya aakofu huku anakula kondoo wake na kuwatapeli.
Hatuwezi kuchagua mtu mwenye chuki na waislam.
Gwajima ni dirty fella
 
Hatutaki malumbano.
Halima kashindwa vibaya ubunge.
Hana cha kutuekeza kwa miaka 10 aliyohodhi kiti cha ubunge.
Tuwe wakweli tu.
Halima is a failure as far as peoples expectations are concerned.

Kibaya zaidi ni barabara mbofu mbofu jimboni.
Halima hana uhusiano mzuri na vyombo vya serikali vyenye kuweza kuleta maendeleo.
Sasa tunamchague akakenue meno bungeni?
Halima MUST GO!
 
HALAFU UTAYASIKIA MAJITU FULANI HUMU YAKIMWAGA POVU KUMTETEA
 
Gwajima njia nyeupee , halima hajafanya kitu chochote kawe.
Awamu hii hauna Mbunge aliyepata hata cent 5 zote aligawa mwenyewe km ni madaraja au Hospital
kwahiyo usemi wa Maendeleo hayana vyama ni sawa
MWACHIENI HALIMA MDEE AMGALAGAZE GWAJ BOY
 
Awamu hii hauna Mbunge aliyepata hata cent 5 zote aligawa mwenyewe km ni madaraja au Hospital
kwahiyo usemi wa Maendeleo hayana vyama ni sawa
MWACHIENI HALIMA MDEE AMGALAGAZE GWAJ BOY
Aa wapi Halima mdee hana ubavu wa kumgalagaza Gwajima .halima hatumuoni Bungeni wala jimboni.
 

Unatia aibu kwa ccm wenzako
Aliekwambia ni mbunge pekee ndio anakaa na pesa za jimbo ni Nani?

Why usimuulize mkurugenzi alieteuliwa na Rais wako?

Na ww unakuwa na akili Kama za gwajima,
Analalamika barabara kwa halima hajui kama imeundwa taasisi inaitwa tarula kwa ajili ya Hizo barabara
 
Aa wapi Halima mdee hana ubavu wa kumgalagaza Gwajima .halima hatumuoni Bungeni wala jimboni.
Hivi awamu hii ya 5 uliliona Bunge letu, au kuna Mbunge ulimsikia kapewa mradi? umeambiwa maendeleo hayana Chama
ni nini walichokipitisha? ununuzi wa ndege, Nyerere Dam, Mbuga ya wanyama walikopelekwa Twiga? au zile 15trilioni alizohoji Zitto
ilikuwa Ndiooooooo kila Kikao
 
Hajui na hatakaa ajue
 
Siku hizi humu JF kuna ujinga sana vitu gani hivi umeandika?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…