Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Dah! ID MPYA nyingi hz kazi maalum, ni Mdee tuuuu mnadeal naye. Jiandaeni kuiba kura, hamtatoboa kwa sababu hamjui hata taratibu za mfuko wa Jimbo na hamtaki kueleweshwa
 
Wanakawe mlipoteana Sana kumchagua huyo kinyago
Tupa mbali ,sasa Tunataka watu watakaotuletea maendeleo
 
Haikusaidii sana kuongea na kufikiri kama boga lililojuu ya kichwa chako.
Siye tunaita realpolitik, ambayo inataka kuishawishi na kulobby powers that be.
Hiyo ni prctice world over.
Halima kashindwa kazi ya ubunge.

Na ninyi vichwa vya kuku mtaendelea kumshabikia kama hamna akili nzuri.
Halima MUST GO!
Mkuu umelipwa fedha yako ya Ukandarasi? Hukosi kulalamika humu...
 
Huyo pornstar wenu anawatumikisha vilivyo kwani ujira mnaolipwa naye si haba!
Nipo hapa jf nasubiri kuona mtakavyoaibika na huyo askofu Koko wenu mla kondoo wake! Na kwa taarifa yenu, hakina kura anayekwenda kuipata ya kumpa ushindi kwa jinsi anavyochukiwa na wanakawe! Halima ni mbunge wa kawe kwa miaka mwingine mitano ijayo mtake, msitake!
Mtauuza Sana utu wenu kwa vipande vya fedha Tena zile sadaka wanazotoa waumini maskini wasiojiweza! Mna la kujibu mbinguni kwa dhuluma hiyo!
 
Wapuuzi hao, we angalia ID zao ndo utagundua kuwa wamejisajili kwa ajili ya kazi maalumu ya kumtetea gwajiboy na kumponda mdee.
Hata bila kuangalia ID,mtiririko wa michango yao tu inajieleza wazi na kuwaweka peupe! Hivi huwa ni Tsh ngapi kwa neno au wanalipwaje?!
 
Washington, DC — The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.

House Resolution 1120 - sponsored by California Democrat Karen Bass, who chairs the subcommittee, and the ranking Republican, Chris Smith from New Jersey - reflects growing concern over political and economic developments in Tanzania by members of Congress who follow Africa.

Since the election in 2015 of President John Magufuli, the resolution states, "Tanzania has adopted and enforced multiple repressive laws that restrict freedom of the press, and of expression, assembly, and association." Citing reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania, the resolution criticizes the government's "lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships."

Protection of U.S. investor rights is an issue that enjoys bipartisan support, and there are several U.S. commercial disputes in the country at this time. But the driver behind this Congressional expression of concern is the government's nearly four-year dispute with Symbion Power, centered on the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant.

Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.
 
Nyie vichaa kumbe ni kweli mmetoka kanisani kwa Gwajiboy kuja kuleta pumba zenu huku, Kawe sio lindi wajomba, acheni kuhangaika na mcheza porn wenu.
mods wa siku hizi ni hovyo kabisa... ilitakiwa mpaka sasa hivi hizo ID mpya ziwe merged
 
Tarehe 28.10.2020, wananchi wa Tanzania watakuwa katika moja ya majukumu makubwa ambayo pia ni haki na wajibu wao kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye atawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano mingine. Wakati kampeni zikiwa zinaendelea za urais, wabunge na madiwani; nikusogezee hali inavyoendelea katika jimbo la Kawe.

Jimbo limekuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10 likiongozwa na mbunge mwanamke Halima James Mdee. Kwa miaka 10 mambo yamekuwa mazuri kwake na huenda alijisahau kwamba maisha yanavyosonga mbele, uelewa unaongezeka, watu wanaendelea kupambanua akili zao na hivyo ni rahisi sana kugundua kuwa wamekuwa wakiibiwa kwa kipindi chote hicho.

Hii inaweka alama nyingine ambayo inaashiria kuwa huenda safari ya kisiasa kwa Halima Mdee ndani ya jimbo la Kawe imefikia mwisho na wananchi wako tayari kubadilisha hali zao kwa kumchagua mtu mwingine anayeonekana kuwa na ushawishi mkubwa na uwezekano wa kutatua matatizo yao.

Jambo linaloshangaza sana ni wanachama wa CHADEMA kuwa mstari wa mbele kuwashawishi wananchi wasimchague Halima kwa kile wanachokisema kuwa wao husahaulika baada tu ya uchaguzi. Hapa awali limeonekana wimbi kubwa la wanachama wa CHADEMA wakitimkia CCM na wote wana kauli moja,"HALIMA UMESAHAU NINI KAWE?, NI ZAMU YA GWAJIMA SASA.

Joseph Sospeter
Kawe-Ukwamani
Kamwe Kawe msimkubali mhuni awawakilishe, sote tunajua jinsi Gwajima alivyomtusi Pengo na mufti mkuu. Tunajua jinsi Gwajima alivyotumia ukabila kuhamasisha watu wamuunge mkono Magufuli. Kashfa na uchafu wa Gwajima na picha chafu za video zimetapakaa kila mahali. Hatuwezi kumchagua mtu kama huyu kuwa mbunge hata siku moja.
 
Mimi nimkazi original na mzawa wa kawe maeneo ya huku ni mabovu sana na mengine hatarishi kwa maisha ya watu hasa kipindi cha mvua
Kuwa mwelewa basi. Kazi ya mbunge ni kupeleka shida bungeni, Diwani ni kupeleka shida kwenye council. (Mbunge/diwani hawana pesa ya kuleta maendeleo). Mwenye wajibu wa kutengeneza miundombinu ni serikali inayokusanya kodi. Tarura na tanroad etc ndo kazi zao.
 
Kuwa mwelewa basi. Kazi ya mbunge ni kupeleka shida bungeni, Diwani ni kupeleka shida kwenye council. (Mbunge/diwani hawana pesa ya kuleta maendeleo). Mwenye wajibu wa kutengeneza miundombinu ni serikali inayokusanya kodi. Tarura na tanroad etc ndo kazi zao.
Kasomu kitabu chake kwanza kwa hela alizopewa mfuko wa Jimbo.
Akili ikikuzinduka rejea mchango wako.
Halima MUST GO!
 
Back
Top Bottom