Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Dah! ID MPYA nyingi hz kazi maalum, ni Mdee tuuuu mnadeal naye. Jiandaeni kuiba kura, hamtatoboa kwa sababu hamjui hata taratibu za mfuko wa Jimbo na hamtaki kueleweshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge wa kitaifa kwa kulala selo?
Halima OUT!
Mkuu umelipwa fedha yako ya Ukandarasi? Hukosi kulalamika humu...Haikusaidii sana kuongea na kufikiri kama boga lililojuu ya kichwa chako.
Siye tunaita realpolitik, ambayo inataka kuishawishi na kulobby powers that be.
Hiyo ni prctice world over.
Halima kashindwa kazi ya ubunge.
Na ninyi vichwa vya kuku mtaendelea kumshabikia kama hamna akili nzuri.
Halima MUST GO!
Hata bila kuangalia ID,mtiririko wa michango yao tu inajieleza wazi na kuwaweka peupe! Hivi huwa ni Tsh ngapi kwa neno au wanalipwaje?!Wapuuzi hao, we angalia ID zao ndo utagundua kuwa wamejisajili kwa ajili ya kazi maalumu ya kumtetea gwajiboy na kumponda mdee.
Naunga mkono hoja kwa kujiuliza halima alisema serikali haimsapport je hizo fedha anazozifanya zipo bank alishindwaje kuzitumia ndo maana tunasema ni bi kidude kashachoka akapumzike
mods wa siku hizi ni hovyo kabisa... ilitakiwa mpaka sasa hivi hizo ID mpya ziwe mergedNyie vichaa kumbe ni kweli mmetoka kanisani kwa Gwajiboy kuja kuleta pumba zenu huku, Kawe sio lindi wajomba, acheni kuhangaika na mcheza porn wenu.
Kamwe Kawe msimkubali mhuni awawakilishe, sote tunajua jinsi Gwajima alivyomtusi Pengo na mufti mkuu. Tunajua jinsi Gwajima alivyotumia ukabila kuhamasisha watu wamuunge mkono Magufuli. Kashfa na uchafu wa Gwajima na picha chafu za video zimetapakaa kila mahali. Hatuwezi kumchagua mtu kama huyu kuwa mbunge hata siku moja.Tarehe 28.10.2020, wananchi wa Tanzania watakuwa katika moja ya majukumu makubwa ambayo pia ni haki na wajibu wao kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye atawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano mingine. Wakati kampeni zikiwa zinaendelea za urais, wabunge na madiwani; nikusogezee hali inavyoendelea katika jimbo la Kawe.
Jimbo limekuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10 likiongozwa na mbunge mwanamke Halima James Mdee. Kwa miaka 10 mambo yamekuwa mazuri kwake na huenda alijisahau kwamba maisha yanavyosonga mbele, uelewa unaongezeka, watu wanaendelea kupambanua akili zao na hivyo ni rahisi sana kugundua kuwa wamekuwa wakiibiwa kwa kipindi chote hicho.
Hii inaweka alama nyingine ambayo inaashiria kuwa huenda safari ya kisiasa kwa Halima Mdee ndani ya jimbo la Kawe imefikia mwisho na wananchi wako tayari kubadilisha hali zao kwa kumchagua mtu mwingine anayeonekana kuwa na ushawishi mkubwa na uwezekano wa kutatua matatizo yao.
Jambo linaloshangaza sana ni wanachama wa CHADEMA kuwa mstari wa mbele kuwashawishi wananchi wasimchague Halima kwa kile wanachokisema kuwa wao husahaulika baada tu ya uchaguzi. Hapa awali limeonekana wimbi kubwa la wanachama wa CHADEMA wakitimkia CCM na wote wana kauli moja,"HALIMA UMESAHAU NINI KAWE?, NI ZAMU YA GWAJIMA SASA.
Joseph Sospeter
Kawe-Ukwamani
Kama kulala selo ni poa abaki hukohuko, ubunge awaachie wapenda maendeleo.Mpinzani kulala sero kwenye nchi za madictator uchwara ni jambo la ajabu?
Halima anauweka usiku.Mkuu umelipwa fedha yako ya Ukandarasi? Hukosi kulalamika humu...
Kama kulala selo ni poa abaki hukohuko, ubunge awaachie wapenda maendeleo.
Halima MUST GO!
Alienda kwa mapenzi yake, na nyie wapenzi wake mbona hamkumfuata huko kumpa tafu?Alienda sero kwa mapenzi yake au dictator kaagiza?
Alienda kwa mapenzi yake, na nyie wapenzi wake mbona hamkumfuata huko kumpa tafu?
Wana Kawe hawakumtuma huko kwenye mapenzi yake.
Halima MUST GO.
Kuwa mwelewa basi. Kazi ya mbunge ni kupeleka shida bungeni, Diwani ni kupeleka shida kwenye council. (Mbunge/diwani hawana pesa ya kuleta maendeleo). Mwenye wajibu wa kutengeneza miundombinu ni serikali inayokusanya kodi. Tarura na tanroad etc ndo kazi zao.Mimi nimkazi original na mzawa wa kawe maeneo ya huku ni mabovu sana na mengine hatarishi kwa maisha ya watu hasa kipindi cha mvua
Kama huelewi basi hata huyo Halima unamsikia tu!Unaongea utoto gani dogo?
Kasomu kitabu chake kwanza kwa hela alizopewa mfuko wa Jimbo.Kuwa mwelewa basi. Kazi ya mbunge ni kupeleka shida bungeni, Diwani ni kupeleka shida kwenye council. (Mbunge/diwani hawana pesa ya kuleta maendeleo). Mwenye wajibu wa kutengeneza miundombinu ni serikali inayokusanya kodi. Tarura na tanroad etc ndo kazi zao.