Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

nafasi ya Halima kurudi bungeni ilikuwa finyu ila ccm wamekosea kwa kuwaletea Gwajima kiongozi tapeli anayetumia dini kutapeli
 
Hii Ni id nyingine ya siku mbili zilizopita, huu ndio muda wa kupiga hizo hela za huyo boya bila jasho. Zipo id nyingi zilizoanza july kwa ajili ya kumpamba Gwajima. Kuleni hela za bwege hilo.
Wewe unakula za nani? Acha akili mgando
 
Msivyo na akili kama jiwe lenu...
Kwa hiyo mnataka mbunge atakaekuwa mwakilishi wa serikali bungeni?

Mwenyekiti wenu hajui kazi yake na nyie wafu asi wake hamjui wajibu wenu! Kweli CCM imekufa
Haikusaidii sana kuongea na kufikiri kama boga lililojuu ya kichwa chako.
Siye tunaita realpolitik, ambayo inataka kuishawishi na kulobby powers that be.
Hiyo ni prctice world over.
Halima kashindwa kazi ya ubunge.

Na ninyi vichwa vya kuku mtaendelea kumshabikia kama hamna akili nzuri.
Halima MUST GO!
 
Hata jina lako linaonyesha ulivyomkabila! Nchi hii sio ya kabila lenu tu...
 
Account zooote hizi ni mpya zote, zina mwez au miezi miwili

Wameshashauriana huko kwenye groups zao za WhatsApp wanakuja vamia huku

wasted sperm's
Nyie mabolizozo nini?
Sasa mtu akiwa kampeni ya ubunge wapambe wake waende kulala?
Halima MUST GO!
 
Hata jina lako linaonyesha ulivyomkabila! Nchi hii sio ya kabila lenu tu...
Kufikiria ukabila karne hii ni kuonyesha watu kuwa pamoja na kwenda shule za Kanumba, elimu haijapanda.
Maboga juu ya mabega yamewatawala.
Jibu hoja kwa hoja come on!
Halima MUST GO!
 
Hali mbaya sana kwa Mbunge wa Kawe anayemaliza muda wake. Nadhani yawezekana sasa kuwa wananchi wamemchoka na bora apumzike.
Tarehe 28 pale ambavyo ninaenda kumchagua Gwajima sitaki kabisa ahadi za uongo
Kwakweli wananchi wa Kawe tumemchoka yeye aende tu.
Imeisha hivyo akapumzike ajenge familia yake.
R.I.P Halima Mdee mwenyewe anajiita sauti ya zege
Nyie vichaa kumbe ni kweli mmetoka kanisani kwa Gwajiboy kuja kuleta pumba zenu huku, Kawe sio lindi wajomba, acheni kuhangaika na mcheza porn wenu.
 
Back
Top Bottom