Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Mimi nimkazi original na mzawa wa kawe maeneo ya huku ni mabovu sana na mengine hatarishi kwa maisha ya watu hasa kipindi cha mvua
 
Wana Kawe hatuitaji hata kumuona kwenye jimbo letu.
 
Wana Kawe hatuitaji hata kumuona kwenye jimbo letu.
 
Mdee hafai na hatumtaki kawe mtu mwenye ahadi za uwongo na mtu anayehujumu uchumi wetu hatumtaki.....sasa hivi tunataka kwenda na Gwajima na CCM
 
Wana Kawe hatuhijati hata kumuona kwenye jimbo letu tapeli huyo.
 
Tumeligundua hilo halima ni muongo na ni mwizi hajatekeleza

Kura tunampa Gwajima
 
Naona halima mwaka huu mmemkalia kichwani atatoka kweli?
 
Halima ni mwongo sana sana sana na baba yake kiongozi wakuaribu vijana kwa kusapport ushoga
 
Ni hakika hatufai 2020 kura yangu kwa Gwajima
 
Hatutaki udanganyifu alishakuwa kiongozi wa Kawe na akashindwa kutekeleza ahadi zake na muda wake umefika wa kuacha jimbo. Pishaaaa njiaaa Gwajima apite, Bungeni tunaingia kwa kishindo!!
 
Huyu hafai na hatakiwi kabisa kawe maana wanaKawe tunamuhesabu ni mwizi wa mali za wananchi wa Kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…