Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Edwin Mtei ndio mwanachama namba moja Bosi

Kasome Historia ya CHADEMA halafu fuatilia majina haya:

1. Edwin Barongo
2. Sylvester Masinde
3. Brown Ngululuki
4. Merry Kabigi
5.Michael Shanga,
6.Medadi Mutungi
7. Costa Shinyanga
 
Jibu swali we mpumbavu,unajidai unajua inne game kwa kuingiza tuviingereza vya kijinga,kwani ukiwa CCM lazima uwe mjinga?
Mbona kama ume panic hiv kamanda? Tuliaa. Mahakama za Bongo na africa kwa ujumla(na sio africa tu balinhata majuu) kuna watu powerful wana influence maamuzi yake.. Hii ya akina Mdee ni purely chadema (Mbowe) wana husika kwa 100%.
 
Magufuli uendelee kulaaniwa huko uliko inawezekana serikali ya Samia haipendi haya ila wafanyaje?
Chadema bhana 😂 itafika 2050 na bado mtaendelea kumlaumu JPM, michongo yote ifanywe na mume wenu Mbowe halafu mnakuja kumlalamikia JPM
NA BADO MTALALAMIKA SANA TUUU.
 
Jf admini hii taarifa ipo verified?

admini wa JF kweli hawa wameshinda kesi au maamuzi ya Baraza Kuu ndio yamefutwa?

Nakuombeni JF msome kwenye hukumu Orders za Mahakama.
Msiingie mkenge mkawa kama Blogs! za mitaaani!
Innovator Fang Diversity Maxence Melo
 
Chama cha kwanza cha upinzani kushinda ubunge mwaka 1992 😂
 

Na kweli sidhani hata kwa vyama vingine wajumbe wa kamati kuu ni tofauti kabisa na wajumbe wa halmashauri kuu. Kuna wajumbe ambao kutokana na kuwa katika organ fulani ya uamuzi wa chama wanakuwa pia wajumbe wa organ nyingine. Vinginevyo chama hakiwezi kwenda kwa kukosa harmonisation na continuity.
 
Huna akili hata ya kwenye kisoda tu
 
Mahakama imejichanganya kwenye kutekeleza maelekezo, Bunge haliwezi kurudia makosa kwenye kufuata maelekezo
 
Wataendelea na ubunge hadi uchaguzi ujao,najua watashinda wabunge wachache wa upinzani kwenye uchaguzi ujao au wasishinde, je hao covid baaada ya uchaguzi wakifoji tena barua ya kuwa wameteuliwa viti maalum chadema mbona watarudi tena bungeni,..duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitakuita tembo sababu hatawasikiliza.
 
Huku kwa wangoni tembo ni jina zuri tu, tutakata rufaa mahakama ya Rufani, kule kesi itakaa miaka miwili au mitatu, kule kuna foleni ndefu.

Tulia akishapewa notice of appeal, anauachia muhimili pendwa ufanye kazi yake.

Mihimili inacheza kama pacome zizzou au Nzegeli, huyu kampa huyu, huyu kampa Yule, mpaka 2025 August refa anamaliza mechi kwa kuvunja bunge
 
Hivi ile michango wanayokamua wananchi maskini kwenye mikutano unafikiri ni hela ndogo?embu fikiria ruzuku ya bilion mbili kila mwezi na hata ofisi hawana ?cdm ni zaidi ya ngombe wa maziwa.
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani, chama pekee kinachofikisha ruzuku ya Bilioni Moja @month ni ccm. Hakuna chama chochote kinafikisha hata 120m kwa mwezi. Kwa figure hii ndio nimejua naongea na mjinga mwenye umri mkubwa.
 
Aiseeh! Tangu lini CHADEMA ikapokea bilioni mbili kwa mwezi?. Kwanza unajua hata CCM yenyewe haipokei Ruzuku ya bilioni mbili kwa mwezi?. Tuache kutunga mambo ya uongo
Nini? Uwongo ndiyo mtaji wa Watz wengi. Na siyo uwongo tu, bali pia kujikombakomba.
 
Yule jamaa ndio kaleta yote haya. Kaharibu uchaguzi mkuu kakimbia kwenda kuwanunua akina mdee. Aiseeh Dunia haina haki.

Mhusika mkuu katika yote haya ni Mbowe. Hakuna sababu tena ya kupigapiga maneno mengine pembeni.
Ni kweli, walichofanya kina Mdee baraka za Mbowe zinaonekana japo CDM hawawezi kukiri hilo, hivyo Mbowe ni sehemu ya hili tatizo.

Tindo zitto junior
 

Hapa kunaweza kuwa na jambo ambalo hatulijui!!! Chadema ruzuku si wanapokea??

Kama ndio inamaana hao wadada wapo kihalali bungeni!!! Mwenyekiti wa chadema anajua mengi na ndo sababu yupo kimya.....

Chadema endeleeni kula ruzuku na hawa wdada mkae nao myamalize warudi chamani, maana pia niwa pambanaji hawajawai kukubali kuwa wao ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…