Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao


Duh! Umeelewa order ya mahakama?. Katiba ya CHADEMA inatambua ya kwamba wajumbe wa kamati kuu pia wanakuwa wajumbe wa Baraza kuu. Sasa hapo katiba gani imevunjwa?. Utakuwa na Baraza kuu bila mwenyekiti wa chama, Katibu mkuu, Makamu mwenyekiti, mweka hazina etc?.

Mahakama imeamua kutumia tafsiri yake ili kuwachomoa akina Halima Mdee bila kuangalia reality ya muundo wa chama Cha CHADEMA.
 

Inabidi kufanya hivyo
 
Mahakama haijabatilisha maamuzi ya kamati kuu.
Wala haijabatilisha rufaa ya akina Mdee. Kilichobatilishwa ni maamuzi ya rufaa yao, hivyo CDM wanapaswa kufanya kikao halali kujadili hizo rufaa kama muda unaruhusu kisheria.
 
Kwa kweli hii hukumu imefungua pandora box. Vyama vyote vya siasa vina tatizo hii.
 
Ukichunguza kwa umakini unaona kabisa Kuna jambo haliko sawa katika katiba na ili kumove on ni lazima libadilishwe. Kimsingi kosa lililofanyika ni kosa la wazi kiasi kwamba hata kulikuwa hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kupambania jambo ambalo matokeo yake yalikuwa yanajulikana. Uamuzi wa kifukuzwa ulikuwa sahihi ila hii ya kujisikiliza mwenyewe daah!!! Very common mistake
 
Impliedly jaji Mkeha anakiri wazi kuwa kuwa Kamati kuu ilishawafuta uanachama Mdee na wenzake.

Kosa ni fairness in terms of Natural justice.

Ila anakubali kuwa walifutwa uanachama kihalali.

Lakini shida ni baraza kuu la CHADEMA kuwa na wajumbe wanaojirudia.

Lakini alipaswa kusema kuwa katiba ya JMT ibara ya ya 67 (1) (b) inavunjwa maana Mdee na wenzake sio wanachama wa CHADEMA ya Mbowe
 
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria

Kwa hiyo mahakama ya hakimu mkazi ndiyo uchochoro wenu?
 
Chadema bhana πŸ˜‚ itafika 2050 na bado mtaendelea kumlaumu JPM, michongo yote ifanywe na mume wenu Mbowe halafu mnakuja kumlalamikia JPM
NA BADO MTALALAMIKA SANA TUUU.
🌈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…