Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #401
Labda nirudie tena , maana nimefundisha sana wenzako miaka na miaka , Ruzuku za vyama vya siasa zinatokana na kiasi cha jumla ya kura za Urais kiilizopata chama husika , hazitokani na wabunge wa viti maalum .Nipe breakdown ya fedha inazopokea CHADEMA kama ruzuku halafu weka mahesabu zinapatikana kivipi
Ndiyo makosa yenyewe hayo. You can not be a judge of your own course. Hao hao walileta malalamiko na hao hao wakakaa na kuamua
Mungu mkubwa! Haki imetendeka na Shetani amekiona cha moto.
Haiwezekani ujue mambo ya chadema kiasi hiki usiwe Mangi acha kutupotosha aisee.
Hukumu hii imeviweka vyama vyote vya siasa Nchini ( Vyenye muundo kama wa chadema- mfano kamati kuu, baraza kuu etc) mahali pabaya sana. Kwa hukumu ya jana, kuna haja ya kufanya judicial review ya maamuzi yote yaliyowahi kutolewa huko nyuma na vyama vyote kwa style ya kichadema. Na kama walikosea, waliokoseshwa natural justice wapewe haki yao. Taasi za umma ( Vyama vyote vya siasa- ccm ikiwemo) vyene quasi judical powers na ambavyo havifuati principle of natural justice kinyume cha katiba, vifutwe na lungu la kufutwa liwaangukie hata ccm kwa mfano ule wa sofia simba, Lowasa, membe na wengineo kama kule CUF etc.Tunakumbushana tu
Lolote laweza kutokea
Mh Dr Tulia Mwansasu PhD ni Spika wa Dunia nzima
Mlale Unono 😀😀
Jana tarehe 14 Desemba hukumu ya wananchama wa CHADEMA waliofukuzwa imetolewa. Tumeona dosari iliyotajwa na Mhe. Jaji kuwa uamuzi a Baraza Kuu haukuwa halali kuwafukuuza kwa sababu Wajumbe waliofanya uamuzi wa Kamati Kuu ya kuwafukuza tena walishiriki katika Baraza Kuu kuwafukuza jambo ambalo siyo sawa. Sasa ninauliza swali, Kama Baraza Kuu la CHADEMA likikaa tena na kuwaita na wakakataa wito, Je uamuzi wa kuwafukuza utakuwa halali?. Je uamuzi wa Baraza Kuu kama watawasilisha Bungeni utaheshimika?. Naomba kuwasilisha.
Chadema wanatakiwa Waitishe BARAZA KUU haraka Kama Mahakama ilivyoelekeza kisha Bunge lijulishwe tuone UJINGA upo Wapi tena
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Tusidanganyane hapa wabunge wapo bungeni kwanza kwa masilahi yao binafsi kisha ndio masilahi ya umma, si ccm si upinzani.
Wewe mtoto mdogo utatufanya nin Sisi ,tumeshika Kila kona mahakaman,polisi ,jeshin ,bungeni hadi ikulu
Matunda ya maridhiano haya , pia hii issue ina baraka tele kutoka mamlaka za juu Chadema, ni usanii tu ulikuwa una endelea, hapa Chairman kapata sababu za kusema ni mahakama iliamua tuwe nao , ni mjanja balaa.
Mbowe ni gwiji la wa sanii Tz, uzuri wake pamoja na usanii chama kina songa.
Ligi iendelee, hiyo hukumu ikatiwe rufaa kuna udhaifu