Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #401
Labda nirudie tena , maana nimefundisha sana wenzako miaka na miaka , Ruzuku za vyama vya siasa zinatokana na kiasi cha jumla ya kura za Urais kiilizopata chama husika , hazitokani na wabunge wa viti maalum .Nipe breakdown ya fedha inazopokea CHADEMA kama ruzuku halafu weka mahesabu zinapatikana kivipi
Na ukumbuke hata hao viti maalum , idadi yao kwa kila chama bungeni hesabu yake inapigwa kutokana na idadi ya hizo kura kilizopata chama husika