Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Nipe breakdown ya fedha inazopokea CHADEMA kama ruzuku halafu weka mahesabu zinapatikana kivipi
Labda nirudie tena , maana nimefundisha sana wenzako miaka na miaka , Ruzuku za vyama vya siasa zinatokana na kiasi cha jumla ya kura za Urais kiilizopata chama husika , hazitokani na wabunge wa viti maalum .

Na ukumbuke hata hao viti maalum , idadi yao kwa kila chama bungeni hesabu yake inapigwa kutokana na idadi ya hizo kura kilizopata chama husika
 
Matunda ya maridhiano haya , pia hii issue ina baraka tele kutoka mamlaka za juu Chadema, ni usanii tu ulikuwa una endelea, hapa Chairman kapata sababu za kusema ni mahakama iliamua tuwe nao , ni mjanja balaa.

Mbowe ni gwiji la wa sanii Tz, uzuri wake pamoja na usanii chama kina songa.
 
Ndiyo makosa yenyewe hayo. You can not be a judge of your own course. Hao hao walileta malalamiko na hao hao wakakaa na kuamua

Sidhani Kama Kamati kuu ilipiga kura. Waliopiga kura ni wajumbe wengine wa Kanda wa Baraza kuu. Ila ndio hivyo mahakama imeamua kulazimisha mambo.
 
Tunakumbushana tu

Lolote laweza kutokea

Mh Dr Tulia Mwansasu PhD ni Spika wa Dunia nzima

Mlale Unono 😀😀
Hukumu hii imeviweka vyama vyote vya siasa Nchini ( Vyenye muundo kama wa chadema- mfano kamati kuu, baraza kuu etc) mahali pabaya sana. Kwa hukumu ya jana, kuna haja ya kufanya judicial review ya maamuzi yote yaliyowahi kutolewa huko nyuma na vyama vyote kwa style ya kichadema. Na kama walikosea, waliokoseshwa natural justice wapewe haki yao. Taasi za umma ( Vyama vyote vya siasa- ccm ikiwemo) vyene quasi judical powers na ambavyo havifuati principle of natural justice kinyume cha katiba, vifutwe na lungu la kufutwa liwaangukie hata ccm kwa mfano ule wa sofia simba, Lowasa, membe na wengineo kama kule CUF etc.

Huyu speaker sasa na afanye kazi na aoneshe weledi wake kama Raisi wa Mabunge duniani, akitoa ruling thaifa, ni Taifa zima tunachafuka, na akitoa maamuzi safi, ataiheshimisha Tanzania nzima. Ni hayo tu John.
 
Jana tarehe 14 Desemba hukumu ya wananchama wa CHADEMA waliofukuzwa imetolewa. Tumeona dosari iliyotajwa na Mhe. Jaji kuwa uamuzi a Baraza Kuu haukuwa halali kuwafukuuza kwa sababu Wajumbe waliofanya uamuzi wa Kamati Kuu ya kuwafukuza tena walishiriki katika Baraza Kuu kuwafukuza jambo ambalo siyo sawa. Sasa ninauliza swali, Kama Baraza Kuu la CHADEMA likikaa tena na kuwaita na wakakataa wito, Je uamuzi wa kuwafukuza utakuwa halali?. Je uamuzi wa Baraza Kuu kama watawasilisha Bungeni utaheshimika?. Naomba kuwasilisha.

Akina Halima Mdee Wana back up ya serikali, mahakama na bunge. Ndio maana hili suala kinakuwa gumu. Nikuambie tu, hata akina Mbowe wasiposhiriki mkutano wa Baraza kuu hao akina Halima Mdee watakata rufaa kudai kuwa Baraza kuu halikutimia. Ni kamchezo tu serikali imeamua kufanya kuikomoa CHADEMA.
 
Chadema wanatakiwa Waitishe BARAZA KUU haraka Kama Mahakama ilivyoelekeza kisha Bunge lijulishwe tuone UJINGA upo Wapi tena

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Ilitakiwa Baraza liitwe kwa dharura ndani ya wiki mbili na hao akina Halima Mdee wapewe notisi mapema ya kusikiliza rufaa yao. Ili tuondikane na hili Jambo la kijinga
 
Tusidanganyane hapa wabunge wapo bungeni kwanza kwa masilahi yao binafsi kisha ndio masilahi ya umma, si ccm si upinzani.

Mnapenda Sana kuwafananisha CCM na wapinzani. Acheni unafiki. Unajua kwamba bungeni pamejaa CCM asilimia 94% then unalazimisha kuweka na upinzani, tuwe serious.
 
Wewe mtoto mdogo utatufanya nin Sisi ,tumeshika Kila kona mahakaman,polisi ,jeshin ,bungeni hadi ikulu

Kumbe ndio unachoringia. Kumbe bila mahakama, polisi, jeshi, bunge na ikulu wewe sio kitu. Pole Sana.
 
Matunda ya maridhiano haya , pia hii issue ina baraka tele kutoka mamlaka za juu Chadema, ni usanii tu ulikuwa una endelea, hapa Chairman kapata sababu za kusema ni mahakama iliamua tuwe nao , ni mjanja balaa.

Mbowe ni gwiji la wa sanii Tz, uzuri wake pamoja na usanii chama kina songa.

Nadhani umeongea utani. Kwa hukumu ya Jana akina Halima Mdee sio wananchama kabisa wa CHADEMA. Ndio maana walikata rufaa Baraza kuu ili kurudishiwa uanachama na mahakama imekubali kuwa maamuzi ya kamati kuu ndio sahihi, hivyo Baraza kuu lirudie mchakato upya wa kusikiliza rufaa yao bila kuingiliwa na kamati kuu.
 
Ligi iendelee, hiyo hukumu ikatiwe rufaa kuna udhaifu

Nadhani haitaji rufaa, Bali kufuata maelekezo ya mahakama kwamba CHADEMA ikae upya kupitia Baraza kuu isikilize rufaa ya Mdee na wenzake na kupeleka maamuzi yake Bungeni.
 
Covid 19 ilikua ni michezo ya mbowe na jiwe kuhadaa watu,nani alikuambia jiwe na mbowe walikuwa maadui?
 
Covid 19 ilikua ni michezo ya mbowe na jiwe kuhadaa watu,nani alikuambia jiwe na mbowe walikuwa maadui?
 
Kwa jinsi hukumu ilivyotolewa bila kutaja Vifungu vyovyote au kusoma Katiba ya Chadema juu ya Wajumbe wanaounda Baraza Kuu ni wazi Hukumu ilipangwa kimkakati.

Ushauri kwa Chadema. Maadamu Kama Chama tayari Kamati Kuu na Baraza Kuu limewafukuza Halima na Genge Lake achaneni nao endeleeni na Mipango mingine binafsi naamini hata Baraza Kuu likikaa na kuwafukuza mkakati waliopangiwa na CCM ni kukataa Rufaa tena na Bunge halitawafukuza mpaka RUFAA yao isikilizwe na itakuwa Mwaka 2026.

CCM inaona AIBU ikiwafukuza Bungeni kina HALIMA kwani walikubaliana kuwalinda mpaka 2025.
 
Baraza kuu wakiwakataa akina Halima, tunaenda mahakamani tena, yaani bado hamjasema mpaka mseme
 
Back
Top Bottom