Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Kumfukuza mwanachama wa chama chochote kile siyo kama kumfukuza mfanya kazi.

Hususan ikiwa anatowa michango ya chama ya hali na mali.

Wanachama huwa wanafinywa kiaina wajiudhuru wenyewe.

Sasa jigubeli kama halima mdee utalifinya nini ambacho halijawahi kufinywa?
 
Pale kulikua hakuna kesi ni mda tu ulikua unasubiriwa hili hayo yatokee naomba kufahamishwa baada ya mahakama kufuta ua muzi wa chadema je kina Madee wataendelea kutambuliwa na chadema kama wanachama wao na ikiwa watakataa kuwatambua sheria inasemaje kwa anayejua naomba anijibu kisheria swali langu baada ya ma amuzi ya mahakama kufuta uamuzi wa baraza kuu chadema italazimika kuwatambua kama wanachama wao au haina ulazima kuwatambua sheria inasemaje juu ya hilo
 
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria

Hata mahakama ya rufani haiaminiki.
 
Kubwa jinga wewe
 
Saafi sana aisee...! Hii ndiyo tafasiri sahihi sasa, chama ni cha wananchi na si cha kiongozi mmoja mkuu hapo ufipani
 
Huyo Mbowe hamna kitu hapo boss. Ni muda sana Mbowe ameshaflop. Na kwa taarifa yako uwepo wa hao COVID huko bungeni una mkono wa Mbowe kwa namna moja au nyingine.
Mara ya kwanza tangu uzaliwe unakuwa mkweli
 
Na kule akina Mbowe na wenzake wakiendelea kuvuta ruzuku kila mwezi inayotokana na akina Mdee kuwepo bungeni. Na wakileta fyoko kukata rufaa, hiyo kesi itamalizika 2027, wallahi tena.
Haihusiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…