Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Kwani hii ilikuwa Mahakama ya Rufaa yenye uamuzi wa mwisho katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbona hukumu nyingi tu hutenguliwa rufaa ikikatwa? Sema tu kama kusema tu kama hao 19 walifukuzwa ubunge kiuhallali au la imechukua nadhani mwaka mzima na zaidi ni shida zaidi. Kesi ya kupinga ushindi wa Urais wa Uhuru Kenyatta ilikuja nyuma na ile kesi iliamriwa ndani ya wiki moja. Hii ya akina Halima sijui kwa nini ilichukua muda mrefu hivyo.
Kumfukuza mwanachama wa chama chochote kile siyo kama kumfukuza mfanya kazi.

Hususan ikiwa anatowa michango ya chama ya hali na mali.

Wanachama huwa wanafinywa kiaina wajiudhuru wenyewe.

Sasa jigubeli kama halima mdee utalifinya nini ambacho halijawahi kufinywa?
 
Karudishiwa uanachama, atapelekwa na escort ya Polisi kama Selasini pale NCCR. Chadema tuwe serious otherwise yatatukuta ya NCCR na CUF kupachikiwa wenyeviti wasiowataka. Huyo sharifa ni kaimu tu so msajili hamtambui, kule BAVICHA hakuna katibu mkuu so nusrat atairudia post yake!! Why chadema tumekua wazembe hivi?

Cc John Mnyika
Pale kulikua hakuna kesi ni mda tu ulikua unasubiriwa hili hayo yatokee naomba kufahamishwa baada ya mahakama kufuta ua muzi wa chadema je kina Madee wataendelea kutambuliwa na chadema kama wanachama wao na ikiwa watakataa kuwatambua sheria inasemaje kwa anayejua naomba anijibu kisheria swali langu baada ya ma amuzi ya mahakama kufuta uamuzi wa baraza kuu chadema italazimika kuwatambua kama wanachama wao au haina ulazima kuwatambua sheria inasemaje juu ya hilo
 
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria

Hata mahakama ya rufani haiaminiki.
 
Nilijua tu itakua hivi.

Yule mwendawazimu alivuruga uchaguzi kwa ushamba wake akajisombea majimbo yote huku akiwa ana mpango wa kujiongezea muda.

Kuja kushtuliwa kuwa nchi itakosa baadhi ya mikopo ndio akaangukia kwa hao Covid 19 walioapishwa kwenye parking ya gari.
Kubwa jinga wewe
 
Saafi sana aisee...! Hii ndiyo tafasiri sahihi sasa, chama ni cha wananchi na si cha kiongozi mmoja mkuu hapo ufipani
 
Na kule akina Mbowe na wenzake wakiendelea kuvuta ruzuku kila mwezi inayotokana na akina Mdee kuwepo bungeni. Na wakileta fyoko kukata rufaa, hiyo kesi itamalizika 2027, wallahi tena.
Haihusiani
 
Back
Top Bottom