Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
2026 chawa watakuja kusema covid 19 walikuwa haramu. Mark my word
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kazi ya mahakama? Unajua maana Administrative Law?Huyo Jaji maana yake anaipinga Katiba ya Chadema , anaipinga kama nani ?
Sherehe kubwa ufipa leo, Mbowe ana uhakika na ruzuku toka covid 19. Hongereni kwa kushinda kesi. Peopleeeeeeeeeees.Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Huyo Mbowe hamna kitu hapo boss. Ni muda sana Mbowe ameshaflop. Na kwa taarifa yako uwepo wa hao COVID huko bungeni una mkono wa Mbowe kwa namna moja au nyingine.Kwa hukumu hii niseme tu uchaguzi wa ndani ya chama unakwenda kuvurugwa kuanzia mwenyekiti wa chama hadi mashinani tutapandikiziwa viongozi ambao hata fomu hawatochukua na haraka haraka msajili atatangaza kuwatumbua.
Nilionya kule BAWACHA wachague mwenyekiti wamezubaa sasa mdee karejea, sasa akirudi ofisini jumatatu kudai kiti chake mtafanyeje na kipo wazi?
Mbowe kwa hili hapana umeshindwa kuwa aggressive enough, wameshajua tukiporwa hatuna cha kufanya. Ilipaswa walau mmoja atekwe abinywe mpaka ataje wenzake na waliowatuma tungesolve haya maigizo ila kuendelea kucheka cheka hivi tusishangae Mdee akawa mgombea Urais 2025 bila kuchaguliwa na chama.
This is nonsense
Makubaliano gani tena? Mbowe hawezi kukubali kukosa ruzuku hata 2025 watapewa tena viti maalum haohao covid 19.Mimi naona yawepo makubaliano ya hao cov 19 na Uongozi wa CDM! Waachwe waendelee na ubunge kwa kuwa muda uliobaki ni mfupi kabla ya uchaguzi mwingine 2025!
Sio kwa hapa Tanzania, ndio maana wazungu hawako tayari mashauri Yao kusikilizwa kwenye hizi mahakama za ndani, maana wanajua ni uchafu mtupu.Unajua kazi ya mahakama? Unajua maana Administrative Law?
Acha upotoshaji, pitia maamuzi yote siyo kurukia vipande.Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Kwamba wajumbe wa kamati kuu waliotoa hukumu, hawapaswi kuwa sehemu ya baraza kuu linalosikiliza rufaa ya kamati kuu. PRINCIPLE OF BIASNESS.
Very logical reasoning.
Chadema waombeni msamaha hawa wanawake kwa usumbufu mliowasababishia.
JokaKuu zitto junior Bams brazaj Kalamu
Ipo siku mtapata viongozi wakubwa ambao hamkuwachagua ninyi kwa mbinu hizi hizi.Na bado kuna wanaotaka kwenda uchaguzi bIla katiba Mpya.
Kwa mahakama zipi za kukimbilia kukichezwa rafu na wenye vifua vyao kama ilivyozoeleka?
Kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu. "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea"Sio kwa hapa Tanzania, ndio maana wazungu hawako tayari mashauri Yao kusikilizwa kwenye hizi mahakama za ndani, maana wanajua ni uchafu mtupu.
Kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu. "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendeleaHuwa nakipenda sana kigabu cha Mario Puzzo cha "The Godfather!"
"Kwanini ulikwenda kwao?" Jamaa anajibu "kulingana na niliyoifanyia marekani nilijua itanitendea haki"
"Sasa kwanini umekuja kwangu?" Don corleon akauliza... jamaa akajibu " Nimekuja kwako kwakua marekani imenisaliti...nilijitolea fursa zangu, nguvu na uhai wangu kuitumikia marekani lakini leo hii imenisaliti? Nimekuja kwako Don Corleone the Godfather nisaidie nipate haki ya binti yangu"
Hii ilitokea baada ya mzee mmoja binti yake kubakwa na kuumizwa vibaya sana cha ajabu wabakaji walifungwa siku tatu tu na mahakama tena baada ya vuta nkuvute nyingi sana!
Don Corleon alimsaidia kuwaua wabakaji wote wa mwanae.
Hakuna haki mahakamani hasa hizi kangaroo courts za Afrika ni ushwaini mtupu!
hapana hapa mahakama imeweka msingi mzuri wa Vyombo vinavyotoa hukumu kwa ndani ya vyama, kuwa impartial. Jambo ambalo halipo kwa miundo ya utoaji haki kwa vyama vyote vya siasa hapa kwetu. So i think ni maboresho ya utoaji haki na si uzuiaji wa adhabu kwa wanachama...kwa hukumu hii mbona hakutakuwa na chama hapa Tz kinachoweza kufukuza mwanachama wake?
Mbowe bado hajaandaa mrithi wake kwa sasa.Huyo Mbowe hamna kitu hapo boss. Ni muda sana Mbowe ameshaflop. Na kwa taarifa yako uwepo wa hao COVID huko bungeni una mkono wa Mbowe kwa namna moja au nyingine.
Kwamba hiki kifungu ndio kinaonyesha mahakama zetu ni huru?Kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu. "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea"