Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Naangalia hapa mahakamani zimejaa sura za wachaga tu hivi chadema mtaacha lini ukabila?
 
Na kule akina Mbowe na wenzake wakiendelea kuvuta ruzuku kila mwezi inayotokana na akina Mdee kuwepo
bungeni. Na wakileta fyoko kukata rufaa, hiyo kesi itamalizika 2027, wallahi tena.

Acha kupotosha. Viti maalum wale hawausiki na Ruzuku. Jifunze kujisomea
 
Magufuli uendelee kulaaniwa huko uliko inawezekana serikali ya Samia haipendi haya ila wafanyaje?
 
Sitegemei, lakini hastahili tena.
Basi vumilia hadi siku ambayo atakuwa hawezi kubeba mguu ndio utaamini kuwa sio mwenyekiti wa chama hata hivyo hata ungekuwa ni wewe hivi unawezaji kuachia ngombe wa maziwa?
 
Chadema waombeni msamaha hawa wanawake kwa usumbufu mliowasababishia.

JokaKuu zitto junior Bams brazaj Kalamu
Maoni yangu juu ya swala hili. Tokea mwanzo nilitatzwa sana na lilivyo wahusisha CHADEMA; niseme wazi, hasa Mwenyekiti Mbowe.
Pamoja na sifa kubwa nisizoweza kumwondolea Mbowe katika kuiongoza CHADEMA, na hasa wakati mgumu chini ya Magufuli, lakini sina shaka tena na ushiriki wa huyu Mwamba katika maswala ya chinichini; mojawapo likiwa la hawa akina Mdee.

Nilijiuliza sana bila kupata majibu, itawezekana vipi binti huyo, tena mwenye msimamo thabiti chini ya chama chake, afanye maamuzi kama aliyofanya bila ya kuwepo na uhusika wa viongozi wa juu wa chama (soma Mbowe) Alama zote juu ya jambo hilo zilielekea kwa Mbowe; kama zilivyoelekea kwa Mbowe wakati wa ujio wa Lowasa kwenye chama, na kama inavyoonekana sasa chama kuzama kutokana na ahadi za maridhiano.

Mhusika mkuu katika yote haya ni Mbowe. Hakuna sababu tena ya kupigapiga maneno mengine pembeni.
 
Basi vumilia hadi siku ambayo atakuwa hawezi kubeba mguu ndio utaamini kuwa sio mwenyekiti wa chama hata hivyo hata ungekuwa ni wewe hivi unawezaji kuachia ngombe wa maziwa?
Cdm ina maziwa gani, ni hazina ya nchi Nini boss? Au hujui maana ya ng'ombe wa maziwa?
 
Maoni yangu juu ya swala hili. Tokea mwanzo nilitatzwa sana na lilivyo wahusisha CHADEMA; niseme wazi, hasa Mwenyekiti Mbowe.
Pamoja na sifa kubwa nisizoweza kumwondolea Mbowe katika kuiongoza CHADEMA, na hasa wakati mgumu chini ya Magufuli, lakini sina shaka tena na ushiriki wa huyu Mwamba katika maswala ya chinichini; mojawapo likiwa la hawa akina Mdee.

Nilijiuliza sana bila kupata majibu, itawezekana vipi binti huyo, tena mwenye msimamo thabiti chini ya chama chake, afanye maamuzi kama aliyofanya bila ya kuwepo na uhusika wa viongozi wa juu wa chama (soma Mbowe) Alama zote juu ya jambo hilo zilielekea kwa Mbowe; kama zilivyoelekea kwa Mbowe wakati wa ujio wa Lowasa kwenye chama, na kama inavyoonekana sasa chama kuzama kutokana na ahadi za maridhiano.

Mhusika mkuu katika yote haya ni Mbowe. Hakuna sababu tena ya kupigapiga maneno mengine pembeni.

Mimi nilishtuka Sana kipindi kile Halina Mdee na wenzake wanaapishwa. Halina Mdee anamshukuru Sana mwenyekiti wake wa chama kwa kuwakubalia. Ingawa chama kilikanusha , ila nilipata wasiwasi Sana
 
Mbumbumbu hawatakwisha nchi hii. Uongo unasaidia nini?, shindwa na ulegee.
 
Back
Top Bottom