Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

As we speak still wanachama wa chadem take that

Hiyo umesema wewe. Ila kamati ilitoa maamuzi ya kuwafukuza uanachama, ila Ndugai akawakingia kifua kwenye ubunge. Baraza kuu kazi yake ilikuwa kubariki maamuzi ya kamati kuu sio kusikiliza kesi upya.
 
O
 
Kati ya mtu aliyetumia taaluma na imani yake ya dini sawasawa inapokuja suala la CCM na mikakati yake ni Dr. Tulia Ackson

Leo chadema wanasema wanamwandikia barua kumkumbusha sidhani kama ataruhusu hata ipokelewe.

Ikumbukwe yeye kama yeye tu kafika hapo alipo kwa sababu ya figisu so kwake haki siyo msingi wa nafsi.

Akiwasikiliza niiteni Tembo
 
Hiyo umesema wewe. Ila kamati ilitoa maamuzi ya kuwafukuza uanachama, ila Ndugai akawakingia kifua kwenye ubunge. Baraza kuu kazi yake ilikuwa kubariki maamuzi ya kamati kuu sio kusikiliza kesi upya.
O
 
Hiyo umesema wewe. Ila kamati ilitoa maamuzi ya kuwafukuza uanachama, ila Ndugai akawakingia kifua kwenye ubunge. Baraza kuu kazi yake ilikuwa kubariki maamuzi ya kamati kuu sio kusikiliza kesi upya.
Oo
 
Cdm ina maziwa gani, ni hazina ya nchi Nini boss? Au hujui maana ya ng'ombe wa maziwa?
Hivi ile michango wanayokamua wananchi maskini kwenye mikutano unafikiri ni hela ndogo?embu fikiria ruzuku ya bilion mbili kila mwezi na hata ofisi hawana ?cdm ni zaidi ya ngombe wa maziwa.
 
Edwin Mtei na Mzee mbowe wana uhusiano gani?gdbless lema na mzee mbowe wana uhusiano gani?yule mrema na Asanga wana uhusiano gani ?

Kwa hivyo watu wanne ndio CHADEMA. Nilitegemea ungeniletea list ya Baraza la wadhamini, kamati kuu, Halmashauri kuu, viongozi wa Kanda etc. Unalitea majina ya watu walishastaafu Tena hawana maamuzi kwenye chama.
 
Back
Top Bottom