Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Tabia yenu huko chadema eee🌈
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia yenu huko chadema eee🌈
Kama fairness haikuwepo siyo kwamba hata maamuzi yalitolewa na hiyo unfair committee ni batili??Kosa ni fairness in terms of Natural justice.
Ila anakubali kuwa walifutwa uanachama kihalali.
🌈Tabia yenu huko chadema eee
Njoo tukupe haki yako ya kusuguliwa huko nyuma🌈
🌈Njoo tukupe haki yako ya kusuguliwa huko nyuma
Ukichunguza kwa umakini unaona kabisa Kuna jambo haliko sawa katika katiba na ili kumove on ni lazima libadilishwe. Kimsingi kosa lililofanyika ni kosa la wazi kiasi kwamba hata kulikuwa hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kupambania jambo ambalo matokeo yake yalikuwa yanajulikana. Uamuzi wa kifukuzwa ulikuwa sahihi ila hii ya kujisikiliza mwenyewe daah!!! Very common mistake
Erythrocyte njoo umuone mwenzio nae anataka ukuni unaopewa na Mbowe🌈
🌈Erythrocyte njoo umuone mwenzio nae anataka ukuni unaopewa na Mbowe
Mbowe anahusika vipi wakati anayepeleka fomu ni Mnyika na kamati kuu ndio hupitisha majina?Ni kweli, walichofanya kina Mdee baraka za Mbowe zinaonekana japo CDM hawawezi kukiri hilo, hivyo Mbowe ni sehemu ya hili tatizo.
Tindo zitto junior
Wabunge wa Cuf walifukuzwa uanachama Spika akawavua Ubunge wakakata Rufaa wakiwa Sio wabunge.Katiba ya Nchi inasema Mbunge anapoteza ubunge kwa kufukuzwa uanachama wake wala haisemi atapoteza ubunge baada ya kukataa Rufaa ni Uhuni wa Spika na Serikali ukizingatia namna Walivyopata UBUNGE wao kwa msaada wa Serikali Tume ya Uchaguzi na SpikaAtawavua vipi wakati rufaa yao haijasikilizwa?
Ukichunguza kwa umakini unaona kabisa Kuna jambo haliko sawa katika katiba na ili kumove on ni lazima libadilishwe. Kimsingi kosa lililofanyika ni kosa la wazi kiasi kwamba hata kulikuwa hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kupambania jambo ambalo matokeo yake yalikuwa yanajulikana. Uamuzi wa kifukuzwa ulikuwa sahihi ila hii ya kujisikiliza mwenyewe daah!!! Very common mistake
..hakuna Baraza kuu la chama chochote linaloketi, au kufanya maamuzi, bila Mwenyekiti, na viongozi wakuu wa chama, kushiriki.
..Jaji alitakiwa kuangalia na kuzingatia kama rufaa ya kina Halima ilisikilizwa kwa kufuata vile Katiba ya Chadema inavyoelekeza.
Huyo rufaa utasimama wewe kama jaji ilo utamke hayo!Impliedly jaji Mkeha anakiri wazi kuwa kuwa Kamati kuu ilishawafuta uanachama Mdee na wenzake.
Kosa ni fairness in terms of Natural justice.
Ila anakubali kuwa walifutwa uanachama kihalali.
Lakini shida ni baraza kuu la CHADEMA kuwa na wajumbe wanaojirudia.
Lakini alipaswa kusema kuwa katiba ya JMT ibara ya ya 67 (1) (b) inavunjwa maana Mdee na wenzake sio wanachama wa Cdm ya Mbowe
Mwambieni chairman arudishe kipengele alichong'oa!Hukumu ina maajabu ndani yake kwa sababu composition ya baraza la juu imeundwa kwa mujibu wa katiba ya chadema, sasa mahakama inaposema composition hiyo ni batili inamaanisha pia kuwa katiba ya chadema ni batili. Kwa mawazo yangu mimi
Lakini inasikitisha; kwani CHADEMA walikuwa wameanza kuwakaba vizuri sana CCM. Ile kesi ya ugaidi na manyanyaso yote waliyokuwa wameyapitia nyakati za Magufuli, yote watu walikuwa wameyaona na kuyaelewa vizuri.Ni kweli, walichofanya kina Mdee baraka za Mbowe zinaonekana japo CDM hawawezi kukiri hilo, hivyo Mbowe ni sehemu ya hili tatizo.
Tindo zitto junior