Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Kwani mkipeleka hao virusi vipya Delta 22 ndo kodi zetu hazitakamuliwa?
Au kwa vile ni nymba ndogo hamna uchungu na kodi zetu?
Hao Covid19 hawana ridhaa yetu wameghushi na kuingia Bungeni kitapeli.

Tutaridhia kwa wale tutakaowaingiza kihalali.
 
Dah....mabushiloyaz wanasema...sababu kuu ya kufukuzwa uanachama ni usaliti....usaliti wa kupinga uchaguzi mkuu.....Kama Bunge likikubaliana na kufukuzwa kwao.....kihisabati litakuwa limekubaliana na hoja za chadema....hivyo Bunge litavunjwa....Mama atakaa pembeni.....uchaguzi utarudiwa....nimesikia tu haya kutoka kwa mabushiloyaz 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanawake wanaovaa magwanda ya Chadema wanaweza!
 
Hizi mbwa zinawahi miti ya mbogamboga tu ziache ziendelee kukalia
 
Ila wale walioiba Kira ndo Wana MSHIPA WA AIBU?
unafiki watanzania ndo somo tulipata [emoji817].
Nilishasema sintokuja kuwalaumu hao akina halima kamwe
Maana aliyefanya mambo yawe mvurugano mnamjua na lengo lake lilitimia.
Hao akina halima NI MATOKEO TU.
Ngoja tuone

Covid 19 hawana mshipa wa aibu

Chadema imewakataa kea asilimia 97
 
Mnachezewa pichatu, juzitu lowasa mlikuwa mnamsafisha nakumtandikia makanga chini apite, mmechezeshewa kipanya sasaivi karudi Ccm maisha yanaendelea mmnakodoa mimachotu hamjui mnachotaka.

Kwenye ishu ya Lowasa mngemuwajibisha mtu ndio ningewaamini Nyumbu.
 
Hao COVID 19 mbona bado wapo wapo sana mjengoni. kufukuzwa uanachama katikati ya utumishi wa ubunge hakuwavui ubunge!! hao waliapishwa kuwa wabunge hadi miaka mitano iishe, Bw Makengeza Miwani mikubwa yule Mchagga kakaa jela weeee katoka na kaishiwa vibe anataka kumalizia hasira kwa Halima! .

Hao wabunge wako mjengoni kimkakati kulaghai wazungu tuna wapinzani bungeni ili tupate mikopo hadi tuweke bondi wajukuu ,wazungu wakimuona Halima na wenzake wanasema bunge liko mzuka sana kumbe bosheni tu hawajui bunge ni letu wa kijani, wanaosema ndio waseme ndiyo na wagonge mezani kuamsha wazee waliolala , NDIYOOOOOOOooo!! PA pa pa pa pa! wajinga ndio waliwao!!

hivi unaanzaje kwanza kuwatoa mjengoni COVID 19? wewe kama nani? uwatoe kwa mamlaka ya nani? Mwendazake au Baba wa nchi?
 
Hao COVID 19 mbona bado wapo wapo sana mjengoni. kufukuzwa uanachama katikati ya utumishi wa ubunge hakuwavui ubunge!! hao waliapishwa kuwa wabunge hadi miaka mitano iishe
Ni kweli mkuu.Katiba inaruhusu ata mtu asipokuwa na chama anaweza kuwa mbunge.Swali Je Mdee ataacha lini kuvaa sare za CHADEMA?
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Sisi ni shit hole country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…