Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bado wapo jengoni. Hawajafukuzwa.
Kwani Chadema ndio wenye maamuzi na uendeshaji wa bunge? Wao nafasi yao wameshamaliza, nyie mnaweza kukaa nao maana walikuwa humo humo ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wapo jengoni. Hawajafukuzwa.
Acheni maneno yasiyo na ukweli👇
View attachment 2223608
Yes, Chadema walipeleka majina NEC, 30 days kabla ya uchaguzi. Baada ya Chadema kupewa viti 18, Chama kikasusa kuwa hakiyatambui matokeo hivyo hawateui.
Ndipo wana Chadema Wazalendo makamanda mashujaa wa kike, kwa msaada wa kigogo mmoja wa Chadema wakaachana na ujinga wa chama kususa,wakapeleka majina wakaapishwa.
Vikao ni mambo ya ndani ya chama, kule NEC, imekwenda a bonafide genuine letter ya uteuzi. Hakuna forgery yoyote.
Kwenye issue ya barua, anaye matter most ni signatory if is office bearers. Ikapelekwa na mesenja. Barua ya uteuzi ni bonafide genuine
Hapa ndipo ngoma ilipo, sio halali na nikinyume cha katiba, sheria taratibu na kanuni. CC ya Chadema haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu.
Siku 30 kabla Chadema walishajua wana nafasi 30? Nani alipeleka majina hayo?Yes, Chadema walipeleka majina NEC, 30 days kabla ya uchaguzi.
OK, Wazalendo na Makamanda!Ndipo wana Chadema Wazalendo makamanda mashujaa wa kike, kwa msaada wa kigogo mmoja wa Chadema wakaachana na ujinga wa chama kususa,wakapeleka majina wakaapishwa.
Nani amepeleka? Kwanini 19 hawamtaji? Kwanini NEC hawathibitishi?Vikao ni mambo ya ndani ya chama, kule NEC, imekwenda a bonafide genuine letter ya uteuzi. Hakuna forgery yoyote.
Ndiyo maana tunasema hawa 19 mbona hawasemi hili? Nani amesaini?Kwenye issue ya barua, anaye matter most ni signatory if is office bearers. Ikapelekwa na mesenja. Barua ya uteuzi ni bonafide genuine
Sasa imebadilika si kwamba CC haina mamlaka ya kujadili 19 bali sasa ni Mwenyekiti wa BawachaCC ya Chadema haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu.
..Kwa haya majibu yako huenda unajiamini sana, au unatudharau kupita kiasi wasomaji wako.
..Hoja sio majina kupelekwa NEC siku 30 kabla ya uchaguzi, hoja ni kama chama kilithibitisha wabunge wa viti maalum baada ya uchaguzi.
..Unasema chama kilisema hakiteui, sasa kina Halima wamefikaje bungeni kama hawakuteuliwa na chama?
..Kuhusu kugushi / forgery hata " office bearer " anaweza kufanya forgery ikiwa ataidhinisha jambo ambalo hajapewa ruhusa kuliidhinisha.
..Chadema walisema hawatateua, na maamuzi hayo yalifanywa na vikao halali. This story should have ended there.
NB:
..Hivi Halima Mdee hakushiriki vikao vya chama vilivyoamua kwamba Chadema haitateua wabunge wa viti maalum?
Mkuu JokaKuu , kwanza with due respect asante sana kunijibu, Pili sisi old guards tulijadili hili swala based on logical progression reasoning na sio kwa mihemuko ya u CCM na Uchadema, na tatu ni kweli najiamini sana kuwa kwenye hili swala Chadema mis handled it and did it wrongly from the the beginning, mimi nakutumia katiba ya Chadema kuonyesha makosa Yao...Kwa haya majibu yako huenda unajiamini sana, au unatudharau kupita kiasi wasomaji wako.
Hapa kuna issues 2, naomba tuzi separate kabisa tangu hapa mwanzo ili huko mbele tuweze kuelewana.Hoja sio majina kupelekwa NEC siku 30 kabla ya uchaguzi, hoja ni kama chama kilithibitisha wabunge wa viti maalum baada ya uchaguzi.
2. Majina yalitokaje Chadema kwenda NEC, this is the bone of contention, it's an internal matter ya wao Chadema ndani kwa ndani, kitu cha muhimu ni hakukuwa na forgery yoyote, ndio maana Chadema hawajaripoti forgery yoyote popote, hivyo kwa CC ya Chadema kuwavua uanachama bila kufuata a due process ni ubatili mkubwa..Unasema chama kilisema hakiteui, sasa kina Halima wamefikaje bungeni kama hawakuteuliwa na chama?
You are absolutely right, na hiki ndicho kitu pekee kinachothibisha udhaifu wa Chadema. Sheria ya ushahidi ni moja dunia mzima, the one who alleges must prove. Kama kulikuwa na forgery yoyote, hili ni kosa la jinai, Chadema should have reported uchunguzi wa kijinai ufanyike. Hivi mpaka sasa hamjiulizi watu wafutwe uanachama na CC, kisha waitane Nairobi kwenye a 5 star hotel waanze kubembezana hadi kutafutiana kazi !. Bado mnajiuiza who is behind?. Mimi namuamini Halima Mdee, huu ni uhuni!.Kuhusu kugushi / forgery hata " office bearer " anaweza kufanya forgery ikiwa ataidhinisha jambo ambalo hajapewa ruhusa kuliidhinisha.
Chadema ni Chadema na NEC ni NEC na Bunge ni Bunge, as we speak now, wale bado ni Wabunge halali wa Bunge la JMT...Chadema walisema hawatateua, na maamuzi hayo yalifanywa na vikao halali. This story should have ended there.
Hayo ni mambo ya ndani ya Chadema, quorums za vikao na attendance register ni internal matters, let's accord them the right to privacyNB:
..Hivi Halima Mdee hakushiriki vikao vya chama vilivyoamua kwamba Chadema haitateua wabunge wa viti maalum?
cc Nguruvi3,
Mkuu Nguruvi3 , salaam, NEC wanafua kanuni za ushahidi, the one who alleges must prove.Siku 30 kabla Chadema walishajua wana nafasi 30? Nani alipeleka majina hayo?
Kwanini NEC hawatoi ushahidi huo! kuwakanusha CDM kwa kusambaza uongo
Yes ni makamanda mashujaa wazalendo 19 walioipigania Chadema kwa machozi jasho na damu.OK, Wazalendo na Makamanda!
The one who alleges must proveNani amepeleka? Kwanini 19 hawamtaji? Kwanini NEC hawathibitishi?
SubjectivelyHivi Msajili wa vyama angekaa kimya kwa fursa ya namna hii ya kuwaadhiri CDM?
Yupo aliyesaini, wenyewe wanajuana ndio maana hukusikia hili jambo kujadiliwaNdiyo maana tunasema hawa 19 mbona hawasemi hili? Nani amesaini?
Japo wote ni wanachama the ila wana hadhi tofauti. Kwa wabunge, CC ya Chadema ni mamlaka yao ya nidhamu na Baraza Kuu ndio mamlaka yao ya rufaa, kama CC ya Chadema wasinge kaa Kikangroo court, baada ya Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale CC, wabunge they've been done.Sasa imebadilika si kwamba CC haina mamlaka ya kujadili 19 bali sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha
NimemjibuMkuu Pasco tafadhali mjibu JokaKuu hapa chini
Hoja hii imetumika sana na nimesikia kwenye mjadala wmmoja imeshikiwa bango2. Majina yalitokaje Chadema kwenda NEC, this is the bone of contention, it's an internal matter ya wao Chadema ndani kwa ndani, kitu cha muhimu ni hakukuwa na forgery yoyote, ndio maana Chadema hawajaripoti forgery yoyote popote, hivyo kwa CC ya Chadema kuwavua uanachama bila kufuata a due process ni ubatili mkubwa
Kwani kufukuza ni kushika fimbo au rungu na kuanza kukimbiza watu? Maccm mna laana mbaya sana. Mnasimamia uhuni na upumbavu kwa nguvu nyingi mnaacha mambo ya msingi. Mnataka Samia awe mhuni kama nyie walamba viatu? Acheni inyeshe tuone panapovuja. Tuone hayo magogo na Samia nani ni nani.Acheni maneno yasiyo na ukweli[emoji116]
View attachment 2223608
Naona umekurupuka kuja kuishambulia CHADEMA halafu unajifanya uko neutral.Ukiwasikiliza sana chadema unaweza kujikuta kichaa. Wanataka haki wakati wao wenyewe hawatendi haki.
Kama mchakato uliowaruhusu akina Halima waingie bungeni haukuwa halali (na pengine haukuwa halali, who knows?), huwa wanapataje uhalali wa kutetea mchakato uliomfikisha Lowassa kuwa mgombea wao 2015? Kwa sisi tulio nje ya vyama vya siasa tukicheki hizo tantalila za chadema zinazoitwa sijui katiba au vikao vyao tunaona tu ni michezo ya kuigiza. Michezo yenyewe ipo rigged ili kufanikisha matamanio ya mtu mmoja, mbowe.
Irrelevance ya chadema kwa sasa ibaki kuwa angalizo kwa vyama vyote vya siasa ambavyo motivation ya uwepo wake ni ubinafsi wa watu au mtu uliojificha kwenye kichaka cha demokrasia ya vyama vingi. Na wasivyo na uwezo wa kujireform...... hata sijui hatima ya hiko chama.
Mkuu Nguruvi3, the most important document kwenye utawala wa nchi ni katiba, na the most important document kwenye utawala wa chama cha siasa ni katiba zao. Kwenye utawala wa nchi, rais akivunja katiba, anashitakiwa na Bunge, anaondolewa madarakani. Lile swali langu kwa JPM pale Ikulu, kuwa amepata wapi mamlaka ya kwenda kinyume cha katiba, ni kama kusema JPM amevunja katiba, Bunge lingepaswa kumshitaki. Nilipoandika kuhusu Bunge, nyote mnakijua kilichonitokea, hivyo maadam Chadema ina katiba, there is no excuse why Chadema isifuate katiba yake. Kama kijikatiba hiki tuu kidogo cha Chadema inashindwa kukifuata, jee Chadema Ingekabidhiwa nchi na lile ji Katiba kubwa la JMT, wangeiweza?.Hoja hii imetumika sana na nimesikia kwenye mjadala wmmoja imeshikiwa bango
Hii ni hoja inayofanana na ile ya kwanini Chadema hawakwenda mahakamani kuhusu uchaguzi
Mkuu Pascal Mayalla naomba niamini kwa dhati kwamba tunaishi dunia na Tanzania moja
Halima Mdee alikamata kura feki akaripoti Polisi kwa ushahidi. Polisi hawakufanya lolote lile
Mgombea wa Ubungo alikamata kura feki akawaonyesha Polisi, hakuna aliyechukua hatua
Uchaguzi wa Kinondoni, kura feki maboksi yameletwa, si Polisi wa NEC waliosughulika na tatizo
Watu wamekamatwa kuhusu vifo vya wana Chadema, watu hao wameachiwa huru
Arusha mtuhumiwa wa mauaji Usa River alikimbia mahakamani Polisi akiwa na bundiki, hadi leo
Dodoma watu wameomba Video ya nyumba za serikali iliyoondolewa, hadi leo hakuna
Wananchi wamehoji nani aliondoa walinzi, hadi leo hakuna jibu kwa keshi nzito kama ile
Kichekesho ni pale Polisi wa Tanzania wanapomsubiri dereva wa Tundu Lissu wafanye uchunguzi
Katika mazingira ya ushahidi huo hapo juu Chadema hawakuona haja ya kwenda Mahakamani kwani mahakama zimekuwa ''compromised' kipindi cha Mwendazake hadi leo ambapo CJ anasema hukumu ziangalie maeneo ya mihimili mingine na si sheria tena
Kuhusu Forgery Chadema wamebaini kwenda mahakamani ni kosa kwa advantage ya 19.
Spika aliyejiuzulu aliwaapisha COVID19 mapema sana kwa sababu maalumu.
Chadema waende mahakamani, suala liwe uchunguzi kesi inaahirishwa kwa miaka 5, simple.
Wabunge wasingefukuzwa suala lipo mahakamani uchunguzi haujakamiliki, Spika angedai hawezi kulizungumzia . Hivyo Chadema wametumia njia za ufundi kulimaliza suala.
Chadema Wanajua kwavyovyote vile Polisi, Mahakama, Spika Ndugai na NEC wangekaa vikao na kulirefusha kwa njia za kiufundi tu na ulaghai laghai kwa miaka 5.
Ni njia hizo ndizo zinamfanya Spika Tulia avute muda ili 19 waende mahakamani, suala likiwa mahakamani halizungumziwi tena. Tunajua mbinu hii
Spika ana barua bado anataka kutoa nafasi kiufundi kwa COVID19 kukimbilia mahakamani.
Hivyo mkuu Pascal Mayalla haya mambo nadhani unayajua lakini kama alivyosema JokaKuu unaona wasomaji ni mazuzu sana.
Tindo Proved Mag3
Wewe Ni takataka, last authority ya kuwa Mwana Chadema Ni Baraza Kuu, Sasa hawafukuziki vipi? Seems wewe Ni layman toka KibugumoAcheni maneno yasiyo na ukweli[emoji116]
View attachment 2223608
Huu ni mwaka wa pili katiba inavunjwa na hakuna kilichotokea.
Hoja hii imetumika sana na nimesikia kwenye mjadala wmmoja imeshikiwa bango
Hii ni hoja inayofanana na ile ya kwanini Chadema hawakwenda mahakamani kuhusu uchaguzi
Mkuu Pascal Mayalla naomba niamini kwa dhati kwamba tunaishi dunia na Tanzania moja
Halima Mdee alikamata kura feki akaripoti Polisi kwa ushahidi. Polisi hawakufanya lolote lile
Mgombea wa Ubungo alikamata kura feki akawaonyesha Polisi, hakuna aliyechukua hatua
Uchaguzi wa Kinondoni, kura feki maboksi yameletwa, si Polisi wa NEC waliosughulika na tatizo
Watu wamekamatwa kuhusu vifo vya wana Chadema, watu hao wameachiwa huru
Arusha mtuhumiwa wa mauaji Usa River alikimbia mahakamani Polisi akiwa na bundiki, hadi leo
Dodoma watu wameomba Video ya nyumba za serikali iliyoondolewa, hadi leo hakuna
Wananchi wamehoji nani aliondoa walinzi, hadi leo hakuna jibu kwa keshi nzito kama ile
Kichekesho ni pale Polisi wa Tanzania wanapomsubiri dereva wa Tundu Lissu wafanye uchunguzi
Katika mazingira ya ushahidi huo hapo juu Chadema hawakuona haja ya kwenda Mahakamani kwani mahakama zimekuwa ''compromised' kipindi cha Mwendazake hadi leo ambapo CJ anasema hukumu ziangalie maeneo ya mihimili mingine na si sheria tena
Kuhusu Forgery Chadema wamebaini kwenda mahakamani ni kosa kwa advantage ya 19.
Spika aliyejiuzulu aliwaapisha COVID19 mapema sana kwa sababu maalumu.
Chadema waende mahakamani, suala liwe uchunguzi kesi inaahirishwa kwa miaka 5, simple.
Wabunge wasingefukuzwa suala lipo mahakamani uchunguzi haujakamiliki, Spika angedai hawezi kulizungumzia . Hivyo Chadema wametumia njia za ufundi kulimaliza suala.
Chadema Wanajua kwavyovyote vile Polisi, Mahakama, Spika Ndugai na NEC wangekaa vikao na kulirefusha kwa njia za kiufundi tu na ulaghai laghai kwa miaka 5.
Ni njia hizo ndizo zinamfanya Spika Tulia avute muda ili 19 waende mahakamani, suala likiwa mahakamani halizungumziwi tena. Tunajua mbinu hii
Spika ana barua bado anataka kutoa nafasi kiufundi kwa COVID19 kukimbilia mahakamani.
Hivyo mkuu Pascal Mayalla haya mambo nadhani unayajua lakini kama alivyosema JokaKuu unaona wasomaji ni mazuzu sana.
Tindo Proved Mag3
Mkuu Nguruvi3, the most important document kwenye utawala wa nchi ni katiba, na the most important document kwenye utawala wa chama cha siasa ni katiba zao. Kwenye utawala wa nchi, rais akivunja katiba, anashitakiwa na Bunge, anaondolewa madarakani. Lile swali langu kwa JPM pale Ikulu, kuwa amepata wapi mamlaka ya kwenda kinyume cha katiba, ni kama kusema JPM amevunja katiba, Bunge lingepaswa kumshitaki. Nilipoandika kuhusu Bunge, nyote mnakijua kilichonitokea, hivyo maadam Chadema ina katiba, there is no excuse why Chadema isifuate katiba yake. Kama kijikatiba hiki tuu kidogo cha Chadema inashindwa kukifuata, jee Chadema Ingekabidhiwa nchi na lile ji Katiba kubwa la JMT, wangeiweza?.
Mimi ni kada wa CCM, ila ni CCM contemporary, kuna ma CCM ambao ni ma burgeoges na kuna ma CCM ambao ni ma lumpenproletariat, sisi ma CCM Contemporary tunapenda haki, tunapenda CCM ishinde kwa haki, tunapenda Bunge letu liwe na opposition, tunawapenda baadhi ya baadhi ya wapinzani makini na tunapenda kuona Tanzania ina opposition makini, hivyo kuna wana CCM, mimi nikiwemo, hatufurahii kuona Bunge la Chama kimoja na mara baada ya uchaguzi, tuliwaombea kwa Mwenyekiti wetu, awateue baadhi ya wapinzani muhimu waingie bungeni Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni? na Zitto nikamuombea uteuzi rasmi Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC! hivi ninapoona Chadema inapoteza assets kama Halima Mdee na Esta Bulaya, kwa sababu za kijinga jinga, tunaumia!.
Kama kuna forgery yoyote, ili Chadema waweze kuipata nakala halisi ya barua ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC iliandikwa na nani, ilisainiwa na nani, Chadema walipaswa kuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike, Chadema haikufanya hivyo kwasababu inaujua ukweli kuwa hakuna forgery yoyote!. Voices from within, inanieleza yule "kigogo" baada ya Chadema kama Chama kususia kuteua wajumbe wa viti maalum, Halima Mdee akiwa ameandamana na Esta Bulaya, wali seek an audience na kigogo wa Chadema na ku consult umuhimu wa nafasi hizo, kigogo huyo akatoa a go ahead, ndipo Halima aka proceed kuwatafuta na kuwa organize. Kigogo akasaini na process ikaendelea. Mambo yalipochemka, kigogo akawaomba kina Halima wajitoe to save his face, wakamgomea. Kiukweli Halima ni Mwanamke wa shoka, shujaa aliyefundwa akafundika, na ana command a very high respect kwa hao wote 19 kwa kuwasihi wasifungue midomo yao kusema chochote kwenye Baraza Kuu, and take it from me, Halima ali consult na Kigogo, kigogo akamshauri wao wanyamaze na wasijibu kitu, yeye atawaombea msamaha, watasamehewa na kuendelea na ubunge wao, hivyo wakakubali, wakanyamaza na kutotoa siri ya kigogo wa Chadema, hivyo baada ya matokeo kutoka wamepigwa chini ndipo Mdee akajikuta wamefanyiwa uhuni!.
P
Uchaguzi wa 2020 ulikuvuruga sana. Ulipata kipigo kibaya sana. Bado unakinyongo.Ukweli huu wote uliouandika kila mtu anaujua, na Paskali anaujua vyema, lakini ukweli huu si lolote si chochote kwake maana Cdm hawawezi kumpa cheo. Yeye hasimamii ukweli, anaangalia anayeweza kumpa madaraka. Hapo ndio Paskali Mayalla alipofikia!
Hizi post zake zote ni kujaribu kubaki relevant kwa post zake za huko nyuma za kuwasifia hao COVID-19, na akiangalia uamuzi uliochukuliwa umemkwaza sana kwani huenda anadhani anafahamu sana mambo ya ndani ya vyama. Hivyo uamuzi huu hauendani na uzushi wake wa huko nyuma. Kinachomfanya kwa sasa aanzishe uzi kila baada ya muda mfupi kuhusu maamuzi ya Cdm, ni vile watu wanamkejeli na kumdharau, hali hii inamuacha na msongo wa mawazo, hivyo anaanzisha uzi ili kutaka kuhalalisha uzushi wake.