Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Yes, Chadema walipeleka majina NEC, 30 days kabla ya uchaguzi. Baada ya Chadema kupewa viti 18, Chama kikasusa kuwa hakiyatambui matokeo hivyo hawateui.
Ndipo wana Chadema Wazalendo makamanda mashujaa wa kike, kwa msaada wa kigogo mmoja wa Chadema wakaachana na ujinga wa chama kususa,wakapeleka majina wakaapishwa.

Vikao ni mambo ya ndani ya chama, kule NEC, imekwenda a bonafide genuine letter ya uteuzi. Hakuna forgery yoyote.

Kwenye issue ya barua, anaye matter most ni signatory if is office bearers. Ikapelekwa na mesenja. Barua ya uteuzi ni bonafide genuine

Hapa ndipo ngoma ilipo, sio halali na nikinyume cha katiba, sheria taratibu na kanuni. CC ya Chadema haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu.

..Kwa haya majibu yako huenda unajiamini sana, au unatudharau kupita kiasi wasomaji wako.

..Hoja sio majina kupelekwa NEC siku 30 kabla ya uchaguzi, hoja ni kama chama kilithibitisha wabunge wa viti maalum baada ya uchaguzi.

..Unasema chama kilisema hakiteui, sasa kina Halima wamefikaje bungeni kama hawakuteuliwa na chama?

..Kuhusu kugushi / forgery hata " office bearer " anaweza kufanya forgery ikiwa ataidhinisha jambo ambalo hajapewa ruhusa kuliidhinisha.

..Chadema walisema hawatateua, na maamuzi hayo yalifanywa na vikao halali. This story should have ended there.

NB:

..Hivi Halima Mdee hakushiriki vikao vya chama vilivyoamua kwamba Chadema haitateua wabunge wa viti maalum?

cc Nguruvi3, Proved
 
Yes, Chadema walipeleka majina NEC, 30 days kabla ya uchaguzi.
Siku 30 kabla Chadema walishajua wana nafasi 30? Nani alipeleka majina hayo?
Kwanini NEC hawatoi ushahidi huo! kuwakanusha CDM kwa kusambaza uongo
Ndipo wana Chadema Wazalendo makamanda mashujaa wa kike, kwa msaada wa kigogo mmoja wa Chadema wakaachana na ujinga wa chama kususa,wakapeleka majina wakaapishwa.
OK, Wazalendo na Makamanda!
Vikao ni mambo ya ndani ya chama, kule NEC, imekwenda a bonafide genuine letter ya uteuzi. Hakuna forgery yoyote.
Nani amepeleka? Kwanini 19 hawamtaji? Kwanini NEC hawathibitishi?
Hivi Msajili wa vyama angekaa kimya kwa fursa ya namna hii ya kuwaadhiri CDM?
Kwenye issue ya barua, anaye matter most ni signatory if is office bearers. Ikapelekwa na mesenja. Barua ya uteuzi ni bonafide genuine
Ndiyo maana tunasema hawa 19 mbona hawasemi hili? Nani amesaini?
CC ya Chadema haina mamlaka kumjadili Mwenyekiti wa Bawacha kwasababu sio mamlaka yake ya nidhamu.
Sasa imebadilika si kwamba CC haina mamlaka ya kujadili 19 bali sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha

Mkuu Pasco tafadhali mjibu JokaKuu hapa chini
..Kwa haya majibu yako huenda unajiamini sana, au unatudharau kupita kiasi wasomaji wako.

..Hoja sio majina kupelekwa NEC siku 30 kabla ya uchaguzi, hoja ni kama chama kilithibitisha wabunge wa viti maalum baada ya uchaguzi.

..Unasema chama kilisema hakiteui, sasa kina Halima wamefikaje bungeni kama hawakuteuliwa na chama?

..Kuhusu kugushi / forgery hata " office bearer " anaweza kufanya forgery ikiwa ataidhinisha jambo ambalo hajapewa ruhusa kuliidhinisha.

..Chadema walisema hawatateua, na maamuzi hayo yalifanywa na vikao halali. This story should have ended there.

NB:

..Hivi Halima Mdee hakushiriki vikao vya chama vilivyoamua kwamba Chadema haitateua wabunge wa viti maalum?
 
..Kwa haya majibu yako huenda unajiamini sana, au unatudharau kupita kiasi wasomaji wako.
Mkuu JokaKuu , kwanza with due respect asante sana kunijibu, Pili sisi old guards tulijadili hili swala based on logical progression reasoning na sio kwa mihemuko ya u CCM na Uchadema, na tatu ni kweli najiamini sana kuwa kwenye hili swala Chadema mis handled it and did it wrongly from the the beginning, mimi nakutumia katiba ya Chadema kuonyesha makosa Yao.
Hoja sio majina kupelekwa NEC siku 30 kabla ya uchaguzi, hoja ni kama chama kilithibitisha wabunge wa viti maalum baada ya uchaguzi.
Hapa kuna issues 2, naomba tuzi separate kabisa tangu hapa mwanzo ili huko mbele tuweze kuelewana.
1. NEC imetoa nafasi 19 za viti maalum kwa Chadema, chama kikasusa, majina yakafika NEC Spika akapewa akawaapisha. Hivyo Kibunge hawa ni Wabunge halali, hiyo ya majina yalifikaje NEC na huku Chadema kama chama kimesusia sio issue ya Mhimili wa Bunge, hiyo ni kazi ya NEC, Majina ya hao wabunge 19 wa viti maalum kutoka Chadema, yametinga Bungeni kwa all legit credentials.
..Unasema chama kilisema hakiteui, sasa kina Halima wamefikaje bungeni kama hawakuteuliwa na chama?
2. Majina yalitokaje Chadema kwenda NEC, this is the bone of contention, it's an internal matter ya wao Chadema ndani kwa ndani, kitu cha muhimu ni hakukuwa na forgery yoyote, ndio maana Chadema hawajaripoti forgery yoyote popote, hivyo kwa CC ya Chadema kuwavua uanachama bila kufuata a due process ni ubatili mkubwa
Kuhusu kugushi / forgery hata " office bearer " anaweza kufanya forgery ikiwa ataidhinisha jambo ambalo hajapewa ruhusa kuliidhinisha.
You are absolutely right, na hiki ndicho kitu pekee kinachothibisha udhaifu wa Chadema. Sheria ya ushahidi ni moja dunia mzima, the one who alleges must prove. Kama kulikuwa na forgery yoyote, hili ni kosa la jinai, Chadema should have reported uchunguzi wa kijinai ufanyike. Hivi mpaka sasa hamjiulizi watu wafutwe uanachama na CC, kisha waitane Nairobi kwenye a 5 star hotel waanze kubembezana hadi kutafutiana kazi !. Bado mnajiuiza who is behind?. Mimi namuamini Halima Mdee, huu ni uhuni!.
..Chadema walisema hawatateua, na maamuzi hayo yalifanywa na vikao halali. This story should have ended there.
Chadema ni Chadema na NEC ni NEC na Bunge ni Bunge, as we speak now, wale bado ni Wabunge halali wa Bunge la JMT.
NB:

..Hivi Halima Mdee hakushiriki vikao vya chama vilivyoamua kwamba Chadema haitateua wabunge wa viti maalum?

cc Nguruvi3,
Hayo ni mambo ya ndani ya Chadema, quorums za vikao na attendance register ni internal matters, let's accord them the right to privacy
Karibuni mitaa yangu mitatu hii

P
 
Siku 30 kabla Chadema walishajua wana nafasi 30? Nani alipeleka majina hayo?
Kwanini NEC hawatoi ushahidi huo! kuwakanusha CDM kwa kusambaza uongo
Mkuu Nguruvi3 , salaam, NEC wanafua kanuni za ushahidi, the one who alleges must prove.
OK, Wazalendo na Makamanda!
Yes ni makamanda mashujaa wazalendo 19 walioipigania Chadema kwa machozi jasho na damu.
Nani amepeleka? Kwanini 19 hawamtaji? Kwanini NEC hawathibitishi?
The one who alleges must prove
Hivi Msajili wa vyama angekaa kimya kwa fursa ya namna hii ya kuwaadhiri CDM?
Subjectively
Ndiyo maana tunasema hawa 19 mbona hawasemi hili? Nani amesaini?
Yupo aliyesaini, wenyewe wanajuana ndio maana hukusikia hili jambo kujadiliwa
Sasa imebadilika si kwamba CC haina mamlaka ya kujadili 19 bali sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha
Japo wote ni wanachama the ila wana hadhi tofauti. Kwa wabunge, CC ya Chadema ni mamlaka yao ya nidhamu na Baraza Kuu ndio mamlaka yao ya rufaa, kama CC ya Chadema wasinge kaa Kikangroo court, baada ya Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale CC, wabunge they've been done.
Mdee mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na mamlaka yake ya Rufaa ni Mkutano Mkuu. CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kumtimua Mdee?.
Mkuu Pasco tafadhali mjibu JokaKuu hapa chini
Nimemjibu
P
 
2. Majina yalitokaje Chadema kwenda NEC, this is the bone of contention, it's an internal matter ya wao Chadema ndani kwa ndani, kitu cha muhimu ni hakukuwa na forgery yoyote, ndio maana Chadema hawajaripoti forgery yoyote popote, hivyo kwa CC ya Chadema kuwavua uanachama bila kufuata a due process ni ubatili mkubwa
Hoja hii imetumika sana na nimesikia kwenye mjadala wmmoja imeshikiwa bango

Hii ni hoja inayofanana na ile ya kwanini Chadema hawakwenda mahakamani kuhusu uchaguzi

Mkuu Pascal Mayalla naomba niamini kwa dhati kwamba tunaishi dunia na Tanzania moja

Halima Mdee alikamata kura feki akaripoti Polisi kwa ushahidi. Polisi hawakufanya lolote lile

Mgombea wa Ubungo alikamata kura feki akawaonyesha Polisi, hakuna aliyechukua hatua

Uchaguzi wa Kinondoni, kura feki maboksi yameletwa, si Polisi wa NEC waliosughulika na tatizo

Watu wamekamatwa kuhusu vifo vya wana Chadema, watu hao wameachiwa huru

Arusha mtuhumiwa wa mauaji Usa River alikimbia mahakamani Polisi akiwa na bundiki, hadi leo

Dodoma watu wameomba Video ya nyumba za serikali iliyoondolewa, hadi leo hakuna

Wananchi wamehoji nani aliondoa walinzi, hadi leo hakuna jibu kwa keshi nzito kama ile
Kichekesho ni pale Polisi wa Tanzania wanapomsubiri dereva wa Tundu Lissu wafanye uchunguzi

Katika mazingira ya ushahidi huo hapo juu Chadema hawakuona haja ya kwenda Mahakamani kwani mahakama zimekuwa ''compromised' kipindi cha Mwendazake hadi leo ambapo CJ anasema hukumu ziangalie maeneo ya mihimili mingine na si sheria tena

Kuhusu Forgery Chadema wamebaini kwenda mahakamani ni kosa kwa advantage ya 19.

Spika aliyejiuzulu aliwaapisha COVID19 mapema sana kwa sababu maalumu.
Chadema waende mahakamani, suala liwe uchunguzi kesi inaahirishwa kwa miaka 5, simple.

Wabunge wasingefukuzwa suala lipo mahakamani uchunguzi haujakamiliki, Spika angedai hawezi kulizungumzia . Hivyo Chadema wametumia njia za ufundi kulimaliza suala.

Chadema Wanajua kwavyovyote vile Polisi, Mahakama, Spika Ndugai na NEC wangekaa vikao na kulirefusha kwa njia za kiufundi tu na ulaghai laghai kwa miaka 5.

Ni njia hizo ndizo zinamfanya Spika Tulia avute muda ili 19 waende mahakamani, suala likiwa mahakamani halizungumziwi tena. Tunajua mbinu hii

Spika ana barua bado anataka kutoa nafasi kiufundi kwa COVID19 kukimbilia mahakamani.

Hivyo mkuu Pascal Mayalla haya mambo nadhani unayajua lakini kama alivyosema JokaKuu unaona wasomaji ni mazuzu sana.

Tindo Proved Mag3
 
Acheni maneno yasiyo na ukweli[emoji116]
View attachment 2223608
Kwani kufukuza ni kushika fimbo au rungu na kuanza kukimbiza watu? Maccm mna laana mbaya sana. Mnasimamia uhuni na upumbavu kwa nguvu nyingi mnaacha mambo ya msingi. Mnataka Samia awe mhuni kama nyie walamba viatu? Acheni inyeshe tuone panapovuja. Tuone hayo magogo na Samia nani ni nani.
 
Ukiwasikiliza sana chadema unaweza kujikuta kichaa. Wanataka haki wakati wao wenyewe hawatendi haki.

Kama mchakato uliowaruhusu akina Halima waingie bungeni haukuwa halali (na pengine haukuwa halali, who knows?), huwa wanapataje uhalali wa kutetea mchakato uliomfikisha Lowassa kuwa mgombea wao 2015? Kwa sisi tulio nje ya vyama vya siasa tukicheki hizo tantalila za chadema zinazoitwa sijui katiba au vikao vyao tunaona tu ni michezo ya kuigiza. Michezo yenyewe ipo rigged ili kufanikisha matamanio ya mtu mmoja, mbowe.

Irrelevance ya chadema kwa sasa ibaki kuwa angalizo kwa vyama vyote vya siasa ambavyo motivation ya uwepo wake ni ubinafsi wa watu au mtu uliojificha kwenye kichaka cha demokrasia ya vyama vingi. Na wasivyo na uwezo wa kujireform...... hata sijui hatima ya hiko chama.
 
Naona umekurupuka kuja kuishambulia CHADEMA halafu unajifanya uko neutral.

Kukujibu tu hapa, Chama cha siasa ni Katiba, viongozi, wanachama na vikao. Maamuzi yoyote yanayozingatia hayo niliyoyasema hayo ni maamuzi ya Chama, haijarishi wewe unayapenda au huyapendi.

Sote tunajua, hakuna popote pale wabunge wa Covid wanaweza kubebwa na CHADEMA kwa misingi ya katiba, viongozi, wanachama au vikao. Vyote vinawakana na ndio maana walishafukuzwa tangu mwaka juzi. Tangu wakati ule mpaka leo hii wanabebwa na dola chini ya uratibu wa CCM.

Kuhusu Lowassa kuhamia CHADEMA 2015 na kupewa nafasi ya kugombea urais, msingi ule ule wa Katiba, Viongozi, wanachama na vikao ulitumika kufanikisha hilo. Na huo unabakia kuwa ni uamuzi wa Chama. Upende au usipende.
 
Kwanini CHADEMA inahangaishwa na watu ambao kiutaratibu imeshawafukuza.......kuendelea kuwafuatilia kunaonyesha labda Kuna jambo zaidi ya ubunge huo wa mchongo........

Wao waendelee na shughuli zao tu kama kawaida...... mchakato ulikuwa wa wazi na Dunia nzima imeshuhudia........
 
Hoja hii imetumika sana na nimesikia kwenye mjadala wmmoja imeshikiwa bango

Hii ni hoja inayofanana na ile ya kwanini Chadema hawakwenda mahakamani kuhusu uchaguzi

Mkuu Pascal Mayalla naomba niamini kwa dhati kwamba tunaishi dunia na Tanzania moja

Halima Mdee alikamata kura feki akaripoti Polisi kwa ushahidi. Polisi hawakufanya lolote lile

Mgombea wa Ubungo alikamata kura feki akawaonyesha Polisi, hakuna aliyechukua hatua

Uchaguzi wa Kinondoni, kura feki maboksi yameletwa, si Polisi wa NEC waliosughulika na tatizo

Watu wamekamatwa kuhusu vifo vya wana Chadema, watu hao wameachiwa huru

Arusha mtuhumiwa wa mauaji Usa River alikimbia mahakamani Polisi akiwa na bundiki, hadi leo

Dodoma watu wameomba Video ya nyumba za serikali iliyoondolewa, hadi leo hakuna

Wananchi wamehoji nani aliondoa walinzi, hadi leo hakuna jibu kwa keshi nzito kama ile
Kichekesho ni pale Polisi wa Tanzania wanapomsubiri dereva wa Tundu Lissu wafanye uchunguzi

Katika mazingira ya ushahidi huo hapo juu Chadema hawakuona haja ya kwenda Mahakamani kwani mahakama zimekuwa ''compromised' kipindi cha Mwendazake hadi leo ambapo CJ anasema hukumu ziangalie maeneo ya mihimili mingine na si sheria tena

Kuhusu Forgery Chadema wamebaini kwenda mahakamani ni kosa kwa advantage ya 19.

Spika aliyejiuzulu aliwaapisha COVID19 mapema sana kwa sababu maalumu.
Chadema waende mahakamani, suala liwe uchunguzi kesi inaahirishwa kwa miaka 5, simple.

Wabunge wasingefukuzwa suala lipo mahakamani uchunguzi haujakamiliki, Spika angedai hawezi kulizungumzia . Hivyo Chadema wametumia njia za ufundi kulimaliza suala.

Chadema Wanajua kwavyovyote vile Polisi, Mahakama, Spika Ndugai na NEC wangekaa vikao na kulirefusha kwa njia za kiufundi tu na ulaghai laghai kwa miaka 5.

Ni njia hizo ndizo zinamfanya Spika Tulia avute muda ili 19 waende mahakamani, suala likiwa mahakamani halizungumziwi tena. Tunajua mbinu hii

Spika ana barua bado anataka kutoa nafasi kiufundi kwa COVID19 kukimbilia mahakamani.

Hivyo mkuu Pascal Mayalla haya mambo nadhani unayajua lakini kama alivyosema JokaKuu unaona wasomaji ni mazuzu sana.

Tindo Proved Mag3
Mkuu Nguruvi3, the most important document kwenye utawala wa nchi ni katiba, na the most important document kwenye utawala wa chama cha siasa ni katiba zao. Kwenye utawala wa nchi, rais akivunja katiba, anashitakiwa na Bunge, anaondolewa madarakani. Lile swali langu kwa JPM pale Ikulu, kuwa amepata wapi mamlaka ya kwenda kinyume cha katiba, ni kama kusema JPM amevunja katiba, Bunge lingepaswa kumshitaki. Nilipoandika kuhusu Bunge, nyote mnakijua kilichonitokea, hivyo maadam Chadema ina katiba, there is no excuse why Chadema isifuate katiba yake. Kama kijikatiba hiki tuu kidogo cha Chadema inashindwa kukifuata, jee Chadema Ingekabidhiwa nchi na lile ji Katiba kubwa la JMT, wangeiweza?.

Mimi ni kada wa CCM, ila ni CCM contemporary, kuna ma CCM ambao ni ma burgeoges na kuna ma CCM ambao ni ma lumpenproletariat, sisi ma CCM Contemporary tunapenda haki, tunapenda CCM ishinde kwa haki, tunapenda Bunge letu liwe na opposition, tunawapenda baadhi ya baadhi ya wapinzani makini na tunapenda kuona Tanzania ina opposition makini, hivyo kuna wana CCM, mimi nikiwemo, hatufurahii kuona Bunge la Chama kimoja na mara baada ya uchaguzi, tuliwaombea kwa Mwenyekiti wetu, awateue baadhi ya wapinzani muhimu waingie bungeni Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni? na Zitto nikamuombea uteuzi rasmi Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC! hivi ninapoona Chadema inapoteza assets kama Halima Mdee na Esta Bulaya, kwa sababu za kijinga jinga, tunaumia!.

Kama kuna forgery yoyote, ili Chadema waweze kuipata nakala halisi ya barua ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC iliandikwa na nani, ilisainiwa na nani, Chadema walipaswa kuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike, Chadema haikufanya hivyo kwasababu inaujua ukweli kuwa hakuna forgery yoyote!. Voices from within, inanieleza yule "kigogo" baada ya Chadema kama Chama kususia kuteua wajumbe wa viti maalum, Halima Mdee akiwa ameandamana na Esta Bulaya, wali seek an audience na kigogo wa Chadema na ku consult umuhimu wa nafasi hizo, kigogo huyo akatoa a go ahead, ndipo Halima aka proceed kuwatafuta na kuwa organize. Kigogo akasaini na process ikaendelea. Mambo yalipochemka, kigogo akawaomba kina Halima wajitoe to save his face, wakamgomea. Kiukweli Halima ni Mwanamke wa shoka, shujaa aliyefundwa akafundika, na ana command a very high respect kwa hao wote 19 kwa kuwasihi wasifungue midomo yao kusema chochote kwenye Baraza Kuu, and take it from me, Halima ali consult na Kigogo, kigogo akamshauri wao wanyamaze na wasijibu kitu, yeye atawaombea msamaha, watasamehewa na kuendelea na ubunge wao, hivyo wakakubali, wakanyamaza na kutotoa siri ya kigogo wa Chadema, hivyo baada ya matokeo kutoka wamepigwa chini ndipo Mdee akajikuta wamefanyiwa uhuni!.

Ukweli huu wote uliouandika kila mtu anaujua, na Paskali anaujua vyema, lakini ukweli huu si lolote si chochote kwake maana Cdm hawawezi kumpa cheo. Yeye hasimamii ukweli, anaangalia anayeweza kumpa madaraka. Hapo ndio Paskali Mayalla alipofikia!

Hizi post zake zote ni kujaribu kubaki relevant kwa post zake za huko nyuma za kuwasifia hao COVID-19, na akiangalia uamuzi uliochukuliwa umemkwaza sana kwani huenda anadhani anafahamu sana mambo ya ndani ya vyama. Hivyo uamuzi huu hauendani na uzushi wake wa huko nyuma. Kinachomfanya kwa sasa aanzishe uzi kila baada ya muda mfupi kuhusu maamuzi ya Cdm, ni vile watu wanamkejeli na kumdharau, hali hii inamuacha na msongo wa mawazo, hivyo anaanzisha uzi ili kutaka kuhalalisha uzushi wake.
 
Hii post ndefu ni ya hoja za kulazimisha, naona kila mara unairudia ili kupotosha huku ukisema kigogo wa Cdm, na kuwa akina Halima waliogopa kumtaja. Kuna jambo linasemwa kila mara na unalikwepa kwa makusudi maana halibebi uzushi wako. Nusrat Hanje alikuwa magereza, na alitolewa usiku jambo ambalo halikubaliki kisheria, na akasafirishwa usiku kupelekwa Dodoma ili kuwahi kuapishwa. Je huyo kigogo wa Cdm ndiye aliyekuwa na nguvu kumtoa mtu gerezani usiku? Au Paskali bado unadhani watu ni wajinga wa hivyo?

Utetezi wa haya mauzishi yako ulikuwa unafanya hata baada ya shambulio la Lisu. Ulikuwa unaleta story ndefu na kuweka malink ya zamani ukidhani utafanikiwa kutupotosha kuhusu shambulio la Lisu. Tukawa tukikuhoji nani aliagiza askari wa getini kwenye makazi ya viongozi waondoke, na aliyeondoa CCTV camera zilizokuwa maeneo yale, huna majibu unalazimisha kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu. Huenda umepewa kazi ya kupotosha na kuhakikisha jamii inabaki na sintofahamu ya maovu ya serikali kwa faida yako binafsi, lakini kwa bahati mbaya watu wanauelewa mpana kiasi kwamba tunaishia kukudharau tu. Unataja matukio yako ya huko nyuma, sijui kumuuliza Magufuli ili kutaka tukuone una misimamo, au kama sehemu ya utetezi wa huu uzushi wako, lakini hakuna mjinga wa hivyo hapa.

Cc: Nguruvi3, joka kuu, mag3
 
Ukweli huu wote uliouandika kila mtu anaujua, na Paskali anaujua vyema, lakini ukweli huu si lolote si chochote kwake maana Cdm hawawezi kumpa cheo. Yeye hasimamii ukweli, anaangalia anayeweza kumpa madaraka. Hapo ndio Paskali Mayalla alipofikia!

Hizi post zake zote ni kujaribu kubaki relevant kwa post zake za huko nyuma za kuwasifia hao COVID-19, na akiangalia uamuzi uliochukuliwa umemkwaza sana kwani huenda anadhani anafahamu sana mambo ya ndani ya vyama. Hivyo uamuzi huu hauendani na uzushi wake wa huko nyuma. Kinachomfanya kwa sasa aanzishe uzi kila baada ya muda mfupi kuhusu maamuzi ya Cdm, ni vile watu wanamkejeli na kumdharau, hali hii inamuacha na msongo wa mawazo, hivyo anaanzisha uzi ili kutaka kuhalalisha uzushi wake.
Uchaguzi wa 2020 ulikuvuruga sana. Ulipata kipigo kibaya sana. Bado unakinyongo.
 
Sitashangaa serikali na bunge kuwakingia kifua .Kuwepo wabunge wa upinzani bungeni wanapata fedha kiasi kutoka UN na EU kwa ajili ya demokrasia so inatakiwa bunge like na angalao 21%ya viti vya upinzani bungeni ili serikali qualify kupata hizo fedha.Sasa mwendazake mahesabu walicheza vibaya kwa kufanya CCM washing majimbo yote bila kujua kuna mkataba huo.So ikabidi wa adjust kura za urais ziwe 85%kwa idadi waliosema wamepiga kura ili chadema au chama chocote au vyama vya upinzani viweze kufikia viti hivyo.So ndio maana Serikali ya mwendazake kupitia bunge ikalazimisha baada ya kuona chadema wamesusa.So kuna mpunga serikali inapata watawangangania mpaka kieleweke ujue ila Mama anataka meridhiano
 
Back
Top Bottom