Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

Aliyekuwa spika , Bwana Ndugai; Chagueni moja kati ya Tozo ama mikopo

Rais Samia: Mimi nimechagua Mikopo,, kwani Mimi ndye wa kwanza kukopa? Waliopita hamkuwaona wakikopa?? Tena Bwana Ndugai unikome
Anakopa na matozo yanazidi kuongezeka pia
 
Anatafuta kusikika Dada Halima. JPM alikosolewa kwa kujaribu kuifanya Tanzania ijitegemee kwa pesa za makusanyo ya ndani.

Miradi ni mikubwa na yote inazo tarehe maalum za kutakiwa kuwa imeshamalizika.
 
Unajua hakuna tajiri asiye kopa, wewe ukifanya savings kuna mtu ana akili ya kukopa kuzungusha hiyo hela na kuirudisha na riba. Marekani ana mikopo ya bonds China zaidi ya dola trl 14
 
Halima sio mbunge wa chadema
 
Itafika wakati hata mishahara mtakopa
Mwafrika kwa kuomba ni moja ya imani
 
Which is very true ..mtu mweusi akili yake anajua mzungu ndio atamtoa kwenye umasikini, hamna historia ya namna hiyo, nchi zote zimetoka kwenye umasikini kwa kuwa na mikakati mizuri ya ndani na viongozi wazalendo sio "puppets wa wazungu".
Just for your information; nchi tajiri (hasa hizo nchi za Western na sasa China )zinapenda sana nchi masikini hasa za Africa kuendelea kua masikini, zinapenda kutuona tunatembeza bakuli saa zote, zinapenda viongozi sana viongozi OMBA OMBA, hazipendi viongozi wanaotamani kuziona nchi zao siku moja zikijitegemea; umasikini wetu una FAIDA kubwa sana kwao, watajichukulia mali za huku watakavyo, ukiwakatalia, wanakukumbushia madeni yao au misaada yao. Kiongozi mzalendo yeyote Africa hawezi kudumu madarakani, ATAKUFA tu. Unamkumbua yule wa Zambia aliyefia Ufaransa? Rudisha kumbukumbu zako nyuma, baada ya kuingia madarakani alifanya nini? Linganisha na vifo vya viongozi wengi wa nchi masikini.
 
VITI MAALUM VINADUMAZA AKILI!
NB: HALIMA anajua sasa ni suala la muda tu ...!
NI MUDA MZURI WA KUJIUNDIA KA'LEGACY'!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ’₯
 
Hawa ni masalia ya Jobo...Yule mzee wa Nazareth.
 
Wachichiemu huyo, wao hawajapeleka mwalilishi yeyote
 
Yeye mwenyewe akili ni dumavu ndo maana kaona njia ya mkato ni usaliti wa chama kakimbilia kitonga.
 
Kupitia chama gani?
 
Aliyekuwa spika , Bwana Ndugai; Chagueni moja kati ya Tozo ama mikopo

Rais Samia: Mimi nimechagua Mikopo,, kwani Mimi ndye wa kwanza kukopa? Waliopita hamkuwaona wakikopa?? Tena Bwana Ndugai unikome
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ama kweli nyani haoni kundule! Hivi huyu kasahau kama alikwenda kwenye media na kusema kuwa ana ushahidi kabisa kuwa uchaguzi wa alikokuwa anagombania ulikuwa sio wa halali na CCM wanaingiza kura feki, Si ndie huyu huyu baada ya kuibiwa kura zake (according to her own statement) hafla tu alipopewa ubunge wa viti maalum kutoka kwa wazi wake amekimbilia bungeni kuapishwa? Ni nini kilichomfanya akubali kuwa mbunge wa viti maalum kama sio pesa na machopo chopo yanayomsubiri atakapomaliza muda wake bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…