Halima na wenzake lazima watoboe. Msijidanganye kama watoto. Ukweli utajulikana nani alipeleka barua NEC

Ndio maana Mdee amesema yeye ndio mfuga mbwa, anajua namna ya kum control...na kumpa chakula😀😀
 
Mkuu JokaKuu, hoja yako it's not true!.
  1. Majina ya viti maalum kutoka vyama vyote hupekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi, hivyo Chadema walipeleka majina NEC likiwamo jina la Nusrat
  2. Baada ya matokeo na Chadema kushindwa vibaya kwa kupoteza majimbo yote isipokuwa moja tuu jipya, Chadema ilitangaza haiyatambui matokeo na badala ya kuuita uchaguzi mkuu ikauita uchafuzi mkuu!.
  3. Tena Chadema wakamkataza hata Mbunge wake mmoja wa ngama wa jimbo asiropoti kwa hoja kuwa hawayatambui matokeo.
  4. Mgao wa viti maalum ulipotoka na Chadema kupata viti 19, Chadema kama chama, kilitangaza kutoteua wabunge wa viti maalum.
  5. Ndipo Mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee, akaanza na internal consultations, lobbying and advocacy akakubaliwa.
  6. Uteuzi wa majina ya nafasi 19 ukafanywa, fomu zikajazwa na kupigwa sahihi na mihuri authentic bonafide genuine kabisa ikaenda NEC.
  7. NEC wakafanya uteuzi na kuwapeleka bungeni Kwa uteuzi halali with authentic credentials bonafide genuine certificates za uteuzi za NEC
  8. Bunge likawapokea na kuwaapisha sasa ni Wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT
  9. Ndipo Chadema huku wakaliamsha nani kawatea?. Bila hata kufanya any due process kuuthibisha forgery, wakaitisha Ile Kangaroo Yao, wakawatimua!.
  10. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
P
Kwahiyo chadema alipeleka majina ya watu hata waliokuwa jela?
Alipeleka majina ya kina mdee ambao walikuwa wagombea wa majimbo? What if wanashinda?
Acha kujitoa kili bwana pasco
 
🐒🐒🐒
16559808700323.jpg
 
Mkuu JokaKuu, hoja yako it's not true!.
  1. Majina ya viti maalum kutoka vyama vyote hupekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi, hivyo Chadema walipeleka majina NEC likiwamo jina la Nusrat
  2. Baada ya matokeo na Chadema kushindwa vibaya kwa kupoteza majimbo yote isipokuwa moja tuu jipya, Chadema ilitangaza haiyatambui matokeo na badala ya kuuita uchaguzi mkuu ikauita uchafuzi mkuu!.
  3. Tena Chadema wakamkataza hata Mbunge wake mmoja wa ngama wa jimbo asiropoti kwa hoja kuwa hawayatambui matokeo.
  4. Mgao wa viti maalum ulipotoka na Chadema kupata viti 19, Chadema kama chama, kilitangaza kutoteua wabunge wa viti maalum.
  5. Ndipo Mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee, akaanza na internal consultations, lobbying and advocacy akakubaliwa.
  6. Uteuzi wa majina ya nafasi 19 ukafanywa, fomu zikajazwa na kupigwa sahihi na mihuri authentic bonafide genuine kabisa ikaenda NEC.
  7. NEC wakafanya uteuzi na kuwapeleka bungeni Kwa uteuzi halali with authentic credentials bonafide genuine certificates za uteuzi za NEC
  8. Bunge likawapokea na kuwaapisha sasa ni Wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT
  9. Ndipo Chadema huku wakaliamsha nani kawatea?. Bila hata kufanya any due process kuuthibisha forgery, wakaitisha Ile Kangaroo Yao, wakawatimua!.
  10. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
P
Hili la covd 19 linazidi kuonesha tu wewe ni mtu mwenye akili ndogo kiasi gani . Unawezaje kuwa biased hivi. Wale wakina mngwali wa CUF walipofukuzwa nn kilifuatia??? Walibaki bungeni?
 
Jomba sawa maelezo yako..Ila suala la msingi ni kwamba covid19, walishang'amua janja ya viongozi wao kuwa wanataka wawateme ili waweke vimadaaa wao....na walisema..na ushahidi wanao..Sasa jomba kama msingi ni huu wacha wakomae..lakini kama wanataka kuendelea na msimamo wao uchaguz ulikuwa ni mchafu Basi waendelee..lakini suala la kujiuliza, je.! Wakiwapiga chini Hawa hawatachagua wengine kwa maana ya uchaguz ulikuwa mchafu au watachagua wengine..na je..ni kwanini wachaguliwe wengine...wakati Hawa pia waliwachagua wenyewe..tujiulize hapo...ni swali fikilishi
wakichagua wengine maana yake watakuwa wanaukubali uchafuzi ilikuwa ni uchaguzi halari, sijui kama wataeleweka na jamii...
 
Mkuu JokaKuu, hoja yako it's not true!.
  1. Majina ya viti maalum kutoka vyama vyote hupekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi, hivyo Chadema walipeleka majina NEC likiwamo jina la Nusrat
  2. Baada ya matokeo na Chadema kushindwa vibaya kwa kupoteza majimbo yote isipokuwa moja tuu jipya, Chadema ilitangaza haiyatambui matokeo na badala ya kuuita uchaguzi mkuu ikauita uchafuzi mkuu!.
  3. Tena Chadema wakamkataza hata Mbunge wake mmoja wa ngama wa jimbo asiropoti kwa hoja kuwa hawayatambui matokeo.
  4. Mgao wa viti maalum ulipotoka na Chadema kupata viti 19, Chadema kama chama, kilitangaza kutoteua wabunge wa viti maalum.
  5. Ndipo Mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee, akaanza na internal consultations, lobbying and advocacy akakubaliwa.
  6. Uteuzi wa majina ya nafasi 19 ukafanywa, fomu zikajazwa na kupigwa sahihi na mihuri authentic bonafide genuine kabisa ikaenda NEC.
  7. NEC wakafanya uteuzi na kuwapeleka bungeni Kwa uteuzi halali with authentic credentials bonafide genuine certificates za uteuzi za NEC
  8. Bunge likawapokea na kuwaapisha sasa ni Wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT
  9. Ndipo Chadema huku wakaliamsha nani kawatea?. Bila hata kufanya any due process kuuthibisha forgery, wakaitisha Ile Kangaroo Yao, wakawatimua!.
  10. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
P
Wewe nawe khe!
Wabunge wa chama kipi?
 
Acha kupotosha mkuu ni lini majina yanapelekwa kabla ya uchaguzi wakati siku zote viti maalum vinakuwa confirmed na Kamati kuu baada ya matokeo kuonyesha taswira ya political landscape?

Sasa whether walipewa barua ya uteuzi na Mbowe or Mwalimu katiba ya chama inakubali hiyo process?? Je taratibu za NEC zinakubali barua iandikwe na yeyote tu bila vikao vya maamuzi??

Of course katiba na miongozo ya CHADEMA haikubali Hilo so mpaka hapo kichama hawakuteua wabunge. Sasa kilichopo waliamua kufanya maamuzi ya kuwavua uanachama (Sio kuwavua ubunge) na sababu kuu ni wao kugoma kuja kuhojiwa na Kamati kuu juu ya yaliyotokea hivyo Ile dharau ndio ilipelekea wafukuzwe na sio kwenda bungeni!!!

Sasa basi, whether walifoji or whether Mbowe aliwatuma bungeni, je wao kufukuzwa kwa kutoitikia wito wa Kamati kuu na kwenda na kinyume na msimamo wa chama unahusiana nini na uhalali wao kuteuliwa???

Hapa kilichopo ni maamuzi ya baraza kuu yaheshimiwe so whether Mbowe or wateva kawapa barua haituhusu wanachama.
 
Na upumbavu wa kutojielewa kama chadema imepeleka majina nec kwann iwatimue

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kamati kuu ipi iliwapitisha? Minutes zikwapi za hicho kikao Cha kuwa confirm au unadhani Mbowe akiamka tu asubuhi anaruhusiwa kufanya maamuzi bila vikao halali vya chama?? Mnajua maana ya corporate governance au checks and balances?? Hakuna mtu ana absolute powers kwenye taasisi kuna vyombo anavyotakiwa kuripoti kwao otherwise naye anatimuliwa tu.
 
Mkuu JokaKuu, hoja yako it's not true!.
  1. Majina ya viti maalum kutoka vyama vyote hupekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi, hivyo Chadema walipeleka majina NEC likiwamo jina la Nusrat
  2. Baada ya matokeo na Chadema kushindwa vibaya kwa kupoteza majimbo yote isipokuwa moja tuu jipya, Chadema ilitangaza haiyatambui matokeo na badala ya kuuita uchaguzi mkuu ikauita uchafuzi mkuu!.
  3. Tena Chadema wakamkataza hata Mbunge wake mmoja wa ngama wa jimbo asiropoti kwa hoja kuwa hawayatambui matokeo.
  4. Mgao wa viti maalum ulipotoka na Chadema kupata viti 19, Chadema kama chama, kilitangaza kutoteua wabunge wa viti maalum.
  5. Ndipo Mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee, akaanza na internal consultations, lobbying and advocacy akakubaliwa.
  6. Uteuzi wa majina ya nafasi 19 ukafanywa, fomu zikajazwa na kupigwa sahihi na mihuri authentic bonafide genuine kabisa ikaenda NEC.
  7. NEC wakafanya uteuzi na kuwapeleka bungeni Kwa uteuzi halali with authentic credentials bonafide genuine certificates za uteuzi za NEC
  8. Bunge likawapokea na kuwaapisha sasa ni Wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT
  9. Ndipo Chadema huku wakaliamsha nani kawatea?. Bila hata kufanya any due process kuuthibisha forgery, wakaitisha Ile Kangaroo Yao, wakawatimua!.
  10. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
P
Ndugu wewe ni mwandishi wa habari mbobezi tena za kiuchunguzi kabisa na pia ni mwanasheria hizi facts ulizoziandika hapa naomba uteletee uthibitisho wa kila hoja yako uilinde heshima yako kidogo iliyobaki. Nawasilisha kwako.
 
Jomba sawa maelezo yako..Ila suala la msingi ni kwamba covid19, walishang'amua janja ya viongozi wao kuwa wanataka wawateme ili waweke vimadaaa wao....na walisema..na ushahidi wanao..Sasa jomba kama msingi ni huu wacha wakomae..lakini kama wanataka kuendelea na msimamo wao uchaguz ulikuwa ni mchafu Basi waendelee..lakini suala la kujiuliza, je.! Wakiwapiga chini Hawa hawatachagua wengine kwa maana ya uchaguz ulikuwa mchafu au watachagua wengine..na je..ni kwanini wachaguliwe wengine...wakati Hawa pia waliwachagua wenyewe..tujiulize hapo...ni swali fikilishi
1. Msimamo haujabadilika CHADEMA hawatambui matokeo ya uchaguzi 2020.

2. Mbona kigaila alishasema hawatoteua wabunge tena unless haya maridhiano na CCM yatengue Hilo.

3. Ni lini CHADEMA walipanga kufanya uteuzi wakati tokea October mpaka wanapenda apishwa 2021 bunge lilishaanza kitambo!!!

4. Hivi tuwe wakweli hata wangesema wanateua Hivi wangemuacha Mdee na Matiko?? Kama walipewa viti maalum walipokua mahoehae ndio wangekuja kumwagwa wakati ni viongozi waandamizi wa BAWACHA??

4. Kama hoja ni mahawara mbona huyo Nusrat was dating Mashinji, Huyo Hawa Mwaifunga Mke wa Bananga aliyekua campaign manager wa Lissu, huyo Agnesta naye ana date kiongozi wa CHADEMA, Matiko ni mke wa Salum Mwalimu n.k so kama hoja ni kuepuka uhawara mbona hao walikua Wana date same same people wanaowatuhumu? Funny

5. Kama haya unayodai ni kweli ni lini wamewahi sema in public hasa Baraza kuu au Kamati kuu? Kwanini walikataa kuongea huu ukweli?
 
Kama hoja ni mahawara mbona huyo Nusrat was dating Mashinji, Huyo Hawa Mwaifunga Mke wa Bananga aliyekua campaign manager wa Lissu, huyo Agnesta naye ana date kiongozi wa CHADEMA, Matiko ni mke wa Salum Mwalimu n.k so kama hoja ni kuepuka uhawara mbona hao walikua Wana date same same people wanaowatuhumu? Funny
Mkuu zitto junior, vitu vingine ni maisha binafsi vinalindwa na sheria ya haki ya faragha, the right to privacy, sio vya kuletwa hadharani!.
let's discuss public things public and let's keep private affairs private!.
P
 
Swali rahisi ni hili:
Hivi ukiwa mwajili wa mtu( cdm vC19) na ukafanya maamuzi ya kumpa mtu ajira, ina maana kwamba huwezi tengua maamuzi yako ( kwa kufuata due process ya aina yeyote ile) au ukisha teua umetea tu na ajira ni ya kudumu hadi milele?

CDM walisha tangazia dunia kwamba wao hawajateua mtu na uchaguzi huo ulikuwa ni uchafuzi - sasa kwa nini walazimishwe kusema kwamba wanautambua huo uchaguzi kwa kukubali kwamba c.19 ni halari? Paskali pitia lile somo la doctrine of legitimate expectation and principle of estoppel na mauza uza yake halafu utete hao c19.

Huwezi kumlazimisha mtu apingane na maoni yake au kauli zake za huko nyuma na huo ndio msimamo wao...
Kuendelea kuwakumbatia c19 maana yake unawalazimisha cdm watengue kauli yao kwamba uchaguzi Ule na matikeo yake wanaukubali jambo ambalo ndio lingeweza kumaliza mgogoro huo...
Hata hao c19 wakiulizwa, je uchaguzi ule na matokeo yake waliukubari? Jibu likiwa hapana basi hata hiyo kesi ni magumashi tu.
Huwezi sema kiti Moto ni halamu lakini mchuzi wake ni mtamu- haiwezekani...
Uanachama wa chama cha siasa ingawasio unajiunga kwa uhuru na kuondoka kwa uhuru, ila sio kama mapenzi mkipendana mnaoana, mkichokana mnaachana.

Ukimchoka mpenzi unamtimua utakavyo na ukimchoka mke unamtaliki as you wish, lakini mwanachama wa chama cha siasa, huwezi kumtimua tuu unapojisikia au bila kosa lolote, na kukitokea makosa, katiba za vyama zimeweka taratibu za kufuatwa hata katiba ya Chadema imeweka, kwanini hawakufuata katiba yao?.
P
 
Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
Ndugu yangu,
Kama ni kweli, Covid 19 wana haja gani ya kuendelea kuhangaika kuokoteza 'vijikesi' huku wakitumaini 'ulinzi' wa Betina? Kwa nini waendelee kuandikia mate wakati wino upo?
 
Unatakiwa utengue ajila kihalali.
Kihalali imekaaje na nani anaiamua hiyo kihalali? Katika kazi kuna kitu inaitwa gross misconduct offences, hiyo huwa ni papo kwa papo hakuna cha kusubiria au nini na sijui hii unaizungumziaje kwa muktadha wa kihalali ?
Uanachama wa chama cha siasa ingawasio unajiunga kwa uhuru na kuondoka kwa uhuru, ila sio kama mapenzi mkipendana mnaoana, mkichokana mnaachana.

Ukimchoka mpenzi unamtimua utakavyo na ukimchoka mke unamtaliki as you wish, lakini mwanachama wa chama cha siasa, huwezi kumtimua tuu unapojisikia au bila kosa lolote, na kukitokea makosa, katiba za vyama zimeweka taratibu za kufuatwa hata katiba ya Chadema imeweka, kwanini hawakufuata katiba yao?.
P
sijui kama katiba yao haikufutwa...nilichokiona ni kwamba waliitwa na cc- sijui kama walienda au la
Pili wakakata rufaa huko baraza kuu...
Hizi hatua zote zilifanyika na umma unajua...
Sasa hebu ngoja tusubirie maelezo toka kwa pilato...lakini sidhani kama cdm wanaweza lazimishwa kuwakubali na wawarudishie uanachama wao...
Halafu sijui ni kwa nini, haya ya mahakamani yanatokea tu kwa wapinzani. Huko ccm hizi habari hakuga
 
Acha kupotosha mkuu ni lini majina yanapelekwa kabla ya uchaguzi wakati siku zote viti maalum vinakuwa confirmed na Kamati kuu baada ya matokeo kuonyesha taswira ya political landscape?

Sasa whether walipewa barua ya uteuzi na Mbowe or Mwalimu katiba ya chama inakubali hiyo process?? Je taratibu za NEC zinakubali barua iandikwe na yeyote tu bila vikao vya maamuzi??

Of course katiba na miongozo ya CHADEMA haikubali Hilo so mpaka hapo kichama hawakuteua wabunge. Sasa kilichopo waliamua kufanya maamuzi ya kuwavua uanachama (Sio kuwavua ubunge) na sababu kuu ni wao kugoma kuja kuhojiwa na Kamati kuu juu ya yaliyotokea hivyo Ile dharau ndio ilipelekea wafukuzwe na sio kwenda bungeni!!!

Sasa basi, whether walifoji or whether Mbowe aliwatuma bungeni, je wao kufukuzwa kwa kutoitikia wito wa Kamati kuu na kwenda na kinyume na msimamo wa chama unahusiana nini na uhalali wao kuteuliwa???

Hapa kilichopo ni maamuzi ya baraza kuu yaheshimiwe so whether Mbowe or wateva kawapa barua haituhusu wanachama.
Hili suala lishaonekana wazi kuwa kuna mkono wa serikali, sioni sababu yaa watu kubisha kwenye hilo.
Hata ningeweza kuwashauri chadema kuachana nalo tu, siku serikali ikiona hao covid 19 hawafai basi watawatoa.
 
Hongera sana kwa upembuzi, ingawa utawaudhi baadhi ya watu. Hapa yatakiwa uwe na ngozi ngumu
Jamaa linafurahia kuandika vijineno:
  1. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
Ukiwa na ugonjwa wa kuhara maneno ya aina fulani huwezi kujizuia hadi ufe au upate dawa! Verbal diarrhoea is for real.
 
Back
Top Bottom