..Pascal maelezo yako sio ya kweli.
..Unapotosha, tena unafanya makusudi.
..hakuna kikao cha CC ya Cdm kilichoketi baada ya uchaguzi wa 2020 na kuteua wanachama 19 kuwa wabunge wa viti maalum.
Uteuzi wa wabunge maalum kutoka vyama vyote na majina yanapelekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi. Chadema waliteua majina yao na kuyawasisha NEC, ni kikao gani kiliteua na kina nani waliteuliwa, that is purely Chadema internal matters, kitu cha muhimu hapa ni barua authentic bonafide genuine kutoka Chadema kwenda NEC ilipeleka hayo majina!. Barua hiyo iliandikwa na nani na kusainiwa na nani hayo sio yangu, hoja yangu ni majina halali 19 ya wanachama halali wa Chadema yalitua NEC na NEC ikawapa authentic bonafide genuine certificates za uteuzi na kuwapeleka bungeni, hivyo Bunge limepokea wabunge 19 halali kutoka NEC, wakaapishwa na sasa ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine mpaka sasa!.
.Katibu Mkuu Mnyika amesema hajawahi kusaini barua Halima na wenzake waende bungeni.
Kitu muhimu kinacho matter kwenye any official confirmations ni authentication of the office bearers, as long as barua ni official letter yenye letter head ya Chadema, sio fake letter, sio forgery bali ni authentic bonafide genuine letter from Chadema to NEC, hata kama haijasainiwa na KM, ni barua authentic bonafide genuine na halali.
NB. Mfanyakazi yoyote wa Chadema mwenye access to official communication anaweza kuandika barua authentic bonafide genuine kwenye letter head ya Chadema na kufoji saini ya KM, JJMNYIKA, kwa kujifanya it's an official letter, na kuiwasilisha NEC kujifanya imetoka Chadema. If this is the case, then this is forgery na ni Jinai.
Baada ya KM JJMNYIKA kujua yeye hajaandika barua yoyote kuwateua the next step ilikuwa ni JJMnyika kuripoti polisi kuhusu jinai hiyo, uchunguzi wa kijinai ungefanyika na Chadema kuuthibisha hiyo barua ya uteuzi ni forgery, wala hata wiki wasingemaliza, NEC ndio ingetengua uteuzi wao!.
Kitendo cha Chedema kuripoti popote forgery yoyote ni uthibitisho they know the letters ni authentic bonafide genuine.
Msemaji wa Cdm amedai Nec imeshindwa kuwapatia nyaraka zilizotumika kuwateua kina Halima.
Chadema ipeleke nyaraka za uteuzi NEC, zipokelewe, wateuliwe, waapishwe, halafu wewe wewe urudi NEC kuiomba barua kutoka chama chake, hata ningekuwa mimi, why nikupe?, si copy unayo?, kama kweli hukuandika na huna copy hiyo maana yake ni forgery,the right thing was to report.
Kama Chadema wangeripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike, Chadema would have been saved with the letter from Chadema to NEC na hapo ndipo Chadema angethibitisha barua hiyo ni forgery.
Kwa maelezo hayo, we have no other option, zaidi ya ku-conclude kwamba kina Halima hawakuteuliwa na chama
Uteuzi haufanywi kwa imani wala maneno bali maandishi. Nakuambia barua authentic bonafide genuine ya uteuzi wa wabunge hao 19 toka Chadema ipo!
wala tume kuwa wabunge wa viti maalum.
Barua authentic bonafide genuine certificates za uteuzi kutoka Tume kwenda Bungeni kuwateua zipo na ndio maana Bungeni wameapishwa.
Watu wanahangaika kutafuta " barua " na " aliyegushi" wakati hakukuwa na kitu kama hicho.
The government works on black and white, bila papers there is nothing government is done!. Barua zipo na hakuna forgery yoyote ila kuna uhuni fulani!.
P