Halima Mdee ni Mwenyekiti wa Bawacha alitechaguliwa na Mkutano Mkuu, moja ya majukumu makubwa ya Bawacha ni kuwajengea uwezo Wanawake wa Chadema kuingia kwenye vyombo vya uwakilishi.
Baada ya Chadema kupewa nafasi 19 za viti maalum, Chadema kama chama kilizikataa, now take it from me once and for all kuwa hao wabunge 19 hawakujiibukia tuu Bungeni kwa kuchipukia kama uyoga, consultations, lobbying and advocacy ilifanyika, waka seek authorization form wenye chama na wakapewa a go ahead kuwa they are doing that on their own risks.
Yote yalifanyika Mdee kayafanya kama Mwenyekiti wa Bawacha. Mtu akiishachaguliwa kuwa kiongozi, huwezi kumtuhumu chochote as mwanachama wa kawaida.
Baada ya Dr. Slaa kutofautiana na Mwenyekiti wake kwenye issue ya kumpokea Lowassa, Dr. angeweza kujenga hoja kuwa Chadema kama chama hakikumtuma Mbowe amlete kubwa la mafisadi kuwa mgombea wao!. Jee wangeweza kumfukuza Mbowe as mwanachama wa kawaida?.
CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya NKM, lakini walimtinua Zitto Kikangroo kama sasa CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha, haina uwezo huo!. Kilichofanyika ni Ukangaroo tuu, na haya yanafanyika kwasababu Chadema wamezoea vya kunyonga
"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
P