Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni


  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Serengi-Mara kuna project wameichukua wamarekani sio mchezo inajengwa Hadi reli kutoka Apo Hadi Mwanza huu mradi ni Smart city sio wa mchezo serikali kuu imeomba kuchangia katika huo mradi soon utaanza.
Elezea zaidi
 
Mtoa mada unajua vigezo vya mji kupewa hadhi ya Jiji au umeandika kwa hisia tu. Hivi
Moshi
Njombe
Morogoro
Sumbawanga. Kuna wakaazi kiasi gani hata wapewe hadhi ya Jiji.
 
Elezea zaidi
Ni kwamba kuna wazungu wameipenda wilaya ya Serengeti so mkurugenzi kaandaa propasal ya uwekezaji baada ya wadau kuikubali wakatoa go ahead, serekali kuu ilivyoona project ni kubwa wakataka wachukue hisa mwekezaji kawapa asilimia 21 za mradi,halmashauri nayo imechukua asilimia chache, asilimia kubwa anachukua mwekezaji,mpaka sasa mwekezaji kishatoa tirion 1.2 kuandaa master plan kiufupi huyu mwekezaji anabadilisha wilaya kuwa smart city kutakuwa na hotels za kisasa shule,miundombinu, apartments zilizopangiliwa reli na kiwanja kikubwa Cha ndege.
 
Ni kweli hii?
 
Ni kweli hii?
Yah ni kweli from internal source jiandaeni kisaikolojia watu mtapigwa fidia za kutosha mpishe mradi, smart city haitaki intefiar na vijumba vyenu vya miaka ya 82. google Serengeti smart city kuna waandishi walifika kujua hatua za project zinaendaje wakaambiwa ni hatua ya awali bado ya mazungumzo wanaweza kuwa wameisha publish.
 
Moshi
 
Labda Kahama kama baada ya miaka 15 ijayo

ila Morogoro na Moshi ni makubwa jinga


Kinondoni ni sehemu ya Dar

Hao wengine waendelee kulima karoti tu
Moshi haiwezi kuwa jiji sababu ya hifadhi ya mlima Kilimanjaro. Wakuu wanaogopa isiwe kama yaliyopo hapo kwa jirani Mkenya
 
Fanya utafiti kabla .hakuna Manispaa ya Njombe wala Kibaha..kwenye hoja yako Manispaa ya Morogoro, Ubungo, Temeke na Kinondoni zinastahili pia kuwa Majiji.
 
Fanya utafiti kabla .hakuna Manispaa ya Njombe wala Kibaha..kwenye hoja yako Manispaa ya Morogoro, Ubungo, Temeke na Kinondoni zinastahili pia kuwa Majiji.
Mkuu, nimeandika Manispaa/Mji ,,,alama ya / huumanisha au....
Serikalini huwa wana vigezo takribani vitano, ambapo Wilaya husika inatakiwa kuwa makao makuu ya mkoa,na ndiyo hizo Wilaya hazijawa majiji.
Ila kwa kauli ya hayati Magufuri,Kino+TMK zinaweza kuja kuwa majiji huko mbeleni.
 
Reactions: BRN
Ifakara inafaa kuwa jiji la wakulima wa mpunga duniani.
 
Hata Dar es salaam haina hadhi ya kuwa jiji, sembuse hivyo vijiji vingine.
 
Mtoa mada unajua vigezo vya mji kupewa hadhi ya Jiji au umeandika kwa hisia tu. Hivi
Moshi
Njombe
Morogoro
Sumbawanga. Kuna wakaazi kiasi gani hata wapewe hadhi ya Jiji.
Kasome ripoti ya Sensa na uone kasi ongezeko la watu katika hizo Manispaa na miji...
Mpaka 2035,idadi ya watu itakuwa kubwa kuliko Mbeya au Arusha ilivyopewa hadhi ya Jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…