Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Unajidanganya sana, wanaowazuia wasiende Rafah ni Hamas?? Endelea kuaminishwa kama mlivyoaminishwa kuwa hospitali zina maandaki na zinatumika kama operation center
 
Muisrael mweusi wa Uyole anawasemea Wapaletina eti wamechoka 😀😀

Mabasha zako wanapigana vita na watoto na wagonjwa.


View: https://x.com/qudsnen/status/1787723557994205340?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unajidanganya sana, wanaowazuia wasiende Rafah ni Hamas?? Endelea kuaminishwa kama mlivyoaminishwa kuwa hospitali zina maandaki na zinatumika kama operation center
Hapana. HAMAS hawajawazuia wasiende Rafah kwani hawana kabisa huo uwezo.
 
Nimeona bendera ya Mwamba inapepea hapo. Mji umekuwa kimyaaaaaa. Hakuna hata njiwa/mbwa/paka barabarani. Dah! Inatisha. Mji upo kwenye simanzi kuu.
Ukitaka kujua kwa nini Israel itashindwa huko Rafah, pointi mbili.

1. Video iliyochapishwa jana inaonyesha shambulio dhidi ya nyadhifa za IDF kwenye Ukanda wa Netzarim katikati mwa Gaza, ambalo IDF walisema wana udhibiti kamili.
Wataishia kuvunja majumba na kuuwa watoto tu.


View: https://x.com/naksbilal/status/1787751074943627395?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Watakuwa wameshaua mateka wote
 
 

Attachments

  • 96d91172-aed6-49f3-8b81-ecd140092271.jpg
    1.4 MB · Views: 8
Hakuna kitu Israel ataenda kukipata Rafah ambacho atajivunia ni ushindi dhidi ya Hamas zaidi ya kufanya mauwaji ya kimbali ya raia na kupata aibu kuu
Anataka ardhi kua na akili waisrael walikua wanataka sana kumega ardhi utahaira wa Hamas October 7 wameokota dodo chini ya mwembe washachukua Ekta zaidi ya 980 mpaka Sasa .
 
Israel ni magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…