Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yahudi Jeusi la Ushirombo linatoa tamko huku linaumwa UTI sugu.
Ndio maana Aljazeera imefungiwa kwa uongo wa hivi.. safe place haipigwi na idf ila eneo lolote likitumika kushambulia idf na Israel automatically panakuwa War zone.. Hamas wanajua hilo ndio maana waarab wengine waligoma kutoka majumbani mwao kizuia magaidi wasitumie nyumba zao kushambulia.. Hamas wanasaidiwa na Aljazeera na Qatari. Kuna guruneti lilirushwa kutokea kwenye tent eneo salama walilotenga IdfHizo ni mbinu za kijinga za Israel wanataka kufanya kama mwanzo wanaenda wakifika huko wanawapiga mabomu pamoja na yote hawawez kufanikiwa kwa chochote wanadhani mataeka wapo Rafah .
Hapa unakubali wanawatumia raia kama ngao?Mimi ninachojiuliza kwani hao wapiganaji wa Hamas na viongozi wao hawawezi kujichanganya kwa raia na kuondoka rafah? Mbona kama utakua ni mchezo wa kujaza maji kwenye tenga?? Kama wakijichanganya na raia je IDF inaweza kuwatambua?? Mkuu msaada tafadhali
Sasa hiki ndio nini? Ushindi?Ukitaka kujua kwa nini Israel itashindwa huko Rafah, pointi mbili.
1. Video iliyochapishwa jana inaonyesha shambulio dhidi ya nyadhifa za IDF kwenye Ukanda wa Netzarim katikati mwa Gaza, ambalo IDF walisema wana udhibiti kamili.
Wataishia kuvunja majumba na kuuwa watoto tu.
View: https://x.com/naksbilal/status/1787751074943627395?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Uislam unafundisha watoto wao kuwa jeuri dhidi ya wayahudi... Wayahudi wanajua hilo so ni ubabe tu kwenda mbele... stop teaching your children hate.. teach them to be a good civiliansWanajeshi wa Israel wanapambana na Hamas.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1787897432946200618?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
" Coward enemy"Nikimbie nini sasa hawa mabasha zako wanapigana vita na watoto na kuvunja majengo, hawajaokoa hata mateka mmoja kuja jeshi hapo au kundi la mashoga ambalo mnakesha JF kushabikia nyie walokole wa JF wajingq sana.
View: https://x.com/suppressednws/status/1788012220053344663?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unadhani Israel inatafuta mateka tena? Kama wapalestina na watekaji Hamas wenyewe hawana makazi maalum na chakula, mateka watapewa chakula gani? Israel inajua kabisa si rahisi kuwapata mateka wakiwa hai, ni kama imewa sucriffice, kwa sasa wamejielekeza zaidi kuwaeliminate au kuwapunguza kwa kiasi kikubwa wapalestina katika ardhi ya Gaza na West Bank... pamoja na yote hawawez kufanikiwa kwa chochote wanadhani mataeka wapo Rafah .
Hahaha Mungu ndiyo anaweza kupunguza watu Wapalestina wanaume 90% wana wake Wanne Wasrael 80% ni mashoga baada ya miaka 3 tu Gaza inazidi kuongezeka Israel wa mashoga wao wanabaki kulawawitiana ndiyo maana Wapelestina wala hawana wasiwasi wapo pamoja na Hamas.Unadhani Israel inatafuta mateka tena? Kama wapalestina na watekaji Hamas wenyewe hawana makazi maalum na chakula, mateka watapewa chakula gani? Israel inajua kabisa si rahisi kuwapata mateka wakiwa hai, ni kama imewa sucriffice, kwa sasa wamejielekeza zaidi kuwaeliminate au kuwapunguza kwa kiasi kikubwa wapalestina katika ardhi ya Gaza na West Bank
Ndo utajua waende wapi taarifa imeisha tolewa watoke hapo hatutaki ugaid wa kujificha nyuma ya migongo ya raiaUnaongea kama umekatwa kichwa raia zaidi miioni 1 na nusu waondoke waende wapi?
Asante kuu kwa kuliona hilo. Vitisho na kuomba msaada pamoja.Hii taarifa imekaa kivitisho huku ikiomba msaada wa Kimataifa , Kiraia na kulaani Mauaji ya raia.
Inachanganya sana. Kipi ni kipi
Propaganda za kishoga hizoNdo utajua waende wapi taarifa imeisha tolewa watoke hapo hatutaki ugaid wa kujificha nyuma ya migongo ya raia
Ndio muone madhara ya vita kuliko kujihanikiza eti tuifute Israel, utafutaji taifa lenye nyuklia kabla wewe hujafutwa? Huone namna Rusia anavyohenyesha NATO?Watu milioni 1,5 unawambia waende sehemu ndogo ambayo hamna nyumba, hamna maji, hamna, umeme, hamna miundombinu kisha wakifika huko uwapige mabomu kama mwanzo?
Wewe unaongea uharo mfano wako wa kijinga sana Palestina wanapambania ardhi yako yoka 1947 wewe ulivyokuwa punguani unataka wafanyaje? Pelestina wanaishi gereza la wazi siku zote hawana haki zozote kwenye taifa lao wewe hauna unalojua zaidi ya ushabiki mandazi, unatoa mfano wa Urusi na Nato wapi na wapi.Ndio muone madhara ya vita kuliko kujihanikiza eti tuifute Israel, utafutaji taifa lenye nyuklia kabla wewe hujafutwa? Huone namna Rusia anavyohenyesha NATO?
Bora wewe umeona hilo, yaani jamaa haeleweki, kavurugwa na anatia huruma.Hii taarifa imekaa kivitisho huku ikiomba msaada wa Kimataifa , Kiraia na kulaani Mauaji ya raia.
Inachanganya sana. Kipi ni kipi
Wapalestina wataongezeka, lakini nje ya Gaza na West Bank, maybe Misri huko kama wataruhusiwa kuingiaHahaha Mungu ndiyo anaweza kupunguza watu Wapalestina wanaume 90% wana wake Wanne Wasrael 80% ni mashoga baada ya miaka 3 tu Gaza inazidi kuongezeka Israel wa mashoga wao wanabaki kulawawitiana ndiyo maana Wapelestina wala hawana wasiwasi wapo pamoja na Hamas.
Mleta uzi hawezi kukujibu hili." Coward enemy"
"They can't face men on ground, they can only target civilian"
Hii statement inafikilisha
Hivi Hamas wapo on open ground battlefield au wamejichanganya na Raia au wapo Kwa undergrounds bunker?
Maana wangekua on ground na military camp zao zingekua open hii vita Wala isinge kuwepo mpaka Sasa
Hamas hawajali kutoa sadaka ya damu mpaka tone la mtu wa mwisho wa Palestine for their "great cause"
Hawajali madhira wanayopitia Raia wa Palestine" chuki waliyonayo Kwa Israel ni kubwa kuliko upendo walio nao kwa watoto wao"