HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote


Kavulata:

Umsema hivi......nanukuu....

" Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini."

Basi tueleze angalau roles za Waingereza na Marekani kuikandamiza Palestina 1967? It seems your very blind on what happened on 1967!
 

Kavulata......nanukuu...

"Lakini yote kwa yote Israel iliivamia na kuikalia Palestine kwamsaada wa Uingereza na Marekani."

Ni lini Israel ilivamia na kuikalia Palestina kwa msaada wa Marekani......Ni lini Mkuu..? Au na wewe umekaririshwa wimbo, bila kujua umetungwaje....Huo Uvamizi ulifanyika lini Mkuu?
 
Israel ikianza kuwachaka Hamas mnalia lia haya ni mauaji ya kimbari wanauawa wanawake na watoto ila sasahivi mnashabikia vitendo vya Hamas
Hatujawahi kulalamika hamas akifa akifa hamas tunashangilia

Mkiua watoto na kina mama lazima mtaambiwa

Mnasema hamas wapo mapangoni badala muwafate mukawafyeke munaenda kupiga hospital

Halaf mnataka msiambiwe pambaneni na hamas kama kuna atakae sema hata.
 
Toka lini magaidi wa kizayuni na shosti zake mkawaonea huruma watu wa Palestine

Pambaneni na hamas acheni kuonea onea watoto enyi magaidi
 
Kama Israel imepoteza.
1. Maandamo ya wavaa kobazi London ya nini?
2. Sasa hivi mnaenda CJ kutafuta huruma.
Kiufupi GAZA inatia huruma, mji umekuwa magofu na haifai tena kwa kuishi
 
Alokwambia kama hamas wanajutia nani

Kama wangekua wanajutia wangekua washatekeleza masharti ya mazayuni ila hawana wanachokijutia
 
Kama Israel imepoteza.
1. Maandamo ya wavaa kobazi London ya nini?
2. Sasa hivi mnaenda CJ kutafuta huruma.
Kiufupi GAZA inatia huruma, mji umekuwa magofu na haifai tena kwa kuishi
Uliwaona hamas wanaandamana sehem gani
Uliwaona hamas wanaenda icj sehem gani

Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
 
Wameuawa wapalestina zaidi ya 23,000 dhidi ya waisrael 1,000 na kibano Bado kinaendelea huko Gaza na Kwa mtamzamo wako unaona mmeshinda vita,,DINI nyingine kuzitofautisha na ugaini ni vigumu,TATIZO uelewa kaka
Uhuru huambatana na gharama kubwa zaidi

Ila lazma mtakua na heshma na hamas na wapalestine wote
 
Ndio umejitutumuuua kuandika samahani ila umeongea utumbo mtupu
 
Uliwaona hamas wanaandamana sehem gani
Uliwaona hamas wanaenda icj sehem gani

Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Huwezi kushindana na malaika mtoa roho Izrael ukatoboa.
Wale magaidi wa Yemen waliokuwa wanalipua meli za Israel, usiku wa kuamkia leo wamepelekewa fire๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ukae kwa kutulia na wenzako wasiende ICJ wala kuandamana na Hamas washikilie hapo hapo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Uhuru huambatana na gharama kubwa zaidi

Ila lazma mtakua na heshma na hamas na wapalestine wote

Heshima ipi mkuu....Gaza 85% Wanaishi kwente UN tents....hata Pedi za akina mama ni za msaada...! Usifurahise baraza.....Mnashinda vita....? Sasa hayo Maandamano ulimwenguni ni ya nini hasa...?

The demonstrations are part of a โ€œglobal day of action for Palestineโ€ and to call for an end to the bloodshed that has killed 23,843 people and wounded more than 60,317, according to Palestinian health officials. (Source : Aljezeera)

Au hizi ni taarifa za uongo?
 
Kwa hiyo Hamas bado ina nguvu ya kuthubutu kuingia tena Israel na kuteka vibibi vizee na kuchinja watoto kama Oktoba 7! Makamanda kibao wa Magaidi wa Makamasi wameuwawa hadi huko nje ya nchi walikokimbilia mnajitoa ufahamu! Na kiongozi wao Yahya Sinwar kakimbia na kujificha mashimoni, hata Osama na Saddam walikimbia na walijificha wakapatikana tu. Watoto wa Gaza wanatumiwa kama ngao na makamasi lazma watauwawa.
 
Darfur weusi wanaouwawa na waarabu janja weed hamuwaoni mnaona Gaza tu waliowachokoza Israel, waislamu wa Rohindra wanauwawa hamuwaoni mnaona Gaza, waislamu China wanafungiwa makambini hamuwaoni mnaona Gaza, kweli Mwarabu ame brainwash watu makosa yake aonekane anaonewa na wao ndiyo wenye haki tu duniani.
 
Uhuru huambatana na gharama kubwa zaidi

Ila lazma mtakua na heshma na hamas na wapalestine wote
Kwa hizi kelele za wavaa kobazi zinavyopigwa lazima mtawaheshimu Israel
Thamani ya muisrael mmoja ni sawa wapelestina 10, mpk sasa wapelestina wengi wamekufa na Israel hangalii mtoto sijui mwanamke sijui mwanaume wote ni kichapo tu.
Sasa hivi wewe na wenzako mnafanya ibada ya kuiombea Palestina, wengine wapo ICJ na wengine wanaandamana
 
Uhuru huambatana na gharama kubwa zaidi

Ila lazma mtakua na heshma na hamas na wapalestine wote


Kuna brainwashing ya hali ya juu mno! Hakuna facts za history......Hata haileweki ni imani ya dini au nini.....Kelele ni occupation....genocide ya Gaza tu......Wanalianzisha wanashindwa kulimaliza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ