kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini.
Hii ni kusema kuwa ukiwakandamiza sana kwa muda mrefu watu unaodhani ni dhaifu na wanyonge kwakutumia uwezo, maguvu, mamlaka na hila iko siku watu hao "dhaifu" watakuwa wakakamavu kwako na pengine kukushinda vibaya sana. Watawala tendeni haki kwa raia wenu, wazazi tendeni haki kwa watoto wenu, walimu tendeni haki kwa wanafunzi wenu, wachungaji tendeni haki kwa waumini wenu maana iko siku watu wenu watainuliwa na kubuni mbinu mpya ya kuwaangusha.