Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Sio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.
Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.
Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.
Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.
Kama tutaweka ushabiki pembeni.
Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Ni kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.
Wasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.
Pole sana waajemi na wafuasi wote wa uajemi.
Ngoja tuone