Mkuu kwenye vita kuwa na Washirika ni Jambo la kawaida.
Ushirika wa vita ni tofauti na kuoigana Vita. Ushirika wa Vita ni kumsaidia rafiki yako bila kushiriki
Pentagon imepeleka askari wanaosaidia ku charge Iron Dome. Israel inatumia base za Marekani kurusha ndege. UK inasaidia airspace kutungua makombora . France inasaidia katika logistics.
Jordan inatungua makombora ya Iran kwa kutumia Israel walioko ndani ya Nchi hiyo. Saud Arabia inasaidia Israel kupitisha ndege ili kufika maeneo ya kaskazani. Hawa wote si washirika ni wapiganaji
Nitajie nchi moja tu iliyosaidia Iran katika kiwango hicho hapo juu
Israel kuficha watu wake kwenye mahandaki ni sehemu ya mkakati wa kulinda watu wake na kushinda vita za hapo mashariki ya kati.
OK Israel ikitumia mahandaki ni Halali, Hamas wakitumia mahandaki ni Haramu
Ni yale ya Hamas WAMEBAKA Watu Kibutz ni ugaidi lakini Israel WAKIFIRA wafungwa ni sawa sawa.
Kwamba Waisrael wana haki ya Kufira ! nanyi '' Waisrael wa kufikia ' hamuoni tatizo kabisa.
Iran ipo kwenye mgogoro na tension kubwa ya kuingia vitani na mataifa ya magharibi kwa kumtumia Israel kwa kipindi kirefu. Haikuona umuhimu wa kuandaa mpango wa kulinda raia wake kwa kuchimba mahandaki?
Haikuona umuhimu wa kutafuta washirika kama China na Urusi ili kujihami na adui zake?
Kosa la Iran ni lipi? Iran imeikosea nchi gani ya Magharibi?
Kuwekewa vikwazo ni sehemu ya kumdhihirishia yeye ni mdogo na anatakiwa afuate mifumo ya wakubwa.
Sawa sawa! kwahiyo ni halali yeye kutolinda soverignity yake.
Kama ameamua kufurukuta na kuonyesha naye anamapembe(mkubwa) bila mipango na mikakati sio sababu ya watu kutumia kigezo cha kusema amewekewa vikwazo. Maana mtu atauliza kwa nini Iran asiwawekee vikwazo Magharibi na US akawekewa yeye. Jibu ni kuwa yeye ni mdogo.
Hujui kwanini aliwekewa vikwazo!!!
Tukijadili kwa mrengo wa Haki, tutakubaliana anaonewa na kufanyiwa dhulma. Hiyo ni kweli.
Fair enough
Lakini Nature inakanuni zake, moja kubwa ni kuwa Nature is heartless, Mother nature has no Mercy.
Kwa Iran na si Israel. Mother nature anaruhusu Wapalestina kuuawa si Waisrael.
Mother nature analazimisha mataifa kulaani Hamas kwa kuua Waisrael 1200 , mother nature hana habari za Wapalestina 50,000 walioiuawa. Mother nature anatoa haki ya Wapalestina kufa kwa njaa!
Mother nature!
The bigger Monster eat the little one.
Survival of fittest.
Na nature love the winner and Worship him/her.
Hizo kanuni zinatumiwa na watawala wengi duniani.
Sawa sawa, kwahiyo hoja kwamba Israel ina haki , ina nguvu inakosa mashiko hapa
Iran mbinu inayotumia unafikiri itatoboa? Kwa upande wangu sioni mbinu anazotumia zikifanya KAZI
Zaidi naona atapigwa chini ya wakati kama ataendelea kurusha ngumi nyingi zisizo na madhara
Sio suala la kutoboa ni suala la soverignity. Ni heri wafe wakipigana kuliko kuishi wakipiga magoti.
Iran hana kosa lolote, anaonewa kama alivyoonewa Ghadaf na Saadam.
Hoja, hii dhana kwamba Israel ni mahiri sana ni kubwa sana n.k. ni uongo. Israel haina lolote bila msaada wa Nchi za magharibi.
Fikiria hivi wapo Gaza miaka 3 wakipiga piga hovyo ! leo unasema Iran wanarusha ngumi hovyo! please. Hamsikii habari kwasababu vyombo vya magharibi vinamilikiwa nao.
Makao makuu ya IDF the most secure place wamepigwa wakiwa na Iron Dome, David sling na Arrow 3.
Hiyo tu inakuonyesha kwamba hawa Iran si Hamas.
Iran itashindwa vita , si na Israel bali mkusanyiko wa NATO!