Anachezesha midoli kwanza wenyewe wale wa-iran wa Bonyokwa wanaita decoysSielewi kwanini Ayatollah ahwapigii simu HAMAS waende kusaidia.
Wewe upo Iran ya wapi Samvu la Chole?We mgalatia naona umechanganyikiwa baada ya kuona makombora ya Hypersonic yakitua kwenye taifa lenu mnaloliita taifa la mungu
Usiku huu Israel inaendelea kuwashwa moto taarifa kamili itakujia hivi punde mungu uchwara anaelinda taifa teule la Israel nae kakimbiaWewe upo Iran ya wapi Samvu la Chole?
Jamaa yangu umekuja na huku..
Tuupe muda nafasi, binafsi naona Iran anajitahidi kumbuka yuko kwenye vikwazo zaidi ya miaka 40 lakini anaweza kupenyeza missiles pale Tel-aviv, haifa nk.
None sense! hujui kiini cha mzozo. Israel inadai Iran ina develop nuclear weapon ili siku moja iishambulie.Kwani kiini cha Mgogoro wa Iran na Israel ni nini?
Iran inadaiwa kudhamini makundi kama Hamas na Hezbollah ambayo ni mwiba kwa usalama wa Israel.
Iran ni nchi tajiri kwa mafuta , sijuiunalijua!. Kuna eneo linaitwa Gulf of Hormuz -google.Kwa nini gharama inazotumia Iran kudhamini hayo makundi isingetumia kujikuza kiuchumi, kiteknolojia na kiintelejensia. Angalau wawe na nguvu kama China.
Kwani IDF hawapo ndani ya Raia? Hujaona mahandaki kama ya Hamas Tel Aviv!Hamas kinachowasaidia ni kujificha katikat ya raia hakuna kingine na IDF Wana huruma sana
Oya, huu muda uliopoteza kuandaa hili bandiko ungeutumia tu kujisomea madesa yako ya KISWAHILI, hii field wewe ni mtupu zaidi ya tumbo la muumini wa Mwamposa aliye katika mfungo wa tatu kavu.Kuiwasha Haifa kunadhoroteshaje na kumdhoofishaje Israel akose uwezo katika vita?
Au anapigana ilimradi Hana lengo la kushinda hiyo vita?
Unataka kutukumbusha WW II kipindi hiko mwamba Sir Winston Leonard Spencer Churchill akipiganisha vita wapiganaji wa Uingereza dhidi ya mjerumani.
Sasa bwana mabomu yakaonekana yanadondoka London; wakajiuliza are they targeted? Mabingwa wa probability wakaweka vikokotoo results zikaonesha yanarushwa randomly bila malengo.
Anachofanya Iran leo kilifanywa na mjerumani mwaka 45. Teh!
Hamas bila support ya iran ni kikundi cha mishangaz tu. Irani ndio kila kitu pale middle east.Sio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.
Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.
Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.
Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.
Kama tutaweka ushabiki pembeni.
Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Ni kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.
Wasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.
Pole sana waajemi na wafuasi wote wa uajemi.
Ngoja tuone
Nakuona hapa rijali wa kiiraniUshoga ni kitu kibaya sana, na vijana sikuhizi mnavyozidi kuuukimbilia ndio kama hivi
WebabuPotezea tu comment zangu, si kila mtu humu ni mjinga mjinga mkae muongee upuuzi tu, Nina list ya mamia ya watu nimewablock, kama unataka uunge tela endelea.
Wewe unajitekenya tu.Sio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.
Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.
Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.
Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.
Kama tutaweka ushabiki pembeni.
Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Ni kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.
Wasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.
Pole sana waajemi na wafuasi wote wa uajemi.
Ngoja tuone
Iran ni kama debe tupu, wanakelele tu ndani Havana kitu, kwenye hii vita wameMsemaji wa jeshi iran kawaambia waisrael kuondoka hata maandaki hayatawakinga siku chache zijazo