Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Usihamishe magoli,jibu swali la msingiNikipata muda nitaweka targets zilizopigwa ndani ya Israel
Kumbuka marekani kamkunjulia israel assets zake atumie atakavyo
Usihamishe magoli,jibu swali la msingiNikipata muda nitaweka targets zilizopigwa ndani ya Israel
Kumbuka marekani kamkunjulia israel assets zake atumie atakavyo
Iran kitendo cha kurusha mabomu mengi ambayo asilimia 90% yamepanguliwa ni kiashiria kikubwa anacheza ndondo Cup.
Alafu matokeo ya mabomu yaliyofanikiwa kupenya hayamrudishi nyuma adui kwa namna yoyote.
Iran anarusha decoys na missile za zamani halafu humo katika Salvo anaweka hypersonic chache kwa ajili ya kuhit target. Air defense ya Israel inahangaika na decoys hizo wakati hypersonic zikitia kiberiti targets
Sina tatizo na silaha zinazotumika.
Nazungumzia matokeo. Vita huhitaji matokeo zaidi.
Swali ni Mbinu anazotumia Iran za kujirushia hayo makombora mengi kwa kiwango kile na yenye matokeo hafifu zitamsaidia kushinda hiyo vita?
Au anambinu zingine, maana mbinu anayotumia imefeli kwa Hezbollah, hamas na Yemen. Utofauti ni Iran anatuma makombora mengi zaidi lakini hayapigi sehemu nyeti zinazoathiri uwezo na nguvu ya kivita kwa israel
Tukupe pole na wewe pia.. Maana kwa mara ya kwanza nakuona unaandika andiko ambalo
waziwazi linaonesha upande uliopo.
Pili unatakiwa uwapongeze iran, kwa jinsi wanavyopambana..
Kumbuka iran anarusha balistic zake kutokea kwake anavuka nchi kama tatu ambazo zote zinampingaa lakin bado mzigo unafika israel.(apongezwe kwa hilo)
Israel anampga iran kwa ukaribu kupitia iraq na jordan,(anga za hzo nchi tajwa, israel anazitumia atakavyo bila upinzani wowote, tofaut na iran akirusha makombora yake yanadunguliwa yakiwa njian hapo jordan, anapunguzwa nguvu, ndio maana mpk sasa iran hatumii ndege vita anajua kabla hajafika israel zitaangushwa njian maana kazuiliwa kutumia hzo anga)
Pia israel amemshambulia kwa kumvizia mwenzake kipind ambacho maongezi yalikuw yanaongelewa na USA.
Ukitaka kupima uwezo halisi, kusiwepo na mtu anayemsaidia israel wala iran, mbungi ipigwe wenyew kwa wenyew ndipo tutapima uwezo wa nchi..
Iran ina makombora yanafika 100000 ktk arsenal yake, anaweza kursha makombora 200 kwa siku 500 mfululizo.
Asante..Mkuu vita inachoangaliwa ni kushinda tuu.
Ushindi wowote kwenye vita ndio unaotakiwa.
Kama washirika wapo watakaosaidia ushinde vita watumie.
Kusema Israel asitumie washirika ni dalili hujui dunia na nature ikoje.
Vita sio mchezo kama wa mpira au masumbwi.
Kitendo cha kuwa na washirika wenye nguvu hiyo pia inahesabika kama assets na advantage ya wewe kushinda.
Iran hajazuiwa kuwa na Washirika.
Hapo kwenye mabomu kupanguliwa sasa. Bomb moja linarushwa na Iron dom au Thaad kupanguwa dron za Iran linagharimu zaid ya $50,000. Hapa ndipo Marekani anaanza kuona km Israel nikumwacha tu coz anaipa hasara sana huwezi tumia Million 100 na kuzuia dron ambazo Iran anazitengeneza kwa million 3
Upo sahihi mkuu. Wengi wanachambua vita hapa utafikiri ushabiki wa mpira. Vitani watu wanapoteza maisha, wanapoteza wapendwa wao. Vita haina macho. Kuwa mshindi inamanisha umeuwa watu, umeathiri shughuli za uchumi na miundombinu ya adui yako.Mkuu vita inachoangaliwa ni kushinda tuu.
Ushindi wowote kwenye vita ndio unaotakiwa.
Kama washirika wapo watakaosaidia ushinde vita watumie.
Kusema Israel asitumie washirika ni dalili hujui dunia na nature ikoje.
Vita sio mchezo kama wa mpira au masumbwi.
Kitendo cha kuwa na washirika wenye nguvu hiyo pia inahesabika kama assets na advantage ya wewe kushinda.
Iran hajazuiwa kuwa na Washirika.
Alisikika Mpumbavu mmoja Kutoka Kibaigwa akisemaSio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.
Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.
Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.
Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.
Kama tutaweka ushabiki pembeni.
Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Ni kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.
Wasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.
Pole sana waajemi na wafuasi wote wa uajemi.
Ngoja tuone
Unataka kutukumbusha WW II kipindi hiko mwamba Sir Winston Leonard Spencer Churchill akipiganisha vita wapiganaji wa Uingereza dhidi ya mjerumani.
Sasa bwana mabomu yakaonekana yanadondoka London; wakajiuliza are they targeted? Mabingwa wa probability wakaweka vikokotoo results zikaonesha yanarushwa randomly bila malengo.
Anachofanya Iran leo kilifanywa na mjerumani mwaka 45. Teh!
Asante..
Kama umekubali kuwa vita ni vyovyote ili mradi ushindi..
Basi usimpangie iran target za kupga muache apige anavyotaka ili mradi mwisho wa siku mshindi apatikane...
Ni kama mpira wa miguu, kuna timu zina miliki mpira na pasi nyingi mwsho wa cku wanashnda.. Na kuna timu pasi 3, wanapaki basi ila wanaibuka washndi zote ni mbinu, kikubwa ushndi..
Muache muajemi afanye analojiskia.. Akishndwa ndo uje na mapya
Ni ushabiki, nitakufafanuliaSio kwa ushabiki!
OKAngalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta.
Israel wana mahandaki makubwa yanyoingia magari. IDF wanajificha katika mahandaki hayoMbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.
Well, Iran wapo katika vikwazo vya Uchumi kwa zaidi ya miaka 15.Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.
Iran hapigani vita na Israel. Iran inapigana vita na US, UK, Germany, France ambazo hivi unaposoma zipo vitani na Nchi iliyowekewa vikwazo miaka 15.Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.
Vita haikusimamishwa, Marekani ilisimamia mkataba baada ya Israel kuingia South Lebanon na kupata kipigo. Netanyahu alimuomba Biden askari, Biden akakataa na kumlazimisha waingine mkataba wa kusimamisha mapigano. Uliza IDF na wale manesi waliokuwa wanapokea majeruhi na maiti.Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Bila msaada wa Nchi za Mgharibi leo makombora yangeshaiweka Israel katika vumbi .Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.
Si kweli wamepiga IDF, MOSAD , Golan Elite na Vituo vya Kijeshi. Kitu kinachowatatiza Waisrael ni precision ya makombora ya Iran.Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Huna habari za vitaNi kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.
Nina uhakika hujui. Kama hukuwasikia US wanaisaidia Israel , kama hukusikia Germany wanapeleka Vifaa na kifundi, kama hukusikia royal Airforce imekwenda! Unalaumu nani wasiojua Bw MtibeliWasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.
Haifa inateketea,TEL Aviv ndo imekua Gaza saiv afu mtu ana Kuja na story za mabwepandeHuyu anaecheza chini ya kiwango ndio huyu anae iwasha Haifa?.
Kakwambia nani Vita ikishaanza gharama hakuna tena ?. Unajua kwanini marekani miaka yote hutumia proxy kupigana hatk Vita ya moja kwa moja nchini kwake ?. Au unafkiri ikiptkna Suluhu ya Urusi na Ukraine kuna ataelipa kwa renovation?.Vita ni gharama lakini ikishaanza hakuna gharama tena, gharama na ha hasara ni kushindwa kwenye vita.
Israel ikishinda hiyo vita unafikiri hasara walizopata hawatafidia?
Pengine ungenipa chanzo kinachokupatia taarifa zako juu ya vita hivyo ningekuwa na cha kukujibu zaidi.Hakuna anayempangia,
Hapa najaribu kuonyesha kuwa hiyo vita keshapoteza maana mashambulizi yake sio ya kimedani.
Ni sawa kwenye Masumbwi uwe unampiga adui yako ngumi nyingi kwenye mbavu au mabega alafu yeye anakupiga usoni.
Ndio kinachojadiliwa hapa.
Anachofanya Iran kimeshafanywa na Hezbollah na wahouth. Na matokeo tunajua
Mkuu kuhusu upande wa Intelegensia nina kubaliana na ww kuwa Iran ina udhaifu fulani lakini kuhusu target za kupiga labda ni ww tu ndo sio mfuatiliaji tu.Hakuna anayempangia,
Hapa najaribu kuonyesha kuwa hiyo vita keshapoteza maana mashambulizi yake sio ya kimedani.
Ni sawa kwenye Masumbwi uwe unampiga adui yako ngumi nyingi kwenye mbavu au mabega alafu yeye anakupiga usoni.
Ndio kinachojadiliwa hapa.
Anachofanya Iran kimeshafanywa na Hezbollah na wahouth. Na matokeo tunajua