Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

Sio kwa ushabiki!

Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.

Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.

Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.

Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.

Kama tutaweka ushabiki pembeni.

Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Ni kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.

Wasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.

Pole sana waajemi na wafuasi wote wa uajemi.

Ngoja tuone
Huu ndiyo upinzani wa Palestina 👇 👇 👇 👇 👇
 
Wakanisa wamepata msiba kipigo cha Iran kimewaharibu akili leo wanasema Hamas ni strong kuliko Iran hahaha
 
Irani ni mkubwa kijeshi kwa Israel..... Iran ana uwezo wa kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia......hata Israel mwenyewe analijua hilo na ndio maana amejawa na hofu......

Israel anamtegamea Marekani kijeshi na ndio maana ameanzisha hili balaa akiamini Baba yake kipenzi hawezi kuacha adhalilike......

Yale makombora ya Irani mengi yamezuiliwa na Marekani na Jordan.....machache yaliyo fika ndio yamesababisha yale maafa makubwa Tel Aviv......

Mimi nadhani Iran hii ndio nafasi yake adhimu ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia......

Udhaifu pekee wa Iran ni kukosa ulinzi wa anga.....huku Israel anasifika kuwa madege ya kivita imara na yenye kulenga target kwa uhakika........

Iran akifanikiwa kudhibiti anga lake na kuzimudu zile NDEGE basi Israel amekwisha.....
Walikuwa wanawatu wao ndani ya Iran miaka 20 wamejiandaa kumpiga Iran walikuwa wanatumia drones kuzishambulia air defense za Iran na wengine walikuwa wanaenda kuzi Isolated kabisa zisifanye kazi. Next time Israel akisogea sidhani ndege zake zitafanikiwa kupiga Iran
 
Kaka huwa naheshimu sana michanga na hoja zako, ila kwenye hili naomba nitofautiane na wewe kidogo;
  1. Hamas hajawahi kuleta material damage kubwa ndani ya Israel kama ilivyotokea kwa Iran,
  2. Mbili, Kwa Iran, Isael alianza kufanya suprise attack na kumkuta Iran off-guard, hadi uli gain lazima uchukue muda
  3. Tatu, katika kupigana na Hamas, mara nyingi Israel huwa peke yake, lakini kwa Iran kuanzia Syria, Qatar na west walikuwa wanamsaidia kuanzi kutuma silaha (hasa makombora) matumizi ya anga hadi kutungua missile na drone kwa kutumia fighter jet, inamaana Israel asingepewa huo msaada, uharibu ungekuwa ni mkubwa.
  4. Pamoja na censorship, Israel kapata hasara hasa ya miundombinu, tafiti za kijeshi na bioweapons (baada ya kulipuliwa kwa military research facility) beersheba. Na unajua hizi huwa zinacost time, resource na ndio foundation wa innovation
Niishie hapo kaka.
 
Back
Top Bottom