Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Labda sio wanamapiduzi wa Iran, unazungumzia m23 wewe..
Israel kwenye vita ya chini utamsumbua Sana ila huku kwenye mitambo ndiyo nyumbani kwake...
Hii ndiyo field yake mwisraeli kwakifupi hapa anafanya practical test
Sio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao. Laiti Hamas wangekuwa na uwezo angalau robo ya uwezo aliokuwa nao Iran, Israel ingepata shida.
Hii ni Tofauti na Iran ambao wengi wetu tuliipa ukubwa kwa kiwango Fulani. Lakini imeonyesha udhaifu mkubwa hasa katika kipengele cha Intelejensia.
Iran kwa hali ilivyo Hana uwezo wa kupigana vita ma Israel kwa miezi sita mfululizo. Lazima atapigwa. Kumaanisha Hamas Wana msuli zaidi ya Iran.
Hezbollah waliosifiwa wao hawakumaliza hata Mwezi wakatema Bungo.
Hawa Iran kama Israel ikisema iende nao bampa to bampa! Mwezi hawatoboi.
Kama tutaweka ushabiki pembeni.
Kujirushia rushia makombora kama mwendawazimu bila target za maana ni mbinu ambayo inaonyesha Iran haina intelijensia ya maana, no Mbinu, no mikakati ya maana.
Ni kama mtu anayerusha ngumi hovyohovyo ili ionekane naye anarusha ngumi.
Wasiojua ngumi na Mambo ya kivita wataona Iran anapambana lakini kwa Wanaojua Ngumi na mambo ya kivita tayari wamegundua Iran inatapatapa, inarusha mashambulizi ilimradi.
Pole sana waajemi na wafuasi wote wa uajemi.
Ngoja tuone
Huyu anaecheza chini ya kiwango ndio huyu anae iwasha Haifa?.
Ni sawa na unapigana na bondia unampiga ngumi za kichwani na mbavuni. Yeye anarusha rusha ngumi nyingi kukupiga mgongoni hadi kwenye mapaja ahesabiwe amekupiga nyingi. Kisha wewe unapiga maeneo nyeti tu. Unapiga mbavu akiinama kushusha guard. Unapiga kichwani. Akipandisha guard unapiga mbavuni.... Yeye anarusha ngumi ikupate popote pale
Kwenye vita lazima hayo madhara yawepo Ila tunachoangalia ni achievement gani Iran wamepata Hadi muda huu ndani Israel?Mleta mada huna bando nini la kuona vimondo vinavyoshuka Tel Aviv na Haifa?
Iran anarusha decoys na missile za zamani halafu humo katika Salvo anaweka hypersonic chache kwa ajili ya kuhit target. Air defense ya Israel inahangaika na decoys hizo wakati hypersonic zikitia kiberiti targetsIran kitendo cha kurusha mabomu mengi ambayo asilimia 90% yamepanguliwa ni kiashiria kikubwa anacheza ndondo Cup.
Alafu matokeo ya mabomu yaliyofanikiwa kupenya hayamrudishi nyuma adui kwa namna yoyote.
Vimeleta madhara gani kwa Jeshi la Israel?Mleta mada huna bando nini la kuona vimondo vinavyoshuka Tel Aviv na Haifa?
Mleta mada huna bando nini la kuona vimondo vinavyoshuka Tel Aviv na Haifa?
Nikipata muda nitaweka targets zilizopigwa ndani ya IsraelVimeleta madhara gani kwa Jeshi la Israel?
Tunakuuliza zina madhara gani kwa jeshi la Israel?Iran anarusha decoys na missile za zamani halafu humo katika Salvo anaweka hypersonic chache kwa ajili ya kuhit target. Air defense ya Israel inahangaika na decoys hizo wakati hypersonic zikitia kiberiti targets
Unataka kutukumbusha WW II kipindi hiko mwamba Sir Winston Leonard Spencer Churchill akipiganisha vita wapiganaji wa Uingereza dhidi ya mjerumani.Sio kwa ushabiki!