Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

Ahaaa yamepanguliwa enheee
Iran kitendo cha kurusha mabomu mengi ambayo asilimia 90% yamepanguliwa ni kiashiria kikubwa anacheza ndondo Cup.

Alafu matokeo ya mabomu yaliyofanikiwa kupenya hayamrudishi nyuma adui kwa namna yoyote.H
 
Huu ndiyo upinzani wa Palestina πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Wakanisa wamepata msiba kipigo cha Iran kimewaharibu akili leo wanasema Hamas ni strong kuliko Iran hahaha
 
Walikuwa wanawatu wao ndani ya Iran miaka 20 wamejiandaa kumpiga Iran walikuwa wanatumia drones kuzishambulia air defense za Iran na wengine walikuwa wanaenda kuzi Isolated kabisa zisifanye kazi. Next time Israel akisogea sidhani ndege zake zitafanikiwa kupiga Iran
 
Kaka huwa naheshimu sana michanga na hoja zako, ila kwenye hili naomba nitofautiane na wewe kidogo;
  1. Hamas hajawahi kuleta material damage kubwa ndani ya Israel kama ilivyotokea kwa Iran,
  2. Mbili, Kwa Iran, Isael alianza kufanya suprise attack na kumkuta Iran off-guard, hadi uli gain lazima uchukue muda
  3. Tatu, katika kupigana na Hamas, mara nyingi Israel huwa peke yake, lakini kwa Iran kuanzia Syria, Qatar na west walikuwa wanamsaidia kuanzi kutuma silaha (hasa makombora) matumizi ya anga hadi kutungua missile na drone kwa kutumia fighter jet, inamaana Israel asingepewa huo msaada, uharibu ungekuwa ni mkubwa.
  4. Pamoja na censorship, Israel kapata hasara hasa ya miundombinu, tafiti za kijeshi na bioweapons (baada ya kulipuliwa kwa military research facility) beersheba. Na unajua hizi huwa zinacost time, resource na ndio foundation wa innovation
Niishie hapo kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…