HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

Title inasemaje
Huu hapa wa Ritz, nilikosea kusema wa The Boss:

 
Ndio maana nakupendaga Faiza
 
[emoji1146][emoji3538][emoji1134][emoji3517] Kamanda mwingine wanamgambo wa Israel kauwawa.... Another high-ranking member from the IDF: the deputy commander of the Baram brigade, Lieutenant Colonel Alim Abdallah, was killed on the border with Lebanon.

[emoji837] @DDGeopolitics
 
Na wewe kwa kutojitambua unashabikia uvamizi wa muda mrefu wa Israel kwenye ardhi ya Palestina...wakati huo huo bila shaka unalaani uvamizi wa Russia katika ardhi ya Ukraine!.... a double standards.
 

Naomba maustadhi muingie kule Telegram aisei mnaweza mkajilipua mabomu hapo mlipo kwa mtakachoona kule, mimi mwenyewe ni shabiki wa Israel lakini sio kwa jinsi wanachokifanya, huu ushabiki wenu mngelijua yaani tu.
 
Naomba maustadhi muingie kule Telegram aisei mnaweza mkajilipua mabomu hapo mlipo kwa mtakachoona kule, mimi mwenyewe ni shabiki wa Israel lakini sio kwa jinsi wanachokifanya, huu ushabiki wenu mngelijua yaani tu.
Channel gani telegram
 
Mimi huko sipo lakini, njia inayotumiwa na na hao HAMAS, ni ya kuwaumiza wananchi wa kawaida tu, Huwezi ukaendelea kutumia njia ile ile ukitegemea matokeo tofauti ni ujinga.
Ombaomba hafilisiki ndugu yangu! na muogope sana ambae hana cha kupoteza! Mtumwa mpigania uhuru hana cha kupotena.

Hivi unajua media za ulaya walikuwa wanatangaza nini kuhusu waSouth Africa walipokuwa wanapambania uhuru wao dhidi ya makaburu? walikuwa wanawaita waasi!!! hakuna tofauti na leo hii HAMAS wanaopambania uhuru wa raia wao wanapoitwa magaidi.
 
Hivyo vikundi vya Hazibullah na Hamas havina safari ndefu...

Vinaendelea kuifanya Israel kuzidi kuchukua ardhi ya Palestina. Israel haijawahi kushindwa vita tangu warejee nyumbani kwao, waarabu wanakula kichapo tu... Misri nae alichezea kichapo tu
Vita vya 2006 vya Israel na hizbullah vilikuwaje!?..au ulikua unaoga nje bado!?.. Israel Mara zote wamekua wakisaidiwa na mabwana zao uingereza na ufaransa na Sasa USA..si umeona USA wameogeza meli kubwa ya kivita kuliko zote duniani!?
 
Tatizo huko kwa madrassa hamfundishwi ilmu ya dunia "Hamas has announced its readiness to discuss a ceasefire with Israel"....
Isarel wanaendelea kusambaratisha

Waisrael kelele tu,waume zao wamesogeza meli kubwa zaidi ya kijeshi na watawapa msaada wa silaha, intelligence hovyo..watu walipiga mpaka kuchukua miji
 
israel hasemi ila habari umeipata [emoji23][emoji23]
 
waislam mnajuwa kujifarij , mkipigwa ngumi 50 bas nyiny mkipiga moja mnashagilia htr
 
Jeshi la saudia lenyewe limeingia pande gani maana israel ,marekani na saudi arabia wote lao moja
 
Ground offensive Gaza ni suicide mission. Hamas wamejindaa homegroud or rather home underground.
 
Yaani tunavyoshabikia utadhani tuna angalia sinema ambapo hakuna real victims. Ukipenda humanity huwezi kuwa na side kwa yanayotokea huko.
Tuwaombee amani hao binadamu wenzetu.
 
Ground offensive Gaza ni suicide mission. Hamas wamejindaa homegroud or rather home underground.

Wanafumuliwa kwa kutumia carpet bombing, kuna aina ya mabomu yenye uwezo wa kuwatoa kwenye mahandaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…