Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

Unawafanyishaje watu kazi kwenye nchi yao? Wayahudi waliingia palestina kama wakimbizi 1947 leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi . Ukiuliza eti Mungu wenu ndio alisema. Foolish
Taifa la Israel lilikuwepo kabla ya ujio wa Yesu kristo. Je, hao wapelestina walikuwepo?
Yakobo, Suleman n.k wote hao ni wayahudi.
Miji yote ya Israel ilikuwepo sasa hao wapelestina ndiyo walijichanganya.
Mkitaka kuifuta Israel, mnabidi muifute Biblia isiwepo duniani hata kurasa moja
Naona FaizaFoxy unatumia ID ya kiume
 
Kati ya nchi zote ambazo zinaiunga mkono HAMAS na Palestine hakuna hata moja ambayo itabadili msimamo. Hata Tanzania haipo tayari kubadili msimamo wake wa kuiunga mkono HAMAS. Ipo tayari iwe kinyume cha Israel iliyo walinda mamia ya raia wake wanafunza, kuliko kuisaliti HAMAS iliyowaua raia wake.
Kwanza tangu lini serikali ya Tanzania has ever given a shit kuhusu maisha ya watu wake, wakati yenyewe tu ilikua ikifanya kama HAMAS kwa kuwasunda kwenye viroba huku akina Tundu Lissu wakimwagiwa risasi hadharani.
Tanzania na HAMAS ni mapacha.
Paragraph yako ya kwanza hapo kuhusu Tanzania kutokuwa tayari kubadili msimamo wake dhidi ya Hamas waliowaua raia wake, kuliko kuwaunga mkono Israel waliowalinda raia wake umegusa pagumu kweli.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nenda katoe msaada IDF wanakamuliwa mavi huko Gaza wao wanakazana kuuwa wanawake na watoto.
Hata mchawi akifiwa hulia pia Hamas na washirika wake nao wanalalamika Israel anaua wanawake na watoto. Sijui wao tukio la october 7 waliliona ni zuri?
Huyo ndiyo yule malaika mtoa roho Israel huwa hachagui wa kumtoa roho
 
Nenda katoe msaada IDF wanakamuliwa mavi huko Gaza wao wanakazana kuuwa wanawake na watoto.
Hamas haikuua watoto pale Israel? Acha vitoto vyao navyo viuawe. Halafu wanayekamuliwa mavi ni Wapalestina wanaoishi kwa hisani ya Wayahudi tangu 1948.

Israel wanafanya territorial expansion ambayo Wapalestina hawana jeuri ya kufanya hiyo expansionism, yet unasema eti Waisrael wanakamuliwa mavi! Kweli huna akili.
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Wapuuzi hawa
 
Ngoja HAMAS wa Buza waje kushangilia. Mchana walitetea ndugu zào hawaui watu, Sasa wahusika wamekiri tusubiri sapoti mpya.
 
Kwa hiyo kauli yao, hao magaidi hawaoni wamejigeuza kuwa maadui na nchi zote zenye raia wao ndani ya Israel?

Ajabu kuna wajinga wanaotetea ushetani unaofanywa na hawa magaidi, wakati wao wenyewe wanakiri kuua raia wasio raia wa Israel, tena wasio na hatia.

Hamas ni kundi lenye wanachama wajinga sana. Kutumia utetezi ukiwemo Nyerere kuwaunga mkono Palestina, Nyerere niliyemjua angewalaani hawa wahuni mchana kweupe, kama alivyowaunga mkono hao Palestina, hakuwa mnafiki.

Au kusema Vita ina "collateral damage", na mwingine wowote ni ujinga mtupu, mbona hatujaskia Israel wakiwaua raia wasio wa nchi yao kwa makusudi kama wafanyavyo Hamas?

- Kwanini hao magaidi wa Hamas wasiwe wanatoa ultimatum, kwa raia wasio wa Israel kuondoka kabla hawajaanza kuwateka na kuwaua?

Huo utetezi wa collateral damage unathibitisha Hamas ni wendawazimu, ningeuelewa kidogo endapo bomu lingetupwa sehemu liue mpaka raia wasio husika, lakini sio kuwachagua kabisa, kisha kuwapiga risasi individually. Never.

Hata kama mnasema vita haina macho, lakini mtambue wanaoipigana wana macho, tusifiche maovu ya hao wahuni kwa sababu zozote, wakemewe.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu
Wazayuni wanaporusha makombora na drones na kulipua makazi ya raia na kuua maelfu ya wapalestina indiscriminately na risasi unadhani wao wanaouawa ni nguruwe ?
Pumbavu
Unapokuwa kwenye line of fire ukabondwa ni tatizo lako ,Israel inajulikana ni war zone
Na propaganda zinazosambazwa na wazayuni kamwe ni mwendawazimu tu ndio ataziamini .
Hiyo miili Hamas wana facilities gani za kuhifadhi maiti muda wote huo ,wakati tunaambiwa hamna nishati hapo Gaza ?
Watu hata akili hawatumii
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Wayahudi hamlali
 
Sasa kama unabisha kuhusu huo mpango, ilikuwaje mkimbizi uliyemkaribisha under your control aka-overturn na kuwa boss wa nchi yako? Una uhakika kwanye hili umeshirikisha akili?
Wewe unaongea ujinga gani? Nguvu inayotumika kuifanya israeli ana exist unaijua wewe? Mpango ni huo uliopangwa mwala 1948 ndio huo unaoifanya iendelee kuwepo.
 
Wanadhani kila Raia wa kigeni anaifahamu kwa undani historia ya mgogoro wao na israel. Humo humo israel kwenyewe kuna wasioiunga mkono hiyo vita.

Mbona hatukusikia wameteka ama kuwaua wapalestina waliokuwa wakiishi israel? Kitendo cha mtu kuwepo israel hai justify hicho wanachowafanyia.

Hawana akili ndiyo maana wametoa sababu ya kipuuzi sana isiyokuwa na mashiko.
Toka lini magaidi wakawa na Akili?
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
False flag terror.

Hamas wamelishwa maneno.

Hii ni movie. Kuna Allah akhbar imepachikwa.

Tufanye analysis kidogo.

Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Fanya analysis.

Ona jambo ktk uhalisia wake kwa kujiuliza.

Hiki ni nini

Kina maana gani wakati huu.

Usipopata majibu ya maswali haya utakuwa hujaona mambo ktk uhalisia wake.
 
Sitetei Hamas ila ninachokifahamu Hamas matamko yao hutolewa na msemaji wao Abou Obaida tangu vita vyao vya Oktoba 7.

Na matamko yao huwa nayapata imma yawe ya kifursi, kiarabu ama kingereza kwa sababu huwa nasaidiwa link na ndugu zangu waliyo Iran.

Tunaomba tusaidiwe tupatiwe video ya Abou Obaida akiisema hiyo kauli.
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel

Kila mpalestina kokote duniani auliwe!!

Nimeamini muarabu alilaniwa milele!!
Ndio maana kila wanakoenda kunageuka jangwa
 
Back
Top Bottom