Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Hata hivyo PKK imeisumbua Turkey muda mrefu!
Kuisumbua hadi sasa inaisumbua kwasababu PKK ni mtandao mkubwa kidogo na mbaya zaidi Turkiye na Syria wanachangia mpaka.
PKK wanadhaminiwa na Kurdistan pia mkuu.
Unadhani hilo dogo??
Ila Turkiye wakiwanyoosha wanawanyoosha kikamilifu.
 
Rafah itapendezeshwa kuanzia sasa!

God Bless Israel
 
Mtu mwoga akirusha ngumi ya woga huwa inakuwa na nguvu sana, ikikupata meno huna, na anakimbia.
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Mkuu huna unalolijia kuhusu yanayojiri

Israel ilisambaratisha muungano wa nchi za kiarabu kwasababu walikua wanapambana kwenye uwanja wa vita

Sasa hawa wakuitwa Hamas wanapambana wamezungukwa na raia, wanarusha makombora kwenye nyumba za watu shule misikiti hoapitali sokoni nk
Israel ikiwapiga inaua na raia kibao..... hapa ndio kunachangamoto

Israel inaweza kunyeshea nvua ya mabomu Rafah yote ikawa kifusi ila sasa itaua raia wangapi? Hapa tu inapiga kwa taadhari lakini bado raia wanakufa kama kuku
 
Unaropoka sana kijana.
Israel alivunja muungano upi wa kiarabu katika uwanja wa vita!?
Unaweza kutaja vita na mwaka wa hiyo vita!?
Hamas hawajajichanganya na raia wapo katika vichochoro na mahandaki.
Wawafuate katika mahandaki na vichochoro.
Achana na Hamas,Hizbollah anapiganaga na IDF uwanjani na maporini ila IDF wanashindwa.

Nilitoa mfano wa Uturuki kule juu,mazingira anayopigana nayo Uturuki na PKK ni sawa na ya IDF na Gaza.
Ila mbona Uturuki anafanikiwa!?

Unaleta ujuaji mwingi kumbe kichwani empty set.
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Ila hamas wakirusha maroketi mnashangilia ila israel ikianza kushusha makombora hapo gaza hamchelewi kukimbilia ICJ na ICC na kuita mauaji ya halaiki gaza kutafuta huruma ya dunia
 
Back
Top Bottom