Hamas wavalia kombati mpya za kijeshi kukabidhi mateka. Kila mmoja kapewa begi na shahada

Wao si walikuwa wanajificha nyuma ya wake zao na watoto?
 
Wameokota watu wakawavisha uniform za jeshi mtoa maada angekuwepo Gaza si ajabu angekuwa keshavalishwa hata kama hakurusha Jiwe.
Jipe moyo wajeda wanajulikana ata avae kanzu na Kobaz kama YESU, lkn utamjua tu!! Bwashee
 
Israeli hii vita ameshindwa tukiwa wakweli malengo yake hayajatimia maana magaidi bado yapo mtaani.
Kuyamaliza magaidi ni mpaka uue wapalestina wote. Sasa watu wanavaa kombati wakati wakukabadhi mateka. Vitani wanakuwa sawa na raia wanavaa misuli na majoho. Kwa hali hiyo utaweza kumaliza magaidi?
 
Hawana hata uwezo wa kurusha jiwe Israel,
Baada ya Israel kuchagua Kushindwa na kusaini MKATABA bado unataka warushe jiwe!!!!! Nini jiwe wamewauwa kwa risasi WANAJESH w Israel kibao!! Israel ipo kwenye majonzi na majuto!!
 
Hamas hutasikia wakijaribu kuwachokoza Israel tena, Iran ndani ya Utawala ya Trump atapigwa vibaya na kufanywa kama Iraq au Libya au Lebanon au Aghanistan
Endelea kuota IRAN sio tu akuna wakuipiga ata wakuichimba mkwara IRAN ayupo kwasasa!!!
 
Kifupi watoto wa Iran wamefanikiwa kuitoa inchi yao kwenye hatari ya kushambuliwa badala yake kwasasa Wavamizi ndio wenye hofu kunyang,anywa udhibili wa Middle East !!! Uyo ndio Muiran,
 
Hawa Hamas so watu wa kawaida wanangu! Kichapo chote Kule Leo wapi kitaa na Furaha tele afu ni wengi Ile mbaya
 
Wanajifichaga kwenye mashimo wanaacha watoto na wanawake wakiuawa. Sasa hivi kuna msako huko West Bank lakini hao hawaonekani
 
Iran wanaanza kuwalaaumu Hamas
 
Ila hawa wajomba! Sio mchezo, ni kama siafu au mchwa! Unapiga dawa! Unsfikri umewaua wote, wanaiubuka tena sehemu nyingine! Ipo siku kitaandikwa kitabu kuhusu how to train guerrillas according to Hamas formula! Salute kwao
 
Ni mtu mjinga ambaye ataamini Israel haikujua Mateka walipo.
Yaani iwaue viongozi karibu wote wa hamas, ijue walipo alafu wasijue mateka walipo
Usikubali kuwa na akili ya kushikiliwa. Kwa hiyo Israel walijua waliopo mateka then Kwa makusudi iliwaacha.

Mahaba yakipitiliza ni ushamba
 
Usikubali kuwa na akili ya kushikiliwa. Kwa hiyo Israel walijua waliopo mateka then Kwa makusudi iliwaacha.

Mahaba yakipitiliza ni ushamba
Tena iliwaacha wengine wafe mana Hamas inayo miili ya ao mateka waisrael jamaa mazwazwa sana.
 
Hayo ni mawazo yako yaliyo finyu,hakuna vita inayoweza kumaliza wanajeshi wote,au lile swali la zamani walilokuwa wakiulizwa watoto hulifahamu? hili hapa "Kwenye mti kuna ndege 100 nikimpiga na ku
muangusha mmoja watabakia ndege wangapi?
 
Hilo la mateka limewadhalilisha sana hao Israel wanajifanya wanaweza kumbe usanii tu ujanja ujanja tu
 
Hilo la mateka limewadhalilisha sana hao Israel wanajifanya wanaweza kumbe usanii tu ujanja ujanja tu
Mijamaa iliwekeza kwenye MEDIA tu kujitutumua kuwa mijitu yenye akili zaid kijesh awashindwi wananaguvu mengi yani waliamini Binadam ukimpigia wimbo uwo sana sana basi watawaogopa WAISRAEL sasa wapalestina wanawajua vizuli sana mana tangu watoto wanakuwa wanawaona ukweli waisrael waoga sana kupigana vita awawezi umeona wapi duniani watu wanavamia kambi 4 za JESH na kuwauwa wanajesh na kuwachukua mateka wengine. Kambi 4 kama sio misaada ya Marekani waisrael niwatu duni sana.
 
Sasa unafikili mateka walikua hapo gaza?. Alafu sare zimevaliwa kukabizi mateka Ila kwenye vita wanapiga kirahia unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…