Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii.
Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban mwaka sasa limesema kinachotakiwa ni kutolewa kwa ratiba kamili ya kutekelezwa kwa makubaliano yaliyokwishafanyika miezi kadhaa iliyopita.
Soma Pia:
- Israel yaenda kwa swahiba yake Misri kutaka mazungumzo ya kusitisha vita na Hamas, huku Iran ikikataa unafiki wa nchi za kiarabu kutaka kuzuia vita
- https://www.jamiiforums.com/threads/hamas-wameibamiza-israel-kwenye-kona-baada-ya-kukubali-kusitisha-vita-na-kuachia-mateka-netanyahu-alaumiwa-na-kila-mtu.2210965/