HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

Ni kweli limetokea ila ndo hivyo gharama za vita
 
Majibu mepesi yasiyo na logic. Hemu nikuulize ewe gaidi mnalilia chakula( ubwabwa na chapati) kwani zamani mlikuwa mnavipata wapi? Aliyezuia msipate maji,mafuta,dawa na chakula ndo atazuia msipate hata risasi ya bastola.
Ngoja nikwambie ewe mzayuni kutokea gay nation
Hamas itapambana hata kiaka mia acheni kulialia
 
Jeshi la Israel limesema ni wanajeshi 24 kwa mpigo wametangulizwa ahera.
 
Hiyo next movement watafanyia wapi? Wakati mpaka Israel atakapotoka Gaza kutakuwa hakuna jengo lolote lililosimama( siyo la shule wala la hospital). Yaani kifupi IDF haitoki mwaka huu wala mwakani hapo Gaza
Kwakweli Israel wanatapatapa tu ndiyo maana wanapiga na kuuwa watoto wakati Hamas wanaua wanajeshi wenye mafunzo.
 
Mchambuzi wa siasa uchwara ukijitahidi kuchambua matembele.

Waziri mkuu mwenyewe wa Israel amekiri hivi vita kuwa vya muda mrefu kwasababu anajua Hamas huwezi kuwazuia kuingiza silaha wala kutengeneza silaha zao.

Hawa jamaa wanatengeneza silaha zao wenyewe kwa viwanda bubu sasa utawazuia vipi kuendelea kutengeneza silaha?

Wale ni wanaume kamili hawatishwi na jeshi la mashoga kama Israel hadi wanafunga pampas ili wasijinyee maana wamefumuliwa marinda yote.
 
Utawapa wew RPG? Hemu achana na akili za Mudy tumia zako Zaki mbagala mbagala angalau kwa nusu saa. YAAANI WEW NA FAMILIA YAKO MNAONA HAMASI ATAIBUKA KIDEDEA KWENYE HII VITA?
Kwahiyo kwa akili zako unadhani ipo siku vita vya Israel na Palestina vitaisha?

Hamas ni ideology inayoendelea vizazi na vizazi. Ulishawahi kuona mtu anaua ideology?

Utauwa watu kadhaa waliopo sasahivi ila kwakuwa Hamas ni ideology watoto wanaozaliwa wanalishwa ideology ile ile na mapambano yanaendelea hadi tamati ya dunia.
 
Majibu mepesi yasiyo na logic. Hemu nikuulize ewe gaidi mnalilia chakula( ubwabwa na chapati) kwani zamani mlikuwa mnavipata wapi? Aliyezuia msipate maji,mafuta,dawa na chakula ndo atazuia msipate hata risasi ya bastola.
Kwa akili zako Palestina ategemee chakula cha Mazayuni?

Mwezi wa tatu huu hakuna maji, chakula wala umeme lakini Mazayuni bado hawaelewi washike lipi waache lipi kwa vipigo wanavyopitia.

Jana familia za Mazayuni ambao ndugu zao wametekwa na Hamas walivamia Bunge la Israel vikao vikiwa vinaendelea wakidai ndugu zao waachiliwe na hawaoni juhudi zozote wala mafanikio ya jeshi la Israel kuwakomboa.
 
Ngoja nikwambie ewe mzayuni kutokea gay nation
Hamas itapambana hata kiaka mia acheni kulialia
Nani analia lia? Wiki hii wapalestina wangapi wameuwawa? Na Waisrael wangapi wameuwawa? Mind you leo Jumanne. KAZI KUJIPA MOYO TU. Kufikia Jumapili wiki hii jumlisha idadi ya wapalestina na Waisrael ndo utajua muelekeo wa vita huko tunakoenda.
 
Magaidi ya kiisrahel mpaka yaondoke ghaza yatafyekwa sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…